-
Watafute Watu
Miongoni mwa vitu ambavyo unavihitaji sana maishani mwako ili kufanikiwa na kuhakikisha kwamba unapiga hatua kubwa sana ni watu. Unahitaji watu ili uweze kufanya biashara zako. Unawahitaji watu ili uweze kuwa kiongozi. Maana kipimo bora cha kwamba wewe ni kiongozi bora kitaonesha majibu pale patakapokuwa na watu. Unahitaji watu ili ukae darasani na kusoma. Hawa…
-
Nguzo Tano Za Masoko
Moja kati ya somo la muhimu sana ambalo mjasiliamali anahitaji kuhakikisha kwamba amelifahamu kwa undani na kujifunza somo hilo ni kuuza. Maana mara nyingi sana watu huwa wanaweka nguvu nyingi sana katika kuhakikisha kwamba wameweza kuzalisha bidhaa mpya. Lakini hata kama utazalisha bidhaa mpya ambayo ni nzuri kiasi gani, bila kuiuza bidhaa hiyo basi jua…
-
TATIZO SI RASILIMALIZ ZILIZOPOTEA-66 tatizo hujajua mahali ulipo
Sasa hivi tunapoelekea mwishoni mwa waka 2017 mchakato wa watu kuweka malengo umeanza. Bila shaka na wewe kwa sasa utakuwa unafikiri au upo katika mchakato wa kuweka malengo. Katika akili yako una mpango wa kwenda mbele sana. Lakini ebu tulia kidogo nikuulize swali moja ambalo ninaomba jibu lako sasa hivi. Uko wapi sasa hivi? Ndio…
-
Unafunga Sehemu Gani?
Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu kwamba leo umekuwa na siku njema sana. Na hivyo unazidi kuweka juhudi kubwa sana kuhakikisha kwamba unaweza kufikia mafanikio makubwa sana ya kimaisha. Bila shaka katika maisha yako umewahi kucheza mchezo wowote ule. Bila shaka katika…
-
NAAM! KIPENGA KIMEPULIZWA
Duniani hapa kumeshuhudiwa mitanange mingi sana ya mpira tangu dunia imekuwepo mpaka leo hii unaposoma makala haya. Mitanange hii si ya mipira ya ligi kuu ya vodacom au ligi kuu ya ulaya tu bali pia kuna mitanange ya michezo mingine ya maisha. Kuna mechi ambazo huwa zikichezwa, kwa hakika huwa zinavutia sana. Sio tu kwamba…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-65 Tatizo hutaki kusema ndoto yako
Mara nyingi sana watu wanakuwa na ndoto ya kupiga hatua na kwenda mbele zaidi. Ila ndoto zao wanaogopa kuzitaja kwa watu wakiogopa maneno ya watu. Kama unaogopa kuongea ndoto zako mbele ya watu jua kwamba kuna kitu ambacho kinakosa kwenye ndoto zako. Kaa chini sasa na uhakikishe kwamba unazipitia tena ndoto zako. Maana kama wewe…
-
Kumbe Unajidanganya?
Habari ya siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. ‘imani yangu kwamba umekuwa na siku njema sana leo. Hii nikutokana na ukweli kwamnba umefanya kile ambacho unapaswa kukifanya kwa wakati ambapo unapaswa kukifanya na kuhakikisha kwamba umeweza kutimiza majukumu yako. Karibu sana katika makala haya ya siku hii ya…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-64
Tatizo unataka kucheza peke yako uwanjani Wachezaji wa mpira wa miguu wanatufundisha jambo jema sana ambalo tuunapaswa kulifahamu maishani. Kila wanapoingia uwanajani kwa pamoja wanashirikiana na kucheza mpira kwa pamoja. Huwa wanahakikisha kwamba wanapasiana mpira. Hakuna mchezaji wa mpira ambaye huwa anakaa na mpira peke yake muda wote ili yeye aonekane kwamba anajua sana zaidi…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-63
Tatizo hujajua umuhimu wa jina lako Jina la mtu ni muhimu sana. Jina lako ni muhimu zaidi. Yanapotajwa majina ya baadhi ya watu kuna kitu ambacho lazima kijnakuja katika akili yako. Mfano likitajwa jina la MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE, moja kwa moja akili yako itajua kwamba huyu ni mkombozi wa Tanzania, baba wa taifa na…
-
Haya Ndio Maneno Yanayotumiwa Na Watu Kujifariji Linapokuja Suala La Pesa
Nimegundua kwamba mtu anapokuwa hana kitu anatafuta njia ya kuonesha kwamba yeye yupo sahihi kwa asilimia 100%. Yaani yeye kushindwa kukipata kwake ana kutumia kama nafasi yake kuonekana kwaba yeye ni mtu ambaye yuko sahihi kwa asilimia mia moja. Mfano unakuta wavulana hawajui kujieleza basi wanachukua nafasi kujionesha kwamba wako sahihi. Unakuta wanatumia maneno kama…
-
KONA YA SONGA MBELE; Hii Ndio Kauli Ambayo Inadidimiza Ubunifu Hapa Harani Afrika.
Moja kati ya bara lenye wingi wa rasilimali ni afrika. Ila kwa kuwa watu hawajajengwa katika msingi wa kuhakikisha kwamba wanaziona rasilimali basi wanatumia muda mwingi sana kuhakikisha kwamba wanalalamika kila siku, kila wakati. Hali hii inazidi kupoteza ubunifu wa vijana wetu wa kiafrika. Kuna vitu vingi sana vinavyofanya waafrika wasiweze kuzitumia rasilimali zao ambazo…
-
Je, kuna haja ya kuogopa hatari?
Miongoni mwa vitu ambavyo watu huwa hawapendi ni tendo la kufanya kosa. Watu wengi sana huwa hawapendi kufanya makosa wala kusikia kwamba wao wameshiriki katika kufanya makosa hayo. Ndio maana asilimia kubwa sana ya watu wengi sana huwa hawaweki malengo katika maisha yao kwa sababu tu kwamba wanaogopa pale ambapo hawatatayatimiza itakuwaje. Lakini pia inakuwa…
-
Hawa Watu Walipaswa Kuwa Wamefukuzwa Kazi
Kuna watu ambao kwa matendo ambayo wameyafanya waliapaswa kuwa wamefukuzwa kazi na kukosa mshahara wa kampuni ambayo walikuwa wanaifanyia kazi. Hii ni kutokana na ukweli kwamba katika dunia hii kuna sehemu ambayo watu wanavumilia makosa hayo na kuna sehemu ambayo watu hawawavumilii makosa hayo. Moja ya sehemu ambayo watu hawavumilii makosa ni katika ajira. Kama…
-
TATIZO SI RASILIMALII ZILIZOPOTEA-59 Tatizo hutaki kuchoma meli moto
Kuna watu ambao wanapenda sana kufanikiwa ila bado hata vile vitu ambavyo vinawavuta kutoka kwenye mafaniko wanavipenda. Nikiona watu wa aina wanakuwa wananikumbusha juu ya hadithi ya ya fisi ambaye alichukua njia mbili mwisho wa siku akapasuka. Bila shaka na wahenga walikuwa wanafikiria mbali na walikuwa tayari wameona kitu cha maana kubwa sana pale walipokuja…
-
Vitu Viwili Vinavyozuia Watu Kuweza Kufikia Malengo Yao
Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya ya SONGA MBELE. Imni ysngu kwamba umeianza siku yako vyema sana na unaeanda kufanya mambo mkubwa sana siku hii ya leo. Leo hii tunaenda kuangalia vitu ambavyo vimezuia watu walio wengi kushindwa kufikia malengo yao mwaka huu. Mwanzoni mwa kila mwaka watu…
-
Huyu Ndiye Mtu Ambaye Unapaswa Kumwepuka
Hab ari ya siku hiii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya kutoka katika blogu yako ya SONGA MBELE. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako ambapo unaenda kuweka juhudi kubwa sana na kuhakikisha kwamba unafanya makubwa. Siku hii ya leo tusafiri kwa pamoja kwa ajili ya kujifunza kitu kipya chenye…
-
Haya Ndio Matumizi Unayopaswa Kuhakikisha Umeyafanya Kila Siku
Mara nyingi sana tunafanya matumizi kila siku, kila kunapokucha. Kwani matumizi ni nini? Matumizi kwa maana ya rahisi ni kiwamba, matumizi ni pesa inayotoka katika mfuko wako. Hivyo kama unafanya mabadilishano yoyote yale ambayo yanahusisha utoaji wa pesa mfukoni mwako jua kwamba unakuwa unafanya matumizi. Mara nyingi sana matumizi haya ambayo yanafanyika ni kwamba huwa…
-
KONA YA SONGA MBELE: Nani Anakujua?
Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala zako pedwa ambazo hukujia kila siku ya jumapili. Karibu sana katika makala haya ya siku hii ya leo, ambapo tunaeanda kuangalia ni nani anakujua katika biashara yako? Mara nyingi mtu anapokuwa na wazo la biashara, ana kuwa tayari anaona kwamba wazo lake litamfanya…
-
Huu Ndio Uhuni Hatari Unaofanyika Duniani
Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala ya SONGA MBELE BLOG. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako ambapo unaenda kuweka juhudi ili kuhakikisha unaongeza ufanisi katika kazi zako. Katika dunia hii kuna uhuni mkubwa sana ambao huwa unafanyika kila siku. Uhuni huu umekuwa ukifanywa na watu bila…
-
Kanuni Tatu Ambazo Unahitaji Kuzifahamu Ili Uweze Kufanya Makubwa Mishani Mwako
Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala ya SONGA MBELE. Imani yangu kwamba leo hii ni siku njema sana kwako ambapo unaenda kuweka juhudi kubwa sana kuhakikishakwamba unaweza kufikia mafanikio makubwa sana. Kanuni za mafanikio sio kwamba zimebadilika. Bado ziko vile vile kama ambavyo zimekuwa kwa miaka mingi sana ambayo…