NGUVU YA KUWEKA MALENGO

Sh 3,000

Category: Tags: , , ,

Description

Umewahi kujiuliza malengo yanaweza kuwa na nguvu gani kwenye maisha yako. Kama ulikuwa hujui ni kwamba malengo ni kama petroli kwenye moto.

unajua ukiweka moto kwenye petroli ni kitu gani ambacho kinaenda kutokea…Moto utawaka zaidi, si ndio?

malengo na yenyewe yako hivyohivyo. Ukiweka malengo, yatakusukuma kufanya makubwa zaidi

karibu sana ujipatie ebook ya kipekee ya nguvu ya malengo. Itakusaidia wewe kujua namna nzuri na ya kipekee ya kuweka malengo, namna ya kuyafanyia kazi malengo yako mpaka yakatimia, lakini pia utapata mwongozo wa kukusaidia wewe kuendelea kuyafanyia kazi malengo yako. Je, upo tayari?

Karibu

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “NGUVU YA KUWEKA MALENGO”

Your email address will not be published. Required fields are marked *