SONGA MBELE

  • Cart
  • Duka La Maarifa
  • Home
  • KUHUSU TOVUTI HII
  • MAFUNZO ZAIDI
  • MAWASILIANO
  • My account
  • Zawadi
Illustration of a bird flying.
  • Kama Kuna Kitu Unataka Kufanya Kifanye

    Badala ya kukaa na kusubiri MTU au watu fulani waje wakusaidie kufanya na kukamilisha kitu au jambo fulani, nakushauri kwamba Kama Kuna Kitu unataka kufanya. Kifanye. Ukiendelea kumsubiri mtu au watu fulani waje wakusaidie kukifanya ukweli Ni kwamba utasubiri sana na hawa watu unaweza usije kuwaona maisha yako yote. Kwenye hii dunia kuna watu wa […]

    February 20, 2023
  • Hii Ndio Njia Pekee Ya Kuhakikisha Kwamba Unapata Upendeleo Popote Pale Utakapoenda

    Hii ndio njia pekee ya kuhakikisha kwamba unapata upendeleo popote pale utakapoenda Sisi binadamu huwa tunapenda sana kuonekana mbele ya watu kama watu wa thamani sana. Tunataka tukikuta sehemu fulani tusianze kupanga foleni, badala yake tupite kwenye hiyo foleni na kuhudumiwa. Tunapenda tukiwa kazini tupandishwe vyeo. Tunapenda tukiwa kwenye foleni, gari letu lipishwe lipite haraka […]

    February 17, 2023
  • Jinsi Ya Kubobea Kwenye Kitu Chochote

    Rafiki yangu habari ya leo. Bila shaka unaendelea vyama, siku ya leo ningependa kukwambia njia ambayo itakusidia wewe kuweza kubobea kwenye kitu chochote ambacho unafanya, na njia hii siyo nyingine bali ni kufanya kitu husika kwa marudio na mara kwa mara. Yaani, kama unataka kubobea kwenye kitu chochote kile usikifanye kitu  hicho mara moja kisha […]

    February 16, 2023
  • Vitu Vitano Vinavyotofautisha watu wanaopata mafanikio ya kawaida na mafanikio makubwa

    Watu wawili, wanaweza kuzaliwa na wazazi walewale, wakapata elimu ileile, chini ya walimu walewale. Na kwenye mazingira yaleyale. Ila mmoja akatokea kuwa mwenye mafanikio makubwa sana, huku mwingine akiwa na mafanikio ya kawaida sana au hata pengine kuishia kwenye umasikini. Unajua kwa nini kitu kama hiki kinatokea. Kwenye makala hii ya siku yaleo ninaenda kukuonesha […]

    February 15, 2023
  • Inawezekana kuondokana na madeni..

    Madeni ni moja ya kitu ambacho kinawasumbua watu wengi na hivyo kuwafanya washindwe kuwa na uhuru lakini hapohapo kuwanyima mwanya wa kuufikia uhuru wa kifedha. Sasa ukweli ni kwamba, inawezekana wewe hapo kuufikia uhuru wa kifedha na kuondokana na madeni. Vifuatavyo ni vitu muhimu vya kufanya ili uweze kuondokana na madeni. Kwanza orodhesha madeni yako […]

    February 14, 2023
  • Ni muda upi mzuri kuanzisha bishara

    Rafiki yangu, unaweza kuwa unajiuliza hivi ni muda upi mzuri kwangu kuweza kuanzisha biashara? Rafiki yangu hili swali limekaa kimtego sana. Kuna watu ambao huwa wanaanza kufanya utafiti kuhusiana na biashara ambayo wanataka kufanya, ila huo utafiti wao huwa haufiki mwisho. Kuna watu ambao kila mwaka huwa wanajiambia kwamba wataanza biashara ila huwa hawaanzi, mwaka […]

    February 13, 2023
  • Jinsi Ya Kuwa Mtu Mwenye Thamani Kubwa

    Rafiki yangu, kama kuna kitu ambacho utasikia kutoka kwangu amra kwa mara ni kuhusu kuongeza thamani yako. Nasisitiza hili kwa sababu watu wengi wangependa kupata mafanikio. Ila sasa tatizo ni kwamba hawajui ni kwa namna gani wanaweza kuwa na mafanikio. Moja ya kitu ambacho kinaweza kuwafanya watu wawe wenye mafanikio makubwa ni kwa kuhakikisha kwamba […]

    February 10, 2023
  • TABIA ZA WATU WANAOLIPWA SANA

    Rafiki yangu, kila sekta huwa ina watu wake ambao huwa wanafanya jambo fulani. Na ili uweze kuwa kwenye kundi fulani, lazima uwe na tabia ambazo zinaenda na ambao wako kwenye sekta husika. Kwa mfano ili luweze kuwa kwenye kundi la watu ambao wanalipwa sana, lazima uwe tabia za watu ambao wanalipwa sana, hivyo vhiyo kama […]

    February 9, 2023
  • Njia bora ya kumbadili mtu yeyote

    Rafiki yangu, watu wengi wamekuwa wanapenda mabadiliko. Wanapenda watu waliowazunguka kwenye maisha yao wabadilike na wafanye vitu kama ambavyo wao wanataka pia. Nina njia moja ambayo itakupa uhakika wa kubadilika na kufanya chochote kile unachotaka kama ambavyo wewe mwenyewe unataka. Na njia hii ni wewe kuanza kubadilika. Yaani, kama kuna njia bora ya kuwabadili watu […]

    February 8, 2023
  • Njia ya uhakika ya kupata bahati maishani mwako

    Rafiki yangu unajiuliza ni kwa namna gani unaweza kupata bahati maishani mwako. Siku ya leo nina njia moja ya ukweli na ya uhakika ya kukufanya wewe uweze kupata bahati maishani mwako. Na njia hii ni wewe kufanya kazi kwa bidii. Kuna mtu mmoja aliwahi kusema kwamba kadiri ninavyokuwa nafanya kazi kwa bidii ndivyo ambavyo ninakuwa […]

    February 7, 2023
  • Kitabu: How to Win Friends and Influence People

    Mwandishi: Dale Carnegie Mchambuzi: Hillary Mrosso Mawasiliano: +255 683 864 281 UTANGULIZI How to Win Friends and Influence People, ni moja ya kitabu bora sana kwenye kujenga urafiki, kutanza urafiki, kujenga mahusiano bora na watu na kuongeza ufanisi kwenye kazi na biashara. Ni kitabu kilichojaa hekima za kweli ambazo sio tu zitakushangaza, bali zitakufanya ubadilike […]

    February 6, 2023
  • Njia ya uhakika ya kukutana na mtu yeyote

    Rafiki yangu, siku ya leo ningependa kukwambia njia ya uhakika ya kukutana na mtu yeyote yule. Na njia hii ni kuhakikisha kwammba unakuwa mteja wake au mteja wa biashara yake. Watu huwa wanapenda kukutana wateja wao, kukaa nao meza moja na kuongea nao hivyo ukiwa mteja kwenye biasahra ya mtu ambaye ungependa kukutana naye, ni […]

    February 4, 2023
  • Haya ni mambo ya msingi ambayo unaenda kujifunza kutoka kwenye kitabu cha jinsi ya kuongeza thamani yako

    Rafiki yangu wa ukweli, sina shaka unaendela vyema kabisa. Hongera sana kwa siku hii ya kipekee. siku ya leo ningependa kukwambia kitu kikubwa ambacho unaenda kujifunza kutoka kwenye kitabu cha JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO. Hiki ni kitabu cha kipekee chenye mafunzo makubwa sana ambacho kila mtu aliye hai anapaswa kuhakikisha kwamba amekisoma. Na kwa […]

    February 3, 2023
  • KITABU: JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO: Njia Za Uhakika Zitakazokufanya Ulipwe Mara Kumi Zaidi ya Unavyolipwa Sasa

    Sisi binadamu ni viumbe ambao tunapenda kuthaminiwa, kuheshimiwa na tunataka watu watambue uwepo wetu. Ukienda kwenye mkutano au kwenye sherehe fulani, wakiwatambulisha watu wote halafu wakakuacha wewe bila kukutambulisha, ni wazi utajisikia vibaya na pengine utasema kwamba wamekudharau. Au ukienda sehemu watu na wote wakapewa vinywaji na chakula, halafu ukasahaulika wewe, ni wazi kuwa wewe […]

    February 2, 2023
  • KITABU KIPYA: JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO

    Rafiki yangu mpendwa Salaam, Moja ya kitu muhimu sana unachopaswa kukifanyia kazi kwenye maisha yako ni thamani yako. Ila kwanza labda tujiulize thamani ni nini? Ili tujue maana halisi ya thamani nimelazimika kuangalia kwenye kamusi ya Kiswahili sanifu, ambayo inasema Kuwa thamani ni gharama au ubora wa kitu kutokana na hali na kuhitajika kwake na […]

    February 1, 2023
  • Umuhimu wa kuwa na pesa ya dharula

    Chukulia kwamba unaenda Bukoba, umepanda Basi la umma. Ila unapofika Nyakanazi au Biharamulo gari linakata Moto. Katika hali ya kawaida kitakachofuata Ni wewe kutafuta Usafiri mwingine, hapa kama hauna fedha ya dharula, Ni wazi kuwa utaingia choo ambacho siyo sahihi. Tena bora safari yako iwe inaishia Biharamuro, Ila kama unaenda Bukoba mjini, Karagwe-Kaisho, hapo safari […]

    January 31, 2023
  • NJIA SABA BORA ZA KUTANGAZA UJUZI WAKO KWA WATU

    NJIA SABA BORA ZA KUTANGAZA UJUZI WAKO KWA WATU Rafiki yangu siku ya leo ningependa kikufundishe njia Saba Bora za KUTANGAZA UJUZI WAKO KWA watu, kiasi Cha kuweza kuwashawishi watu waweze kutoa hela zao mfukoni na kukulipa. Naomba ifahamike hapa kuwa ninapoongelea Aina za ujuzi namaanisha, kile kitu ambacho tayari unacho na unaweza kukipangilia vizuri […]

    January 30, 2023
  • Nguvu ya fedha; Itumie Ikubebe

    Hivi umewahi kujiuliza fedha kama fedha ina nguvu gani maishani mwangu, kwenye maisha ya familia yangu au hata maisha ya watu wengine wa karibu sana kwenye andiko la leo ambapo unaenda kujifunza nguvu hizi muhimu za fedha na jinsi ambavyo unaweza kutumia nguvu hizi hapa kwa manufaa yako. 1. Nguvu ya kufanya maamuzi. Kwenye hili […]

    January 27, 2023
  • Kitu kimoja ambacho hupaswi kuacha kufanya hata kama una nguvu ya pesa

    Rafiki yangu mpendwa, ila shaka unaendela vizuri. Kwa upande mwingine mimi nipo vizuri kabisa. leo nataka tujadiliane kwa pamoja kuhusiana na kitu kimoja ambacho hupaswi kuacha kufanya hata kama una nguvu ya pesa. na kitu hiki ni kujadiliana muuzaji kuhusiana na bei anayokuuzia bidhaa. Yaani, kiufupi ni kwamba mtu akitaka kukuuzia kitu kwa bei fulani, […]

    January 26, 2023
  • Fanya kazi kwanza, tutaongea

    / Mr. Beast ni moja ya watu maarufu sana kwenye mtandao wa youtube. Yeye alianzia chini kabisa kwenye ulimwengu wa youtube, hakuwa na umaarufu wowote kama huu alionao sasa hivi. alianza kurekodi video moja baada ya nyingine,. Nyingi hazikufanya vizuri, lakini jamaa hakukata tamaa aliendelea, baada ya miaka mingi ya kuweka kazi bila ya kukata […]

    January 25, 2023
←Previous Page
1 2 3 4 … 79
Next Page→

SONGA MBELE