-
Kipaji Siyo Kuimba Muziki Peke Yake
Mara nyingi ukionge na watu juu ya suala zima la kipaji wanadhani kuwa kipaji ni kuimba muziki peke yake. Sasa leo nataka nikwambie kwamba kipaji siyo kuimba muziki peke yake. Usilazimishe kuimba muziki wakati kipaji chako siyo hicho. kama kweli una kipaji cha kuimba basi imba, ila siyo kulazimisha kuimba kwa sababu kila mtu anadhani…
-
KIPAJI NI DHAHABU-1 binadamu wote ni sawa ila uwezo ni tofauti
Walau siyo mara yako kusikia kuwa binadamu wote ni sawa. Au kusikia haki sawa kwa wote. Japo kuna huo usawa kwa watu wote, linapokuja suala zima la kipaji na uwezo mkubwa tulionao tunatofautiana. Ndio maana kuna watu wanajulikana kama multi-talented. Wana uwezo katika maeneo tofauti tofauti na wanaweza kuyafanyia kazi hayo maeneo kwa ustadi. Diamond…