SONGA MBELE

  • Cart
  • Duka La Maarifa
  • Home
  • KUHUSU TOVUTI HII
  • MAFUNZO ZAIDI
  • MAWASILIANO
  • My account
  • Zawadi
Illustration of a bird flying.
  • Faida 6 za Kusoma Vitabu na Makala za Kuelimisha.

    Habari za leo msomaji wa songambeleadress.blogspot.com ni imani yangu kuwa unaendelea vyema katika hatua za kuweza kufikia malengo uliyojiwekea Leo ningependa tujue umuhimu wa kusona vitabu na makala za kuelimisha,lakini pia tujifunze na kuanza kujisomea vitabu. 1.Unapata kujua mambo mapya.Kupitia kusoma unapata kujua vitu vipya,taarifa mpya na mbinu mpya za kutatua matatizo Ili uweze kupata yote haya […]

    September 30, 2016
  • Wafanyabiashara Waliofanikiwa Wanavyotunza Muda

    Ili ufanikiwe katika biashara unahitaji kutunza mda.Kama hutatunza mda sio tu kwamba utapoteza malengo lakini pia utapoteza wateja,hela,na pia unaweza kupoteza na biashara. Hapa kuna mambo matatu ambayo unaweza kuchukua ili kutunza mda wako.1.kuwa na mpango. Unahitaji kujua kile ambacho unataka kufikia na mda ambao unataka kiwe kimekamilika. Kuwa na mpango kutasaidia sana wewe kufikia […]

    September 28, 2016
  • Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Wakati wa Kuanzisha Biashara

    Wakati wa hali mbaya kiuchumi na mshahara kidogo  kwa walioajiriwa vikipamba moto ,wazo la kuanzisha biashara na kuwa bosi wako mwenyewe linaweza kuwa bora zaidi.Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara 1.WazoKatika kila wazo zuri la biashara ulilo nalo kuna mamia ya watu wana wazo hilohilo. Jambo muhimu la kuzingatia ni kama […]

    September 27, 2016
  • Jinsi Ya Kuepuka Kujiua Mwengewe Kiakili

    Kujiua mwenyewe kiakili ni pale ubongo unapojirarua mwenyewe.Mwili unataka kufanya jambo fulani lakini ubongo ushakata tamaa na unaamua kujiua. Kila kitu tunachofikiria kinaweza kukujenga au kukubomoa.Kina uwezo wa kukutoa sehemu ya chini kimaendeleo na kukupeleka sehemu ya juu.Uko ulivyo kwa sababu ya jinsi unavyofikria,ukijisemea mimi  ni maskini Au hiki sikiwezi Au mimi ni mvivu utabaki […]

    September 25, 2016
  • Ijue Siri Ya Babiloni Kuwa Mji Tajiri Kuliko Yote Duniani

    Babiloni ulikuwa mji katika sehemu ya Mesopotamia.Mji huu ulikuwa sehemu ambayo ni kame na hivyo haukuwa na mvua za kutosha ili kuweza kuendesha shughuli yoyote ya kilimo.Chanzo pekee cha maji kilikuwa ni mto Euphrates.Watu wa Babiloni waliweza kuchimba mifereji kuingia mjini mwao na hivyo kuendesha shughuli zao za kuwaingizia kipato. Jambo kubwa lililowafanya kuwa matajiri […]

    September 24, 2016
  • MBINU MUHIMU YA KUJENGA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA

    Wajasiriamali wana mchango katika maendeleo ya uchumi wa nchi yetu,chimbuko la vipato ambavyo husaidia kujenga uchumi wa watu kupitia biashara zao.kuna mbinu mbalimbali ambazo wajasiliamali ambazo wajasiriamali wanaweza kuzitumia ili kujenga mafanikio katika biashara zao. Fanya kile unapenda Kama wewe ni mjasiliamali fanya kile unachokipenda.Usiingie katika ujasiliamali kwa kufanya tu kile ambacho umeona wengine wanafanya.Usifanye […]

    September 24, 2016
  • Sheria Muhimu Katika Kutengeneza Pesa Na Kuwa Tajiri

    Watu wengi wamekuwa na ndoto kubwa sana ya kuwa matajiri.Lakini hawajapata kujua jambo muhimu katika kutengeneza pesa na hivyo kufikia ndoto yao ya kuwa tajiri.Jambo muhimu unalohitaji kulifahamu katika kutengeneza pesa ni kufahamu tofauti kati ya RASLIMALI na DHIMA Swali Raslimali ni nini?Raslimali ni kitu kinachoingiza pesa kwenye mfuko wako Swali dhima ni nini?Dhima ni […]

    September 23, 2016
←Previous Page
1 … 77 78 79

SONGA MBELE