-
Maisha Unayaonaje? -2
Hodi hodi tena hapa safuni. Narudi tena uwanjani kujimwaga na kuendelea na mada yetu ambayo siku ya jana tumeigusa kidogo. Jana tumezungumzia na kuangalia ni kwa jinsi gani tunapaswa kuayaangalia maisha kama majaribio. Kwa mifano niliyotoa jana Nina hakika utakuwa umeangalia ni vipengele gani vya kimaisha ambavyo vitakuwa vumekutokea huku vikiwa kama majaribio kwako. Kama…
-
Maisha Unayaonaje -1
Hili ni swali la muhimu sana ambalo endapo utwauliza watu mbali mbali basi tegemea majibu tofauti tofauti kama ambavyo unakuwa umewauliza watu tofauti tofauti. Yaani kila mtu ana mtazamo wake na ana jambo lake la kusema juu ya maisha. Wapo wanaosema kwamba maisha ni majaribio, wengine wanasema maisha ni somo, wengine wanasema maisha ni mchezo…
-
VITU AMBAVYO WAHITIMU WA CHUO HAWAPENDI KUFANYA INGAWA VINALIPA SANA.
Habari za siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu kwamba siku yako ya leo ni njema sana na unaenda kufanya mambo makubwa sana ndani ya siku ya leo hii. Kila siku ni mpya hakikisha kwmba unaishi kwa namna ya upya na kufanya kazi kwa namna…
-
HUU NI MUDA AMBAO UNAWEZA KUFANYA KILA KITU.
Habari za siku ya leo rafiki yangu, imani yangu umeianza siku kwa namna ya tofauti na unaenda kufanya kitu cha tofauti. Leo hii ikiwa ni siku ya tarehe 17 June 2017. Tunaenda kujiufunza kitu kizuri sana. hakikisha kwamba unafanya kitu na kukimaliza kile ambacho utakuwa umeanza kufanya siku ya leo hata kama ni kwa udogo.…
-
Usidanganyike Maisha Bado Yanaendelea
habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa makala za songa mbele. imani yangu siku ya leo umeianza kwa namna ya tofauti kabisa. karibu sana katika makala ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho hatujawahi kujifunza maishani mwetu. bila shaka jana uliweza kufanya kitu kikubwa sana jana ambacho mpaka leo hii unashangilia ushindi wake.…
-
Fanya Haya Ili Uishi Milele.
Habari za leo rafiki yangu. Imani yangu siku yako umeianza kwa namna ya tofauti kabisa. Ikiwa ni siku njema sana kwako kwenda kufanya kitu ambacho ni bora sana kwenye maisha yako. Leo hii tunaenda kuzungumzia kitu kingine ambacho watu huwa hawapendi kusikia kwenye masikio yao. Kitu ambacho watu wengi huwa kinawaumiza kichwa muda mwingi wakikifikiria.…
-
Hutaki Kupiga Hatua
Kuna watu ambao wanapenda sana kufanikiwa lakini hawachukui hatua, hata kidogo kuhakikisha kwamba wanatoka hapo walipo ili kwenda pale ambapoo wanatak kufika, kuna watu wana ndoto za kuanzisha biashara mpya lakini bado hawachukui hatua kila siku kuhakikish kwamba wanainuka. kuna watu ambao wao wanapenda kuwa viongozi wakubwa sana lakini hata hawachukui hatua za awali kkuhakikisha…
-
Ukipambana Na Nguruwe Utachafuka Mwenyewe Lakini Yeye Atafurahia
kila siku kuna mambo mapya ambayo yanatokea kila siku. unahitaji kupambana kila siku katika safari yako yako ya kuhakikisaha kwamba unataka kufikia kileleni. unahitaji upambane kwa kwa ujasiri wa hali ya juu sana. kuapambana ni sifa moja kubwa sana ambayo wajasiriamali wanayao. hii ni sifa, ambayo inawatofautisha wao na watu wengine, ambao wana maisha ya…
-
Ifahamu Sheria Ya Kuruhusu
Ruhusu kitu chochote kinachotokea kwako kitokee lakini pia ruhusu mambo yanayotokea kwa watu wengine yatokee.Kama kuna kitu ambacho kinataka kutokea kwako usianze kukizuia ili kisitokee. Kama utapigana kwa nguvu yako kutaka kisitokee basi kitu hicho kitaendelea kitaendelea kuwepo.Maana sheria ya asili ya uvutano ( _law of attraction_) inasema kwamba unavuta kwako Kile ambacho umewekeza nguvu…
-
KUWA– FANYA— PATA
(Thoughts lead to feelings which lead to actions then results.) Watu wengi sana wamejengewa msingi wa kwamba kama ningekuwa na kitu fulani ningefanya hiki ili kupata lile. Hii sio kweli.Mfano mtu anayesema kwamba kama ningekuwa na pesa ningenunua gari hivyo ningekuwa na furaha. Sio kweli maana asili ya dunia ni kwamba nguvu ndiyo inavutia vitu…
-
Huu Ndio Wakati wako Kufanya Mabadiliko
kila kitu kina wakati wake.Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna.Wakati wa kubomoa wakati wa kujenga (Mhubiri 3:3-8) Kumbe kila wakati tunapofanya kitu kipya tunakuwa tunapiga hatua kutoka sifuri kwenda moja. ( From zero to one). Kila unapoazisha kitu kipya umebadilisha mambo kutoka sifuri kwenda moja. Kutokana na mabadiliko haya yanayotokea kila siku hatutegemei…
-
Zijue Aina Mbili Za Mbadiliko
Ili kutoka sifuri kwenda moja mabadiliko ni kitu ambacho hakiepukiki. Maana asili ya dunia ni kubadilika. Hakuna sehemu ambayo inabaki bila kubadilika au kuotesha kitu chochote. Mfano mzuri ni ardhi. ukiilima ukaweka mazao yanaota na kutoa kile ulichopanda. Ukiiacha bila kuipanda basi jua kwamba bado kuna vitu ambavyo vitaota ambavyo ni magugu ingawa hukuvipanda. Kumbe…
-
Ibua Kipaji Chako Sasa
watu wakisema hapana sio kwamba unakuwa umefika mwisho. Watu wakisema huwezi haimaanishi kabisa kwamba huwezi. Ebu tujifunze kutoka kwa visa vya watu hawa wachache. Soichiro Honda aliomba kazi kwenye kampuni ya TOYOTA lakini baada usaili hakupewa kazi.Kukataliwa kwa Honda hakikuwa kikwazo bali chanzo cha kutoka sifuri kwenda moja. Alichokifanya Honda alianzisha kampuni ya kutengeneza baiskeli…
-
Nani anaweza kuniambia kichwa cha makala hii- 2
Uzuri unapofahamaika kwa dunia kama kitu Kizuri, kinakuwa kitu kibaya. Busara zinapofahamikka kwa dunia kama kitu Kizuri, huwa uovu. Kwa hiyo kuwa na kutokuwa huzaliana. Ugumu na urahisi hukamilishana Urefu na ufupi hutengenezana Juu na chini hutofautishana Mbele na nyuma hufuatana Kwa kulifahamu hili basi utafanya kazi zako bila kuangalia watu wengine wanasemaje kwa kufuata…
-
Liwezekanalo Leo Lisingoje Kesho
Kama ungekuwa siku moja ya kuishi duniani ambayo ni leo ungefanya nini?Ni kitu gani ungefanya kumalizia muda wako wa mwisho wa kuishi hapa duniani? Bila shaka kama ungekutana na watu ungeongea nao vizuri.Kama kuna mtu umemkosea basi ungemwomba msamaha lakini pia kusamehe waliokukosea.Kama ni kazi basi ungehakikisha unaifanya vizuri.Yaani kiujumla kila kitu kingefanyika vizuru sana.…
-
Tembea na notebook
Note book ni kitu muhimu ambacho unahitaji kutbea nacho kila mahali uendapo.Hii itakusaidia1. Kusoma na kurudia malengo yako Mara kwa mara.Muda mwibgine unaweza kuanza kufanya vitu lakini kumbe vitu hivyo vipo nje ya malengo kwa kurudia kusoma malengo yako kutakufanya ubaki umeiweka akili yako kwenye lengo lako kuu. 2. Itakusaidia kuandika mawazo. Wakati unafanya kazi…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; MAWAZO—–>HISIA—>MTENDO—–>MATOKEO
Habari za leo Rafiki yangu. Imani yangu umeianza wiki hii vyema ukiwa unaenda kufanya makubwa sana wiki hii.karibu sana Leo hii tutafakari hiki kitu Thoughts ➡feelings ➡actions➡results Kila kitu ambacho unacho katika maisha yako umekivuta kwako kwa mawazo yako ambayo unafikiria. Kiwe Kizuri au kibaya. Mawazo ndiyo hupelekea hisia zako unazopata. Kumbe hisia zozote utakazopata…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; Kauli Muhimu Ambazo Unapaswa Kuzitumia
Wahenga walisema kwamba meneno huumba. Hii ni kauli muhimu sana ambayo unahitaji kuifahamu na kuitumia kwenye maisha yako kwa ajili ya kupata kilichobora. Kila kauli unayoitoa huwa inaleta madhara yake, kwako. Ukisema kwamba kwa hakika hili siliwezi, basi umemaliza. huliwezi kweli! Ukisema mimi ni mjinga, ni kweli wewe utakuwa mjinga. Kumbe kama maneno yanaumba basi…
-
NIMEZALIWA MSHINDI; AMUA➡AMINI➡PATA
“napoamua kwamba nitafanya kitu fulani, inatosha, maana uamuzi huwa unafanya Mara moja tu’ alisema Tonny Robbins mwandishi na mjasiliamali wa kimarekani. Kwa kitu chochote Kile unachotaka uamuzi huwa unafanyika Mara moja. Ndio maana ukienda dukani kununua kitu hurudii rudii kitu kilekile Mara kwa Mara. Bali ukisema niletee nguo fulani basi unakuwa umemaliza. Au ukifanya muamara…
-
Huwezi Kumkodisha Mtu Wa Kukupigia Push Up
Habari za leo rafiki yangu. Imani yangu kuwa umeamka vizuri asubuhi ya leo na unaenda kufanya makubwa. Leo tuangalie jinsi ambavyo huwezi kumkodisha mtu kukupugia push up Najua huwa unasoma vitabu na makala nyingi sana za kuelimisha na kukuhamamisha kila siku. Kama ulikuwa hujaanza kufanya hivyo anza leo. Mambo yote ambayo unayasoma na kuhamasika hayatafanya…