Category: TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-63

    Tatizo hujajua umuhimu wa jina lako Jina la mtu ni muhimu sana. Jina lako ni muhimu zaidi. Yanapotajwa majina ya baadhi ya watu kuna kitu ambacho lazima kijnakuja katika akili yako.  Mfano likitajwa jina la MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE, moja kwa moja akili yako itajua kwamba huyu ni mkombozi wa Tanzania, baba wa taifa na…

  • TATIZO SI RASILIMALII ZILIZOPOTEA-59 Tatizo hutaki kuchoma meli moto

    Kuna watu ambao wanapenda sana kufanikiwa ila bado hata vile vitu ambavyo vinawavuta kutoka kwenye mafaniko wanavipenda. Nikiona watu wa aina wanakuwa wananikumbusha juu ya hadithi ya ya fisi ambaye alichukua njia mbili mwisho wa siku akapasuka. Bila shaka na wahenga walikuwa wanafikiria mbali na walikuwa tayari wameona kitu cha maana kubwa sana pale walipokuja…

  • TATIZO SI RASLIMALI ZILIZOPOTEA-21 Tatizo ni kauli zako

    Kila sehemu huwa ina lugha yake ambayo hutumiwa. Nikiwa kidato cha pili mwalimu wangu wa kiswahili alinifundisha kitu kinaitwa rejesta.Rejesta kwa ufupi ni lugha mahalia.Ukiwa hospitalini kuna rejesta yake.Ukiwa sokoni kuna rejesta yake.Ukiwa shuleni kuna rejesta yake. Vivyo hivyo katika biashara kuna rejesta muhimu ya kutumiwa.Rejesta ya biashara ni ya kiupole tofauti na na rejesta…

X