Category: HAMASA

  • Hiki Ni Kitu Ambacho Unapaswa Kuachana Nacho Mara Moja

                                                             Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Imani yangu kwamba u mzima wa afya na leo kama kawaida unaenda kufanya kazi kwa juhudi kubwa sana. kitu kitakachokufanya wewe uweze kufikia mafanikio makubwa sana, Mara nyingi sana tumekuwa tunaongea na kuelimisha na juu ya mambo ya msingi…

  • Je, Sehemu Yako Ya Kusimamia Ni Ipi?

    Kuna wakati kuku huwa anaficha mguu mmoja na kusimama kwa mmoja. Kuna wakati paka huwa anasimama kwa miguu yake ya nyuma na kuiacha miguu ya mbele ikielea. Hii ndio kusema sehemu zinazotupa uhakika zipo kila wakati na kwa kila mtu, ila kuna wakati tunapaswa kuzikataa na kutafuta sehemu bora zaidi. Ndio maana kila siku tunaalikwa…

  • Muda Mzuri Wa Kuanza Jambo Lolote

    UFAHAMU MUDA MZURI WA KUANZA JAMBO LOLOTE MAISHANI Watu wengi sana huwa wanauliza ni muda gani wanaweza kuanza. Wengine huwa wanasubirisha kuanza biashara, wakati wengine wakiwa wanazikosa fursa na kwa sababu tu ya kusubuiri, kiukweli siku hii ya leo nina habari njema sana kwako rafiki yangu juu ya muda mzuri sana ambao wewe unaweza kuanza…

  • Ufahamu Muda Wa Kuanza Jambo Lolote Maishani

    Watu wengi sana huwa wanauliza ni muda gani wanaweza kuanza. Wengine huwa wanasubirisha kuanza biashara, wakati wengine wakiwa wanazikosa fursa na kwa sababu tu ya kusubuiri, kiukweli siku hii ya leo nina habari njema sana kwako rafiki yangu juu ya muda mzuri sana ambao wewe unaweza kuanza kitu. Na muda huu sio mwingine bali  ni…

  • Vitu Vitano Viinavyokuunganisha Wewe Hapo Na Watu Waliofanikiwa

    Ulipozaliwa ulilia wakati wengine walicheka, unapaswa kuishi maisha kiasi kwamba ukifa watu wengine walie wakati wewe hapo  ukichekelea. aliandika Robin Sharma.  Katika hali ya kawaida huwa sio rahisi kujua ni lini wewe hapo utakufa na kuondoka hapa duniani. Ila kuna kitu kikubwa sana ambacho huwa kinanipa nguvu kwamba mimi pia naweza kuwa mtu mkubwa sana…

  • Sheria Tano (05) Za Mchezo Wa Mwaka Huu

    Katika mchezo wa mpira wa miguu wachezaji wanajua kwamba kipenga kikipulizwa basi huwa hakuna kitu kingine bali kucheza mpira. Kipenga huwa sio ishara ya kujiandaa bali huwa ni ishara ya ANZA. Kwa hiyo hakuna mchezaji ambaye huwa anaanza kujiandaa pale kipenga kinapopiulizwa. Bali kipenga huwa kinawakuta wachezaji uwanjani moja kwamoja. Jambo kama hili hapa limejitokeza…

  • Hizi Ni Kurasa Za Vitabu Unazoweza Kuandika Mwaka 2018

    Mwishoni mwa mwaka 2018 Rafiki zangu wengi sana walikuwa wakinitumia jumbe mbali mbali za kuuaga mwaka, na kuukaribisha mwaka. Wengine walinitumia jumbe za shukrani, wengine jumbe za kuukaribisha mwaka, wengine jumbe za kuuaga mwaka kutaja ila machache. Jumbe zote hizi kwangu zilikuwa zina maana kubwa sana. Moja kati ya ujumbe ambao ulinifanya nione kwamba maisha…

  • Watafute Watu

     Miongoni mwa vitu ambavyo unavihitaji sana maishani mwako ili kufanikiwa na kuhakikisha kwamba unapiga hatua kubwa sana  ni watu. Unahitaji watu ili uweze kufanya biashara zako. Unawahitaji watu ili uweze kuwa kiongozi. Maana kipimo bora cha kwamba wewe ni kiongozi bora kitaonesha majibu pale patakapokuwa na watu. Unahitaji watu ili ukae darasani na kusoma. Hawa…

  • NAAM! KIPENGA KIMEPULIZWA

    Duniani hapa kumeshuhudiwa mitanange mingi sana ya mpira tangu dunia imekuwepo mpaka leo hii unaposoma makala haya. Mitanange hii si ya mipira ya ligi kuu ya vodacom au ligi kuu ya ulaya tu bali pia kuna mitanange ya michezo mingine ya maisha. Kuna mechi ambazo huwa zikichezwa, kwa hakika huwa zinavutia sana. Sio tu kwamba…

  • Kumbe Unajidanganya?

    Habari ya siku ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. ‘imani yangu kwamba umekuwa na siku njema sana leo. Hii nikutokana na ukweli kwamnba umefanya kile ambacho unapaswa kukifanya kwa wakati ambapo unapaswa kukifanya na kuhakikisha kwamba umeweza kutimiza majukumu yako. Karibu sana katika makala haya ya siku hii ya…

  • Huyu Ndiye Mtu Ambaye Unapaswa Kumwepuka

    Hab ari ya  siku hiii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya kutoka katika blogu yako ya SONGA MBELE. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako ambapo unaenda kuweka juhudi kubwa sana na kuhakikisha kwamba unafanya makubwa. Siku hii ya leo tusafiri kwa pamoja kwa ajili ya kujifunza kitu kipya chenye…

  • Hatua Tatu Za Ubunifu

    Ubunifu hupitia katika hatua mbalimbali mpaka kitu kinapokuja kuonekana.Sio tu suala la kulala na kuamka ukisema mimi ni mbunifu. Ukizipitia hatua hizi utakuwa mbunifu mzuri sana katika dujinia hii. 1. Hatua ya kwanza ni kutambua.Hii inaweza kuwa ni>>>kujitambua wewe mwenyewe.Wewe ni nani?Kitu gani ambacho unaweza kukibuni?Ujuzi gani ulio nao unaweza kukuogezea ubunifu ukawa bora zaidi!>>>kutambua…

  • Hivi Ndivyo Watu Walio Wengi Wanavyopotea

    Kila siku ni siku mpya kwetu sisi kwenda kuweka juhudi na kuhakikisha kwamba tunafanya makubwa. Kila siku ni nzuri na ni siku ambayo wewe unapaswa kuhakikisha unakuwa zaidi ya jana. Kama jana yako ilikuwa bora zaidi ya siku hii ya leo, basi jua kwamba kuna kitu hapa kati kati kati ambacho umepoteza. Au kuna kitu…

X