-
Tumia Muda Na Watu Uwapendao
Habari za leo Rafiki yangu imani yangu umeamka salama na unaendelea vyema sana na kazi zako ambazo umekusudia kufanya siku ya leo. Leo ni siku njema sana, kwetu kwenda kuweka juhudi na kufanya mambo makubwa sana. Kutokana na kwamba unapangilia ratiba yako kila siku asubuhi, najua wazi kwamba sasa hivi huna muda wa kupoteza hata […]
-
Maamuzi Matatu Ambayo Unapaswa Kuyafanya Leo
Habar za leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele, imani yangu umeuanza siku yako vyema kabusa huku ukiwa unaenda kufanya mambo makubwa sana siku ya leo. Leo hii tunaenda kujifunza kitu chenye umuhimu mkubwa sana kwetu, kitu ambacho kitatubadilisha kwa kututoa hapa tulipo na kutupeleka kileleni. Ndio haya ni maamuzi […]
-
Endelea Kupiga Hatua
Habari za leo rafiki yangu na ngugu msomaji wa makala za songa mbele. karibuni sana katika makala ya siku ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho hatujawahi kujifunza kwa namna yoyote ile. hata kama utakuwa umekiona mahali basi leo unaenda kujifunza kwa namna ya tofauti kabisa, hivyo naomba tuweze kusafiri kwa pamoja mpaka mwisho […]
-
Falsafa Muhimu Ambayo Kila Mtu Anapaswa Kuiishi.
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa makala za songa mbele blog, imani yangu umeianza siku yako kwa namna ya tofauti sana leo na unaenda kufanya kitu cha tofauti sana kadri ya falsafa ambazo umechagua kuishi. Falsafa ni kitu ambacho watu wengi sana wanakiogopa kwenye maisha yao. Ila kwa namna yoyote ile jinsi unavyoendesha […]
-
Mambo Manne Kuhusu Pesa Ambayo Unahitaji Kuyazingatia
Habari za leo rafiki yangu na msomaji wa blogu yako ya songa mbele karibu sana katika makala ya leo ambapo tunaenda kuzungumzia somo ambalo watu wengi sana huwa hawapendi kuliongelea, watu wengi huwa wanaogopa kulitaja lakini wanatumia muda mwingi sana kufikiri juu yake. Leo tunaenda kuzungunuzia kuhusu pesa. Robert Kiyosaki anakwambia kwamba huwezi kusema kwamba […]
-
Ujumbe Muhimu Kwa Wahitimu Wa Kidato Cha Sita
Habari za leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala za songa mbele blog. Karibu sana katika makala yetu ya leo.makala ya leo imebeba ujumbe muhimu sana kwa wahitimu wa kidato cja sita mwaka huu. Kwanza nachukua nafasi hii kuwapongeza kwa kupiga hatua kubwa sana ya kimasomo mpaka hapo mlipofikia. Ni hatua kubwa sana ambayo […]
-
Mambo Ya Kuzingatia Ili Kutengeneza Mwelekeo Bora Wa Maisha Yako.
Zitoe ndoto zako ambazo umeficha na uzilete katika uwazi ili tuweze kuziona. Ndoto lazima tuwe tayari kuzifanyia kazi. Kuna mtu mmoja ambaye alikuwa anadaiwa na Rafiki yake. Rafiki yake alimuuluza, utanilipa lini deni langu?Yule MTU alisema. Nitakulipa nitakapouza kitabu changu.Rafiki yake akamjibu aya poa haina shida.Yule mtu akaendelea! Kitabu chenyewe sijakiandika, nikikiandika, nikakichapisha nikauza nitakulipa […]
-
Kitu Kimoja Ambacho Unapaswa Kukitafuta Kila Siku
Mithali 3, 13/14 Heri mtu yule aonaye hekima. Na mtu yule apataye ufahamu, Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi. Katika mistari hii nimeilinganisha na umuhimu wa mtu kusoma vitabu. Maana amaenndika hivi Na mtu yule apataye ufahamu. Kumbe kupata ufahamu ni kitu cha muhimu […]
-
Sheria Muhimu Ambayo Unahitaji Kuiehshimu.
habari za leo rafiki na dugu msomaji wa makala za songa mbele blog karibuni sana katika makala za siku ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya kitakachobadilisha mwelekeo wa maisha yetu ya kila siku na kuhakikisha kwamba tunasonga mbele. tupo katika dunia ambayo imejaa sheria za kila aina. zipo sheria za serikali kuu, sheria za […]
-
Maisha ya mafanikio ni kama kupanda ngazi
Maisha ya kuelekea mafanikio ni kama kupanda ngazi. Kama unapaswa kupanda ngazi kutoka chini kwenda ghorofa ya juu kabisa, basi hakuna jinsi utapaswa kuzipanda ngazi moja baada ya nyingine. Ukitaka kuruka ngazi hizi unaweza kujikuta ukiumia mwenyewe au huwezi kabisa kufika unapotaka. Chukulia mwanafuzi ambaye amekwepa mahesabu ya awali kabisa ambayo yanahusisha kujumulisha, kutoa, na […]
-
Kitakachokutoa Sifuri Mpaka Moja
Habari za leo rafiki yangu, imani yangu siku ya leo umeianza vyema sana. Karibu sana katika makala yetu ya leo tunapoenda kujifunza kitu kipya ambacho kitabadilisha maisha yetu na kutuinua kututoa sifuri mpaka kileleni. Ndio namaanisha kutoka sifuri mwaka kileleni. Kitu hiki kimo ndani yako na hiki ni kitu ambacho umezaliwa kufanya hapa duniani yaani […]
-
Jambo La Kuomba Kila Siku
Solomon alizaliwa kwenye miaka ya 974 K.K Alikuwa mfalme wa Israel akiwa na miaka 12. Mungu alimtokea solomon na kumwuliza anaomba nini cha kumsaidia kwenye uongozi wake. Solomon alisema anataka kujaliwa busara. 1 Wafalme 3:9 1Mambo ya Nyakati 1:10 Mungu alimwambia kwa kuwa hajaomba Mali, utajiri, heshima, maisha marefu. Nitakupa vyote. Nitakupa maarifa, Mali, utajiri […]
-
Kosa Kubwa Kuwahi Kufanyika Duniani
Habari za leo rafiki yangu, imani yangu unaendelea vyema katika harakati zako za kuhakikisha unatoka moja mpaka kileleni. Karibu sana katika makala ya leo ambapo tunaenda kujifunza kosa kubwa sana ambalo huwa linafanywa na watu wengi sana. Ndio. Labda hata wewe umekuwa unafanya kosa hili bila kujua lakini sasa unaenda kulijua jambo hili na kuliepuka.. […]
-
Hakuna Jumapili Ya Pasaka Bila Ijumaa Kuu
Ijumaa kuu ni siku ambavyo wakatoliki wote huwa wanakumbuka mateso ya Kristo.Lakini siku tatu baade ambavyo ni Jumapili wakristo hao huwa wanashangalia kufufuka kwa Kristo. Wahenga walisema mtaka cha uvunguni shafti ainame. Ili Yesu afufuke ilibidi kwanza ijumaa ya mateso ianze ateswe na afe. Hiyo pia ndiyo siri Kubwa sana ya mafanikio. Ili ufikie hatua […]
-
Nianzie Wapi?
Habari za rafiki yangu na msomaji wa blogu yako ya songa mbele karibu sana katika makala leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya kwenye maisha yetu. Mara nyingi huwa tunajiuliza tuanzie wapi, tufanye nini?Tunaangalia fursa hatuzioni.Kwa leo ningependa kujibu swali hili la nitaanzia wapi na kutoa jibu na mbinu ambazo zitakusaidia kupata wazo la biashara au […]
-
Acha Kulalamika
Ni rahisi sana kuwalalamikia watu wengine juu ya kile ambacho wamefanyaLakini kumbuka kwamba watu wote duniani hawawezi kufikiri na kutenda kama wewe. Lazima iwepo tofauti na Mara nyingi tofauti hizi ndizo huleta maendeleo. Ni kwa sababu ya tofauti zilizopo kati ya mataifa makubwa ambazo zimeleta maendeleo na ugunduzi mkubwa wa vitu mbali mbali hapa duniani. […]
-
Kilichofanywa Na Huyu, Nami Naweza Kufanya.
Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songambele karibu sana katika makala ya leo .Tunaenda kuijifunza kitu kipya chenye manufaa mamkubwa sana kwetu. Kuna mtu mmoja ambaye alikuwa ameandika kwenye ubao maneno fulani na maneno hayo aliyaonesha kwa kila mtu aliyekuja kwake ma maneno ya kukatisha tamaa. Meneno hayo yalikuwa […]
-
KONA YA SONGA MBELE; Hili Ndilo Jambo Linalolipa Sana.
Habari za leo Rafiki yangu imani yangu siku ya leo umeianza vyema sana ukiwa mwenye furaha na amani. Na unaenda kufanya maku wa sana siku ya leo. Karibu sana katika makala za kona ya songa mbele ambazo huwa zinakujia mara moja kwa wiki siku kama ya leo.Leo tuangalie kwa umakini kitu ambacho kinachopatikana katika vitabu. […]
-
Ifahamu Karatasi Ya Dhahabu
Habari za leo Rafiki yangu, na ndugu msomaji wa blogu yako ya songs mbele. Karibu sana katika makala yetu ya leo ili tujifunze kitu kipya kitakachotufanya tuendelee kuwa vijana hata kama tuna miaka zaidi ya 80 kama anavyosema Dharma “kusoma kunaweza kukufanya kuwa kijana hata kama una miaka 80 na kukufanyabkuwa mzee hata kama una […]
-
Njia Tisa (09) Za Kuongeza Thamani Katika Kazi Zako
Katika ulimwengu wa sasa ambao unakua kwa kasi kubwa sana, mambo yanazidi kubadilika kwa kasi kubwa sana. Tupo katika ulimwengu ambao mtu analipwa kwa thamani anayoitoa kwa watu sio kwa kiwango ambacho amefanya kazi. Kama kwa sasa unalipwa laki tatu kwa mwezi, haulipwi laki tatu kwa sababu ya masaa uliyofanya kazi bali kwa thamani unayoitoa. […]