Sale!

NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA

Sh 19,999

Kitabu hiki ni nakala ngumu, na kukipata utalipia gharama yake kwenda namba 0755848391 jina ni Godius Rweyongeza

Description

Hivi umewahi kujiuliza kuwa vitu vidogo vinaweza kukusaidia kitu gani maishani mwako?

Mara nyingi sana watu huwa wana ndoto kubwa na malengo makubwa ya kufikia kifedha, kimahusiano, kibiashara au kikazi. Lakini cha kushangaza ni kwamba huwa hawafanyii kazi hizo ndoto kubwa walizonazo bali huwa wanasubiri itokee siku moja ya muujiza ambapo ndoto yao itatimia kwa asilimia zote.

Kwenye kitabu hiki unaenda kujifunza nguvu ya vitu vidogo na namna ambavyo unaweza kutumia nguvu hii kwenye maisha yako ya kila siku, kufanya makubwa.

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA”

Your email address will not be published. Required fields are marked *