Jinsi Ya Kuchagua Fungu Lililobora


Katika kuongea na watu wengi, wapo ambao huwa wananiambia kuwa wanapenda kusoma ila kutokana na bei za vitabu kuwa juu, basi wanashindwa kununua vitabu hivyo. 

Ila upande wa pili umekuwa ni tofauti.  Ukikutana na watu waliofanikiwa na watu wanaosoma vitabu huwa wanalipia vitabu hata vya gharama kubwa, na wao ukiwauliza kwa nini wanafanya hivyo, utasikia wanakwambia kuwa hakuna kitabu ambacho huwa kinauzwa gharama kubwa. Huwa wanaendelea kusema, ni bora kulipia gharama ya kawaida ili kupata kitabu chenye mafunzo yaliyokusanywa kwa miaka 10, 20 au zaidi.

Huwa wanaendelea kusema kwamba, ukilipia kitabu na ukajifunza kitu kimoja ambacho unakifanyia kazi na kikakupa matokeo basi hicho kitabu kitakuwa kimekusaidia sana.

Hee! Inashangaza, kumbe hawa watu wanatafuta kitu kimoja tu cha kufanyia kazi kwenye kitabu. Haya bhana! 

Ebu tuachane nao! 

Sasa swali ambalo najiuliza wanawezaje kupata fedha ya kununua vitabu?

Jibu ni kwamba wanachukua ile fedha ambayo watu wengine huwa wanatumia kwa vitu visivyo na maana na kununua vitabu. 

Kwa mfano kwenye msimu huu wa sikukuu, wakati wengine wanapangilia kununua bia na kuwaonesha watu kuwa na wao wamo! Wenyewe wanapangilia kununua kitabu kimoja. 

Ambacho wataanza nacho mwaka.

Kumbe naweza kusema wanachagua fungu lililobora.

Na wewe pia unaweza kuchagua fungu lililobora. 

Tena  tunapoelekea kuuanza mwaka huu unaweza kujipanga tu siku ya leo na ukaitoa fedha ya vocha kwa ajili ya kujipatia nakala ya kitabu Cha AKILI YA DIAMOND. Kitabu hiki unaweza kukipata kwa shilingi elfu moja tu.

 Pengine unaweza kujiuliza AKILI YA DIAMOND ndiyo kitu gani? Na je, kitabu hiki kinamzungumzia Diamond gani?

 Huyuhuyu mwanamziki au mwingine?

 Kiufupi jibu ni ndiyo. Mtu anayezungumziwa kwenye hiki kitabu ni Diamond Platnumz. 

Jipatie nakala yako kwa shilingi elfu moja tu (Bei ya ofa)badala ya elfu sita ili uweze KUJIFUNZA mambo muhimu kuhusu;

KIPAJI (Jinsi ya kukinoa na kukiendeleza kutoka kwa Diamond Platnumz mwenyewe.

UBUNIFU kutoka kwa Diamond Platnumz mwenyewe. 

Na mafanikio kutoka kwa Diamond Platnumz mwenyewe.

Nakala hii utaipata leo kwa bei ya ofa. Yaani, shilingi elfu moja tu badala ya shilingi elfu sita.

Chukua hatua Sasa, wasiliana nami kwa WhatsApp 0755848391

Karibu sana.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X