-
Kuwa bora
Moja ya dhana ambayo watu wengi tumekuwa hatujifunzi ni kuwa vitu ambavyo ni bora ndivyo ambavyo huwa vinapendwa. Hakuna mtu huwa anapenda kukaa karibu na vitu dhaifu, vitu ambavyo siyo vizuri na vitu ambavyo havivutii. Ili uweze kunielewa vizuri kwenye hili, nitatolea mfano ambao unaweza kukuudhi kidogo. Hivi eti kwa mfano, unaweza kuchukua chakula chako […]
-
Iambie dunia kile unachotaka kufanya, ila kwanza kioneshe hicho kitu
Rafiki yangu, habari ya siku ya leo. Hongera sana kwa siku hii ya leo nay a kipekee sana. mimi kwa upande wangu rafiki yangu siku ya leo, nina kitu kimoja tu ambacho ningependa kukwambia. Na kitu hiki siyo kingine bali ni kwamba kama kuna kitu ambacho ungependa kuiambia dunia, basi hicho kitu unapaswa kukisema kwa […]
-
Jinsi ya kuitumia nguvu ya mara kumi zaidi kufanikisha makubwa
Rafiki yangu, sina shaka unaendelea vizuri kabisa. hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. siku ya leo ningependa kuongea na wewe juu ya suala moja tu. Na suala hili ni namna ambavyo unaweza kuitumia nguvu ya mara kumi zaidi kufanikisha malengo yako, na kitu chochote kile ambacho umepanga. Kiufupi kwenye hii makala nataka nikuoneshe […]
-
Hivi unajua Nini kuhusu uwekezaji wa hisa, hatifungani na VIPANDE?
Katika kuongea kwangu na rafiki zangu. Nimekuja kugundua kitu Kimoja kutoka kwa Watu kadha wa kadha ambao nimeongea nao. Hawana ufahamu kamili kuhusu uwekezaji wa hisa au hawajui kabisa. Hiki kitu Godius, Kimenikusuma niandae kitabu kinachohusu uwekezaji wa hisa, hatifungani na vipande kwa ajili yako. Ni kitabu ambacho hupaswi kukikosa rafiki yangu. Ndani yake unaenda […]
-
Zifuatazo ni mada 15 utakazojifunza kwenye semina ya Kufungua mwaka 2023!
Wahenga wanasema hayawi hayawi, Sasa yamekuwa. Rafiki yangu wa ukweli, kwa siku sasa nimekuwa nikikwambia juu ya habari Semina ya Kufungua mwaka 2023. Najua umekuwa unajiuliza hivi hii semina itafanyika kweli? Jibu langu Ni kwamba lazima semina ifanyike bila kukwama. Maana mwaka 2023 haturembi mwandiko Semina hii itaanza tarehe 15.1.2023 na itadumu mpaka mwezi wa […]
-
Sababu yako ni ipi
Kila kitu huwa kinafanyika kwa sababu… Kuna mtu unayeweza kuwa unawona anafanya jambo fulani, ukafikri labda yeye ana kipaji na uwezo mkubwa kukliko wewe, ila baadaye ukija kufuatilia ukagundua kwamba suala kubwa siyo kwamba ana uwezo mkubwa kulliko wewe. Siyo kwamba ana konekisheni nyingi kuliko wewe, siyo kwamba amebarikiwa kuliko wewe, labda tu ni kwamba […]
-
Jibu la kuwapa watu wanaokuja kukopa kwako
Rafiki yangu nadhani moja ya shida Kubwa ambazo zinawakumba watu wengi ni kushindwa kuwa na nidhamu ya fedha. Hivyo, kwa sababu hawana nidhamu ya na fedha. Wanatumia fedha zao hovyo na bado wanakuja kwako wakitaka uwakope. Ninachotaka kukwambia leo ni kuwa kama hawana nidhamu na fedha zao, usitegeemee kwamba ukiwakopa watakuwa na nidhamu Na fedha […]
-
Dakika moja ya vitendo, ni bora kuliko maelfu ya dakika za maneno
Wakati tunasoma O-Level tulikuwa na jamaa mmoja hivi ambaye angeweza kukutisha kuwa atakupiga. Kwa vitisho vyake tu, ungeweza kudhani jamaa ana manguvu kama HAWAFU? Kwanza unamjua Hawafu kweli? HAHAH. Hii stori ya Hawafu mwenye nguvu tuiache kwa ajili ya siku nyingine. Ila kama umeikumbuka vizuri unaweza kunijuza kikashani kwa kujibu ujumbe huu. Ssasa tuendelee na […]
-
KITABU: MAAJABU YA KUSOMA VITABU
Mwezi septemba mwaka 2019 niliandaa kitabu kifupi cha Maajabu Ya Vitabu. Kitabu hiki hapa nilikisambaza bure mtadaoni. Kimetokea kuwa moja ya kitabu cha Kiswahili ambacho kimesomwa na watu wengi sana. Mwanzoni sikutegemea kama kitabu hiki kingesomwa na watu wengi sana. Ila kilichotokea toleo la kwanza la kitabu hiki hapa kilisomwa na maelfu kwa maelfu ya […]
-
Kwa nini huwa tunarudia kusoma vitabu
Rafiki yangu umewahi kujiuliza kwa nini huwa tunarudia kusoma vitbu ambavyo tulishavisoma siku za nyuma. Nimeanza mwaka huu kwa kurudia kusoma kitabu cha THINK AND GROW RICH. Na mwaka huu kuna vitabu vingi ambavyo nitakuwa narudia kusoma zaidi ya hiki. Unajua kwa nini huwa tunarudia kusoma vitabu. Huwa tunarudia kusoma vitabu kwa sababu kwenye kusoma […]
-
Mambo Muhimu Utakayojifunza Kwenye Kitabu Cha JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO
Kitabu cha jinsi ya kuongeza thamani yako ni moja ya kitabu bora utakachosoma mwaka huu. Na leo nimetamani sana nikufungulie ndani ya hiki kitabu ili uweze kuona ni kitu gani hasa unaenda kupata kutoka kwenye hiki kitabu. Kipakue hapa chini
-
Ushauri Muhimu Kwa Mtu Yeyote Ambaye Ana Lengo La Kuweka Akiba 2023
Hivi ulivyo mwanzo wa mwaka najua kuna watu wengi ambao wameweka lengo la kuweka akiba. Watu wanataka waweke akiba ili waweze kupata uhuru wa kifedha. Sasa siku ya leo ningependa kukwambia kitu kimoja muhimu sana, wewe ambaye umeweka lengo la kuweka akiba KABLA sijakwambia hiki kitu naomba kujua ni wapi utakuwa unaweka fedha zako za […]
-
Kama utashindwa kufanya vitu vyote ndani ya mwaka 2023, hakikisha kwamba haushindwi kufanyia kazi hiki kitu kimoja tu
Rafiki yangu, sasa hivi ndio kwanza moto wa mwaka 2023 unakolezwa. Kama bado hujaanza kufanyia kazi malengo yako, kuna nafasi kubwa kuwa unaweza usije ukakamilisha haya malengo yako kama niliyoveleza kwenye makala ya jana. Siku ya leo ningependa kukwambia kuwa kama mwaka huu tutashindwa kufanyia kazi malengo yako na vitu vingine, basi hakikisha kwamba haushindwi […]
-
Hii ndiyo aina pekee ya malengo ambayo hayatafanikiwa ndani ya mwaka 2023
Rafiki yangu, najua mwanzoni mwaka huu watu wengi wameweka malengo mengi ambayo watakuwa wakiyafanyia kazi. Ila leo hii nipo hapa kukwambia aina moja tu ya malengo ambayo watu wameweka na nina uhakika haya malengo hayatimia. Malengo haya ni yale malengo ambayo watu wameweka na hawajaanza kuchukua hatua kuyafanyia kazi Sifa moja kubwa ya malengo ni […]
-
Viashiria vitano kuwa umeuanza mwaka mpya kwa kishindo
Rafiki yangu, naomba nichukue nafasi hii kuhakikisha kwamba nakutakia kheri ya mwaka mpya 2023. Kheri ya mwaka mpya rafiki yangu. Mwaka huu naamini, utakuwa ni mwaka wako wa kipeke na mwaka wako wa kufanya makubwa. mwaka huu nina hakika ni mwaka ambao hautaremb mwandiko. Na njia bora ya wewe kutoremba mwandiko ni kuhakikisha kwamba unaanza […]
-
Nimepata kusoma kitabu cha THE YOUNG INVESTOR (Projects and activities for making your money grow)
Hiki ni kutabu cha uwekezaji ambacho kimeandaliwa maalumu kwa ajili ya watoto, kinalenga kuwafundisha watoto juu ya uwekezaji na namna gani wanaweza kuanza kufanya uwekezaji. Hata hivyo mtu mzima kama wewe unaweza (na unapaswa) kukisoma kitabu hiki pia. Na kwa kuwa lugha iliyotumika kwenye hiki kitabu ni lugha rahisi kwa ajili ya kuwafanya watoto waelewe, […]
-
Njia Mpya Ya Kupakua Vitabu Mtandaoni
Kwa wale wanaopata shida kupakua vitabu Mtandaoni. leo nimekuja na suluhisho. hakikisha unaagalia video hii Mpaka mwisho. BONYEZA HAPA KUIANGALIA kila la kheri.
-
Nani anapaswa kusoma vitabu na kwa nini
Kuna MTU kaniuliza swali hili, Nani anapaswa kusoma vitabu na kwa nini Jana kwa upande wangu imekuwa Ni moja ya siku moja bize Sana. niliamka saa nane usiku, nililala saa sita usiku. Na hapa nipo ikiwa Ni saa kumi alfajiri nimeahaamka. Ninachotaka kukwambia siku ya leo siyo kuamka mapema, Bali kusoma vitabu. Ninaamka mapema hivi […]
-
Ushauri Huu Haufanyi Kazi Kwenye Uwekezaji
Mara kwa mara utasikia watu wanakwambia Kuwa unapaswa kuanza kwanza, mambo mengine utayajua wakati unaendelea na safari. Hicho kitu kinafanya kazi vizuri sana na nimekuwa nikikitumia kwa siku nyingi . Ila Sasa siku ya leo ningependa nikuongezee ushauri muhimu hasa kwa upande wa uwekezaji. Kwenye uwekezaji Ni muhimu kwako kufanya utafiti wa kina Kabla hujaamua […]
-
App Itakayokusaidia Kutuma SMS baadaye, kupiga simu kwa wakati na kudai hela zako😂😂
Katika makala ya leo tunaenda kuona namna ya kuandaa ujumbe leo na ukautuma siku ya krismasi au mwaka mpya. HutahItajika kuuandika tena au kuutuma tenaTutaona namna ya kupanga kumpigia siku za mbeleni na ukampigia kwa uhakika bila kukosa hata dakika 1Tutaona namna ya kupangilia watu wa kuwasiliana nao.Tutaona njia nzuri ya kukukumbusha kufanyia kazi majukumu […]