SEMINA


KARIBU KWENYE SEMINA YA KUONGEZA KIPATO CHAKO MARA MBILI MWAKA 2023/2024

https://chat.whatsapp.com/CAdCnW82i8N0clD2fDvn7v

Kila mwaka huwa tunakuwa na semina tatu ambapo,semina mbili huwa zinafanyika kwa njia ya mtandao, huku moja ikifanyika ana kwa ana. Kwa mwaka huu mpaka unaposoma ujumbe huu tayari tumeshafanya semina mbili, moja ya mtandaoni na nyingine ya ana kwa ana, hivyo kumbe klichobaki ni semina ya moja ya mtandaoni.
Na semina hii sasa inaenda kufanyika mwezi wa tisa tarehe 24-30.

Karibu kwenye semina ya kuongeza kipato mara mbili ndani ya mwaka mmoja. Lengo la semina hii ni kwamba uweze kuongeza kipato chako mara mbili ndani ya mwaka mmoja.

SIKU YA KWANZA:
KARIBU KWENYE SEMINA YA KUONGEZA KIPATO nini unahitaji kuongeza kipato chako mara 2
Hatua sita Muhimu za kufuata ili uongeze kipato chako mara 2 ndani ya mwaka mmoja
Jinsi ya kuweka yatakayokupelekea kuongeza kipato chako mara 2

SIKU YA 2
Vyanzo muhimu vitakavyokuwezesha kuongeza kipato chako mara mbili NDANI YA MWAKA MMOJA

Siku ya tatu: JINSI YA KUTENGENEZA MSHAHARA NJE YA MSHAHARA

Ndani ya hii siku tutazama ndani zaidi na kuona….

Kwa nini unahitaji kutengeneza mshahara wako mwenyewe (nje ya mshahara ya mshahara wa kawaida)

Namna ya kutengeneza mshahara nje ya mshahara

Uwekezaji. Msingi mkuu wa kutengeneza mshahara nje ya mshahara.

Mpaka hapo ada yako ya semina itakuwa imeisha, ila semina itakuwa inaendelea

SIKU YA NNE: BIASHARA: NYENZO MUHIMU YA KUONGEZA KIPATO CHAKO MARA MBILI ZAIDI NDANI YA MWAKA MMOJA

Kuanzisha biashara yako – wazo na mkakati

Usimamizi wa biashara na ukuaji wa kipato

Mbinu za kujiongezea mauzo na mapato

Kutambua fursa za kukua na kupanua biashara yako

Kupima mafanikio na kutengeneza mkakati wa baadaye

SIKU YA TANO: MTANDAO WAKO NDIYO UTAJIRI WAKO:

Jinsi ya kujenga mtandao utakaokupa fedha

Mbinu za kuwafikia wateja au watu watakaokuwa tayari kutoa fedha mfukoni kukulipa au kununua bidhaa zako

Biashara ni mahusiano na namna ya kuyajenga

Siku ya SITA: ELIMU YA KIFEDHA: KUDHIBITI NA KUKUZA FEDHA ZAKO

Uelewa wa msingi wa fedha na bajeti
Kupunguza matumizi yasiyo ya lazima
Kuweka akiba na kuwekeza kwa ufanisi
Kudhibiti madeni na mikopo

SIKU YA SABA: UTAJIRI: MISINGI MIKUU YA KUJENGA UTAJIRI ISIYOYUMBA

Jinsi ya kuandaa utajiri utakaorishwa mpaka kwa watoto na wajukuu zako

SIKU YA NANE: HITIMISHO

Kama unavyoona, semina hii itakuwa imeshiba kwa siku zote saba, tutajifunza mengi na ambayo yatakusaidia wewe kuweza kupiga hatua na kuongeza kipato chako mara mbili.

Sambamba na hayo mambo makubwa sana ambayo utajifunza gharama ya semina hii itakuwa ni 20,000/- tu.

Unachotakiwa kufanya sasa hivi ni wewe kuthibitisha ushiriki wako kwenye hii semina. Na njia bora ya wewe kuthibitisha ushiriki wako kwenye hii semina ni rahisi sana.

Tuma neno SEMINA, likifuatiwa na jina lako kamili.
Kwenda 0684408755
Kisha taja namna utakavyofanya malipo.

Mfano.
SEMINA, GODIUS RWEYONGEZA
Nitafanya malipo yote kwa pamoja tarehe 10

Au

SEMINA, JOHN MSEMAKWELI
Nitalipia kila mwisho wa wiki 5000/-

Thibitisha ushiriki wako kwenye semina hii sasa.

X