-
Makosa Ambayo Watu Hufanya Kwenye Fedha Zao
Hapa kuna orodha ya makosa matano yanayofanywa mara kwa mara: Hayo ni baadhi ya makosa ambayo watu hufanya kwenye fedha zao. Kujifunza zaidi kuhusu mako sambayo watu hufanya kuhusu fedha zao basi nashauri usome kitabu cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA pamoja MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE. Hivi vitabu vitabadili sana namna unavyofikiria…
-
Jinsi ya Kujenga Tabia MpyaHatua kwa Hatua
Kujenga tabia mpya ni mchakato wa kusisimua na unaotegemea nguvu ya mazoea yanayofanya kazi. Inahitaji kuwa na dhamira ya kujitoa ili kujenga tabia na kuwa thabiti kwenye kujenga tabia yako. Watu wengi wamekuwa wanakwama kwenye kujenga tabia mpya, na hasa kuziendeleza. Hata hivyo, kwa kufuata hatua ambazo nitakuelekeza kwenye makala ya leo, unaweza kuanza safari…
-
Mambo Matano Kutoka Kwenye Kitabu Ch The School Of Money
Kitabu cha “The School Of Money” ni kitabu kilichoandikwa na mwandishi maarufu na mfanyabiashara, Olumide Emmanuel. Kitabu hiki kinafundisha wasomaji kanuni za kutengeneza utajiri na usimamizi wa kifedha. Baadhi ya mambo muhimu ya kuzingatia kutoka kwenye kitabu ni pamoja na: Kwa ujumla, “The School Of Money” ni rasilimali muhimu kwa mtu yeyote anayetaka kuboresha ustadi…
-
Kitabu hiki ni muhimu kwa mtu yeyote anayetaka kujifunza jinsi ya kuunda mabadiliko chanya na kufikia mafanikio ya kibinafsi.
Kwa kweli, kila mtu anataka kufanikiwa na kufikia malengo yao ya kibinafsi. Hata hivyo, njia za kufikia mafanikio zinaweza kuwa ngumu na zisizoeleweka. Kitabu “Nguvu ya Kuchukua Hatua ya Kwanza” kinakusaidia kuelewa jinsi ya kuunda mabadiliko chanya katika maisha yako na kufikia mafanikio ya kibinafsi. Kwa kusoma kitabu hiki, utajifunza Nguvu kubwa iliyo nyuma ya…
-
Ifuatayo Ni Orodha Ya Baadhi Ya Vitabu Vya Robert Kiyosaki Na Mambo Ya Kujifunza Kutoka Kwenye Kila Kitabu
Kwenye makala ya jana, tulimwongelea Robert Kiyosaki, hata hivyo, baada ya hiyo makala nimepokea maombi ya watu wanaouliza ni vitabu vingapi ambavyo Robert Kiyosaki ameandika? Binafsi sijawahi kusoma vitabu vyote vya Kiyosaki, hivyo, nililazimika kuangalia mtandaoni. hahaha Hivyo, kadri ya wikipedia, wanasema kwamba Robert Kiyosaki ameandika vitabu 26. Huku kitabu chake cha Rich Dad Poor…
-
Kitabu cha NGUVU YA KUCHUKUA HATUA YA KWANZA ni kitabu ambacho kila mtu anapaswa kusoma
Ikiwa unataka kujiondoa kwenye mkwamo ulionao na kupiga hatua kubwa kimaisha. Ikiwa unataka kujenga utamaduni wa kuchukua hatua, basi hiki ni kitabu sahihi kwako. Kitabu “Nguvu ya Kuchukua Hatua ya Kwanza” kina mwongozo wa kina wa jinsi ya kuweka malengo na kuyafikia kwa mafanikio, na pia inakupa zana za kukabiliana na changamoto zinazoweza kukuondoa njia…
-
Huyu Ndiye Robert Kiyosaki Na Haya Ni Mambo 20+ Ya Kujifunza Kutoka Kwake
Robert Kiyosaki ni mfanyabiashara, mwekezaji, na mwandishi wa kitabu cha “Rich Dad Poor Dad.” Kitabu hiki ni miongoni mwa vitabu ambavyo vimeuza sana na watu wengi wamekisoma kikiwaletea matokeo makubwa Alizaliwa Aprili 8, 1947, huko Hawaii, na alikulia katika familia ya maskini ambapo baba yake alikuwa mwalimu. Wakati kiyosaki anakua, alipata kujifunza kutoka kwa baba…
-
“Pata Mafanikio Kupitia Mwongozo wa “Nguvu ya Kuchukua Hatua ya Kwanza” kwa Kuweka na Kufikia Malengo Yako”
Kitabu hiki kinakupa zana za kukabiliana na changamoto zinazoweza kukuondoa njia yako ya kufikia malengo yako kwa ujasiri na kujiamini. Utajifunza jinsi ya kutambua vizuizi vya kibinafsi na kuvuka changamoto hizo, na pia jinsi ya kuchukua hatua ya kwanza na kufuata mipango yako ya kibinafsi kuelekea mafanikio. Nguvu ya Kuchukua Hatua ya Kwanza inakupa mbinu…
-
Kitabu cha Nguvu ya Kuchukua Hatua ya Kwanza: Kina Mbinu za Kuondokana na Hofu na Kufikia Mafanikio ya Kibinafsi
Ikiwa unataka kuanza safari yako ya mafanikio, basi kitabu “Nguvu ya Kuchukua Hatua ya Kwanza” ni lazima uwe nacho. Kitabu hiki kinatoa mbinu sahihi za kukusaidia kuondokana na uzito wa hofu na wasiwasi na kuchukua hatua ya kwanza. Ikiwa unaota kuwa na maisha bora, basi hii ndiyo fursa yako ya kuifanya ndoto yako kuwa halisi.…
-
Uchambuzi Wa Kitabu Cha Rich Dad Guide To Investing
Rich Dad Guide to Investing” ni kitabu kilichoandikwa na Robert Kiyosaki, kinachotoa mwongozo juu ya jinsi ya kuwekeza katika soko la hisa na mali isiyohamishika. Kitabu hiki kinategemea kanuni za vitabu vya awali vya Kiyosaki, “Rich Dad Poor Dad” na “Cashflow Quadrant,” na kinaelezea umuhimu wa elimu ya kifedha na uelewa wa tofauti kati ya…
-
USHAURI: Kwa Nini Maskini Wanapendelea Kuwa Maskini
Habari yangu ni njema sana. Kuna uhusiano mkubwa sana Tena sana Kati ya kuzaliwa kwenye familia masikini na kuendelea kuwa maskini maisha yako yote. Kwanza unapozaliwa kwenye familia masikini unachoona ni umaskini. Nahata stori zinazopigwa ni kimasikini. Wakiongelea matajiri wanaongelewa kama watu wabaya, watu ambao hawana huruma, watu ambao wanawaonea wengine. Watu ambao wameupata utajiri…
-
Kwa Nini Nashindwa Kutimiza Malengo Yangu?
Habari ya leo rafiki yangu Kwenye makala ya leo ningependa kutoa ushauri kwa rafiki yetu mmoja ambaye ameuomba kutoka kwangu. Rafiki yetu anasema kwamba kwa nini hafikii malengo ilihali ana uwezo wa kufanya hivyo? Kujibu swali lake ningependa kuja moja kwa moja kwenye pointi ya msingi kueleza kwa nini hafikii malengo yake. Hiki ni kitu…
-
Hii ndiyo Siri ya wewe kutengenezea utajiri mkubwa kwenye maisha.
Na siri hii ni kwamba kama unataka kuwa tajiri basi fanya kinyume na watu wengine wanavyofanya. Mara nyingi watu wengi huwa wanafuata mkumbo kwenye maamuzi yao. Kwa hiyo, maamuzi yao yanakuwa siyo sahihi. Mtu anafanya kitu Kwa sababu na jirani yake anafanya. Mtu anajiunga na VICOBA Kwa sababu jirani na rafiki zake wote wamejiunga na…
-
UMEZALIWA KUTAWALA
Rafiki yangu mpendwa, salaam. Leo ni siku njema sana. Kwenye andiko hili nataka tuongelee namna ambavyo UMEZALIWA KUTAWALA na jinsi unavyopaswa kufikiri katika namna ya KUTAWALA muda wote Mtazamo wa uhaba (Scarcity mindsent) Hii ni dhana ambayo watu wengi wanakuwa nayo. Hiki kitu kinawafanya wengi wafikiri kwamba RASILIMALI na vitu vingine vinapatikana Kwa uhaba hapa…
-
Sababu mbili Kwa Nini kila anayetaka kuwekeza anapaswa kuwa na biashara pia
Rafiki yangu mpendwa salaam, sina shaka unaendelea vizuri. KWENYE makala ya Leo ningependa kuongea na Wewe juu ya sababu mbili kwa nini haswa unapaswa kuwa na biashara kabla ya kuwekeza. Kuna watu AMBAO Huwa wanapenda kuwekeza ila huwa hawataki kujifunza Kuhusu biashara wala kujua chochote biashara. Ukweli ni kwamba uwekezaji na biashara ni vitu ambavyo…
-
Audiobook vs Ebook
Audiobook ni kitabu kimesomwa kwa sauti (kitabu kinaweza kuwa kimechapwa au hakijapachwa, ila kikisomwa kwa sauti kinakuwa audiobook) Audiobook.ni neno la kiingereza ambalo linaundwa maneno mawili.Neno la kwanza niaudio=yaani sauti Na neno la pili ni book yaani kitabu. Kwa lugha nyingine tunaweza kusema audiobook ni KITABU SAUTI. Mfano wa kitabu sauti hiki hapa Kwa upande…
-
Hii Ndiyo Fursa yako ya Kupata Nakala ya Kitabu cha The School of Money (Hardcopy) Bure Kabisa!
Rafiki yangu mpendwa, ninaamini kuwa kila mmoja wetu anapenda kuwa na maisha bora zaidi, yenye uhuru wa kifedha na utulivu wa kiakili. Leo, nataka kuzungumza na wewe kuhusu kitabu cha kipekee ambacho kimekuwa kikisaidia watu duniani kote kufikia mafanikio ya kifedha. Kitabu hiki ni “The School of Money” ambacho kinaandikwa na mmoja wa wataalamu wa…
-
Uchambuzi wa kitabu cha NO excuses
Kitabu: No ExcuseMwandishi: Brain TracyMchambuzi: Hillary Mrosso Utangulizi Mwandishi wa kitabu hiki anataka tuwe watu wa matokeo na sio watu wa kutoa sababu kwanini hakuna matokeo. Maneno kidogo kazi zaidi, matokeo zaidi. Karibu tujifunze mambo 100 niliyoyaona ndani ya kitabu hiki kizuri. Asante kwa kusoma uchambuzi wa kitabu hiki, hiki ni kitabu kizuri sana, nashauri…
-
Unapaswa kuwa na vyanzo vingi vya kipato, la sivyo utakuwa na vyanzo vingi vya mahangaiko
Rafiki yangu mpendwa Salaam Sina shaka unaendela vizuri kabisa Siku ya leo nataka kukwambia kwamba unapaswa kuwa na vyanzo vingi vya kipato la sivyo utakuwa na vyanzo vingi vya mahangaiko. Hata hivyo, kabla hujaishia hapa na kwenda kukimbizana kuanzisha vyanzo vingi vya kipato. Ningependa tu uwe na subira, nasema uwe na subira kwanza ili usome…
-
NGUVU YA KUCHUKUA HATUA YA KWANZA: Na Kwa Nini UnAHITAJI Kumaliza Kile Ulichoanza
Rafiki yangu mpendwa, Salaam Juzi tumezindua kitabu kipya cha NGUVU YA KUCHUKUA HATUA YA KWANZA. Na kwa nini unapaswa kumaliza kile ulichoanza. Hiki ni moja ya kitabu kizuri sana ambacho unapaswa kuhakikisha kwamba umepata nakala yake mapema. Najua, umekuwa unataka kufanya makubwa. Lakini changamoto yako kubwa imekuwa aidha ni kuchukua hatua ya kwanza. Au la…