SHUHUDA ZA KWELI KUTOKA KWA WASOMAJI WA KITABU CHA AKILI YA DIAMOND


https://www.getvalue.co/home/product_details/akili_ya_diamond
Pata nakala ya kitabu hiki hapa kwa kubonyeza HAPA

Rafiki yangu karibu sana katika ukurasa huu ambapo unaenda kupata shuhuda za kweli kutoka kwa watu waliosoma kitabu cha Akili ya Diamond.

Kama bado hujapata nakala ya kitabu hiki hapa, basi unapaswa kufahamu kuwa unajikwamisha sana. chukua hatua leo hii kwa KUBONYEZA HAPA

Nashukuru sana mwanamafanikio. Kitabu hiki cha Akili ya Diamond ni

kizuri  na kinatoa hamasa sana ya kupiga hatua na kufanikiwa sana.
Changamoto niliyonayo ni kwamba nimeshaamua nataka kuwa mjasiriamali
mkubwa mwenye kumiliki fedha nyingi kupitia biashara na uwekezaji.
Kwenye kuwekeza sina shida sana. Ninafahamu portfolio mbalimbali za
kuwekeza kuanzia UTT, hatifungani, ardhi na majengo pamoja na hisa.
Changamoto yangu ni biashara gani nijikite humo kikwelikweli kama
Diamond ili niweze kusonga mbele kama mjasiamalim na mwekezaji???
Ahsante sana
Mwanamafanikio

Felix M


Ni Kitabu kizuri, kinayo mafundisho mengi mazuri ambayo unaweza kuyatumia katika kukufikisha eneo ambalo unataka kufika. Nimekisoma na nimekielewa vizuri.  Kwa mapendekezo yangu – Waandishi wetu mngeweza kuwa mnaandika pia habari kama hivi za Watanzania wenzetu waliofanikiwa kwa jambo lolote- nafikiri lipo kundi kubwa lingeendelea kupata hamasa katika kuyatafuta kwa bidii mafanikio kulingana na mazingira yetu halisi.   Alex / Geita.


Ahsante Mwana mafanikio, nimepokea. Japo nimesoma page 3, nikupongeze kwa namna ya font na mwonekano wake ulivyokaa, niseme katika vitabu 7 za softcopy nilizowahi kununua kwako hiki kina font na mwonekano mzuri unaovutia kusoma kama nakala tete, zingine zinabanana kiasi kwa udogo wa maandishi hadi zinatia uvivu kusoma.
Nashauri kuanzia sasa kama utatoa softcopy tumia na/au pangilia kama ilivyo kwrnye hiki kitabu.

Asubuhi K.

Ahsante, uwe na jioni njema. tayari umesoma kitabu hiki na una kitu chochote ungependa kusema baada ya kuwa umekisoma, basi unaweza kuniandikia kupitia songambele.smb@gmail.com

Au unaweza kunitumia ujumbe kwa whatsap kupitia nambari hii hapa 0755848391
Kama unakwama kupata kitabu wasiliane nami kupitia 0755848391 ili nikusaidie
SOMA ZAIDI: KITABU; Akili Ya Diamond


One response to “SHUHUDA ZA KWELI KUTOKA KWA WASOMAJI WA KITABU CHA AKILI YA DIAMOND”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X