Jinsi Ya Kuanza Uwekezaji Mkubwa Kwa Fedha Kidogo


 Kuna siku hapo nyuma nilikuwa nafahamu kuwa ili uitwe mwekezaji basi unapaswa kuwa mtu kigeni au mtu kutoka nchi za ulaya, bara la asia na maeneo mengineyo ila siyo hapa nchini Tanzania. Hata hivyo kadiri siku zilizvyoendelea nilikuja kugundua kuwa huhitaji kuwa umetoka nchi za nje ili uweze kuwa mwekezaji, uwekezaji unaweza kuufanya popote pale ulipo duniani. Kuhusu hilo nikawa nimejikomboa.

 

Kitu cha pili nilikuwa nikifiria kuwa ili uweze kuwa mwekezaji unapaswa kuwa na fedha nyingi sana (kimtaani siku hizi vijana tunasema unapaswa kuwa na fedha ndefu). Il baadaye nilikuja kugundua kuwa huhitaji kuwa na fedha nyingi ili uweze kuwekeza. Unaweza kuwa na kiwango kidogo kikausaidia kuanza kuwekeza na baadaye ukaendelea kuwekeza hata kama ni fedha kidogo mpaka kufikia viwango vikubwa. Hivi kwa mfano nikikwambia kwamba shilingi elfu tano unaweza kufanya uwekezaji mkubwa, mzuri na unaodumu unaweza kuamini? Je, vipi nikikwambia kuwa hata inawezekana kufanya uwekezaji mkubwa kwa fedha chini ya hapo. unaweza kuona kama masihala vile, ila ukweli ndiyo huo.

 

Kitu cha tatu ni kwamba watu wengi hawajui kuhusu uwekezaji wa hisa. Na hata wale wanaoujua basi wanaujua kwa juujuu. Siyo kiundani. Ndiyo maana nimekuandalia ebook maalumu inayoeleza kiundani kuhusu uwekezaji wa hisa. Unaweza kuipata ebook hii ili ikusaidia kuondoa tongotongo kwenye eneo la uwekezaji wa hisa, jinsi uwekezaji huu unavyofanya kazi na utakavyonufaika nao.

Ebooka hii ina mambo mengi ndani yake ambayo ni wazi kuwa yanaenda kuwa msaada kwako. hakikisha kwamba unaipata siku ya leo. Utaratibu wake wa kuipata ni kama ifuatavyo.

Utatuma fedha kiasi cha shilingi elfu tatu (3,000/-). Baada ya kutuma fedha utanitumia ujumbe kupitia namba hiyohiyo ili nikutumie hiyo ebook.

 

Sambammba na ebook hii utapata ebook nyingine ya SEKTA 12 ZA KUTENGENEZA MAMILIONI YA FEDHA NCHINI TANZANIA.

 

Ebook zote hizi utazipata kwa gharama hiyohiyo ya 3000/ tu. changamkia fursa sasa. tuwasiliane kwa 0755848391

 

KUMBUKA KUWA ukilipa elfu tatu, utakuwa umeokoa kiasi cha shlingi elfu saba (7,000) ambayo ingetumika kma kama ungenunua hizo ebooks mbili kwa nyakati tofauti tofauti

 

 


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X