Category: TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILZOPOTEA-123 Tatizo hujakamilisha kile ulichokianzisha

    Watu wengi sana huwa wanapenda kuanzisha kitu kipya kwa sababu ya msukumo fulalni unaokuwepo mwanzoni wakati wanaanzisha kile kitu. lakini kadri muda ambavyo unaenda watu hao huwa wanajikuta kwamba kile kitu ambacho walianzsiha hawakimalizii kwa sababu wanakutana na kikwazo. Au kwa sababu katikati ya safari walikutana na fursa mpya na hivyo kuamua kukibizana na fursa…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-122 Tatizo hujajua maana ya ujana

    TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-121 Tatizo hujajua maana ya ujana Vyanzo mbali mbali vya taarifa na maarifa vimetoa maana kadha awa kadha za ujana. Maana hizi zimetolewa kwa misngi na mitazamo flani flani. Kwa mfano kuna watu wanaoamini kwamba uana ni maji ya moto. Bila shaka hawa wanalenga kusema kwamba ujana ni kitu cha muda mfupi…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-121 Tatizo hujanoa shoka lako

    Kuna mashoka tunayatumia kila siku katika kazi zetu mbali mbali. mashoka haya huwa yanapungua makali kadri yanavyokuwa yanatumika zaidi na hivyo kufikia hatua ambapo makali hupotea kabisa. Imekuwa hivi, kwa siku nyingi sana, na itaendelea kwua hivi. Hii ndio kusema kwamba lazima kila utakapotumia shoka leo lipungue makali na hivyo ukija kulitumia shoka hilo kesho…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-120 Tatizo hujajua vitabu vya msingi vya kusoma

    Kusoma na kujifunza kunaweza kukufanya kuwa jinsi unavyotaka. Kunaweza kumgeuza mtumwa kuwa kiongozi, kunaweza kumwinua kilaza kuwa gwiji, kunaweza kumnyayua aliyelala na kumsimamisha. Mbali na ukweli huo hapo ni watu wachache sana ambao huwa wanachukua hatua kuhakikisha kwamba wanaweza kusoma na kujifunza ili kuweza kuchukua hatua madhubuti za kuwafikisha kule ambako wanataka. Leo hii uko…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-119 Tatizo ni hujajua kwamba unatafuta nini maishani mwako

    Kijana mmoja kutoka katika mitaa ya scotland aliingia nchini Marekani na kuanza kufanya kazi za kawaida sana ambazo kila mtu angeweza kudharau. Kazi ambazo zilionenakana wazi kwamba ni kupoteza muda na zisingweza kumtoa kwa namna moja au nyingine. Aliishia kuwa miongoni mwa mabilionea wakubwa sana nchini Marekani.  Na kuna kipindi bilionea huyo huyo alikuwa na…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA -115 TATIZO HUJAJUA KWA NINI UNAPASWA KUWA MBUNIFU

    Katika zama hizi hapa tulizopo kuna vitu ambavyo kuvifanya kwake ni lazima na kuna vitu ambavyo si lazima kuvifanya. Lakini suala hili halijatokea kwenye zama hizi tu. Hata tukirudi kwenye zama za mawe, bado utaona kwamba mababu wetu walikuwa na mbinu za kuhakikisha kwamba wanafanya ili kuhakikisha kwamba wanakuwa wa tofauti. Na vitu hivi hapa…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-108 tatizo hujajua kwamba hauzuiliki

    Nenda unapotaka kwenda, fanya unachotaka kufanya unaweza kuwa unachotaka kuwa” zig ziglar. Maisha ni kuchagua, unaweza kuchagua kuwa bingwa au kufeli. Ni juu yako. Ili uweze kufika unapotaka unapaswa kufahamu kwamba kuna vitu vikuu vitatu ambayo unavihitaji. Vitu ambavyo vitaweza kukuinua wewe hapo na kukufikisha unapotaka kwenda. Maana kila mtu huwa anapanga kushinda hata kama…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-97 tatizo ni uvivu

    Ewe mvivu mwendee chungu, uzitazame njia zake ili upate kujifunza kwake. Haya ni meneno yaliyoandikwa katika Biblia takatifu  yakikutaka wewe kwenda kwa viumbe vidogo kabisa hapa duniani ili upate kujifunza. 1. Viumbe hawa ni wadogo ila wana Fanya kazi kwa mpangilio na kwa akili ya hali ya juu sana. Kumbe udogo wako (uwe wa kiumbo…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-97 tatizo ni uvivu

    Ewe mvivu mwendee chungu, uzitazame njia zake ili upate kujifunza kwake. Haya ni meneno yaliyoandikwa katika Biblia takatifu  yakikutaka wewe kwenda kwa viumbe vidogo kabisa hapa duniani ili upate kujifunza. 1. Viumbe hawa ni wadogo ila wana Fanya kazi kwa mpangilio na kwa akili ya hali ya juu sana. Kumbe udogo wako (uwe wa kiumbo…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA -98 tatizo hujajua umuhimu wa nidhamu

    Nidhamu katika kazi zetu za kila siku ni jambo la muhimu sana. Nidhamu inaweza kukujenga kama utaitumia vizuri.Ukosefu wa nidhamu unaweza kukubomoa na kukushusha chini.Katika kila kitu ufanyacho kila siku weka nidhamu. Hakikisha unafanya kazi kwa usahihi na kwa ubora hata kama hakuna anayekuangalia. Kama unasubiri umati wa watu ndio ufanye jambo jema sana na…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-96 hujaondoa vitu ambavyo sio wewe

    Kuna vitu vingi sana ambavyo unafanya ila sio sehemu ya maisha yako na vinapokupeleka sio kule unapopaswa kwenda. Kama utaendelea kuvibeba 2018 basi jua kwamba utakwama, utakwama, utakwama sana. Yaani kuna hatari ya kupita tu 2018. Je, unavijua vitu ambavyo si wewe? Je, unajua vitu gani ambavyo haupaswi kutembe navyo 2018? Hii hapa ni orodha…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-95 tatizo unasubiri mwaka mpya

    ! Habari ya siku ya leo rafiki yangu! Leo ni tarehe mosi januari 2018! Hongera sana kwa siku hii njema sana ya leo! Lakini swali langu kwako kitu gani kimebadilika leo!Nikiangalia nje ya nyumba sasa hivi naona mwanga wa jua kama ilivyokuwa jana. Ninaona ndege wakiruka, lakini hata jana walifanya hivyo. Miti naiona ikimeremeta, ingawa…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-85 Tatizo hujua umuhimu wa vitu vinavyoonekana vibaya

    Kuna vitu ambavyo kwa kuviangalia katika maisha huwa vinaonekana vibaya ila kiukweli ndani yake hazina kubwa sana. Kwa kuuangalia udongo hakuna ambaye anaweza kusema kwamba udogo unaweza kutoa mti wenye matunda matamu sana. Maana unakuta udongo ni mchafu sana kiasi kwamba kama wewe ni mtanashati huwezi hata kupenda mtu yeyote Yule akugusishe udongo huo. Lakini…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA -80 Tatizo unafukuza swala wawili

    Kuna msemo wa Kiswahili ambao unasema kwamba “mshika mbili moja humponyoka”. Bila shaka wahenga waliosema maneno haya walikuwa wanawalenga watu ambao katika maisha yao wanalenga sehemu kubwa sana za kimafanikio lakini bado hata yale mambo ammbayo yanawatoa kwenye mafanikio bado wanayataka. Watu ambao wanapenda kuwa na maisha makubwa sana kiuchumi, kijamii na kimahusiano lakini bado…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZLIZOPOTEA-79 tatizo hujataka kuwa Thomaso

    Moja kati ya watu ambao huwa wanazungumziwa sana kwa kutokana na kupenda kuhakikisha na kuuliza kwao ni Thomaso. Thomaso ninayemzungumzia hapa ni yule aliyeelezwa kwenye Kitabu cha Yohana 20:19-29 Imeandikwa hivi katika biblia “ikawa jioni siku ile ya kwanza ya juma pale walipokuwapo wanafunzi, milango imefungwa kwa hofu ya wahahudi, akaja Yesu, akasimama katikati, akawaambia,…

  • TATIZO SI RASILIMALLI ZILIZOPOTEA-68 Tatizo hujajua kwamba hujuii kila kitu

    Katika zama hizi kuna taarifa nyingi sana. Taarifa hizi zinatujia kwa njia tofauti tofauti sana katika maisha yetu. Taarifa hizi zinzaweza kukujia kupitia kwa watu ambao wamekuzunguka. Vitu unavvyokutana navyo, vikwazo vinavyokuzuia na vingine vingi. Hata hivyo kama hujajipanga kuzitafuta taarifa hizi  hapa huwezi kuzipata. Hii ndio kusema kwamba kama bado hujakubali kwamba hujui ili…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-68 Tatizo hujawatumia watu wengine

    Watu walio pembeni mwako kuna kitu kizuri sana ambacho wanakiona kwako ambacho wewe hapo huwezi kukiona. Kama utaweza kukijua vizuri kitu hiki kutoka kwa watu wengine basi utaweza kufaidika kwa hali ya juu sana. Hivi ushawahi kugundua kwamba mtoto mdogo sana akiwa ana kitu ambacho anataka kufanya anakuja kwa mzazi kuomba msaaada. Mfano mtoto atakuja…

  • TATIZO SI RASILIMALIZ ZILIZOPOTEA-66 tatizo hujajua mahali ulipo

    Sasa hivi tunapoelekea mwishoni mwa waka 2017 mchakato wa watu kuweka malengo umeanza. Bila shaka na wewe kwa sasa utakuwa unafikiri au upo katika mchakato wa kuweka malengo. Katika akili yako una mpango wa kwenda mbele sana. Lakini ebu tulia kidogo nikuulize swali moja ambalo ninaomba jibu lako sasa hivi. Uko wapi sasa hivi? Ndio…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-65 Tatizo hutaki kusema ndoto yako

    Mara nyingi sana watu wanakuwa na ndoto ya kupiga hatua na kwenda mbele zaidi. Ila ndoto zao wanaogopa kuzitaja kwa watu wakiogopa maneno ya watu. Kama unaogopa kuongea ndoto zako mbele ya watu jua kwamba kuna kitu ambacho kinakosa kwenye ndoto zako. Kaa chini sasa na uhakikishe kwamba unazipitia tena ndoto zako. Maana kama wewe…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-64

    Tatizo unataka kucheza peke yako uwanjani Wachezaji wa mpira wa miguu wanatufundisha jambo jema sana ambalo tuunapaswa kulifahamu maishani. Kila wanapoingia uwanajani kwa pamoja wanashirikiana na kucheza mpira kwa pamoja. Huwa wanahakikisha kwamba wanapasiana mpira. Hakuna mchezaji wa mpira ambaye huwa anakaa na mpira peke yake muda wote ili yeye aonekane kwamba anajua sana zaidi…

X