Category: A NOTE FROM SONGAMBELE

  • Code Ya Kukusaidia Kufanya Makubwa 2024 Hii Hapa

    Unataka kufanya makubwa 2024. Code ya kufanya makubwa ndani ya 2024 imeelezwa kwenye hii video.

  • Kama una mpango wa kufunga Ndoa 2024, hakikisha unasoma hapa

    Kama unamjuaa anayefunga ndoa mwaka huu mtumie ujumbe huu Una mpango wa kufunga ndoa 2024 rafiki yangu.  Kwenye jamii zetu kumekuwa na utaratibu ambao unajirudia kila mwaka. Kila mwaka kuna maelfu ya watu wanaofunga ndoa na utaratibu ambao huwa unafanyika huwa ni uleule kila mwaka.. Mtu akitaka kufunga ndoa, anaandaa harusi kubwa, anaalika watu mbalimbali…

  • Tengeneza Pesa Kwa kuuza Unachojua (Maarifa + Taarifa)

    Unaendeleaje, leo kwenye video fupi ambayo tumekuandalia, tumeandaa namna ambavyo unaweza kuanza kutengeneza fedha kwa kutumia kile ambacho tayari unajua sasa hivi. Wewe ni kitu gani ambacho unajua? Je, umekuwa unaagiza mizigo nje ya nchi kwa muda? Huicho ni kitu unajua, kinaweza kuwasaidia wengine. Umekuwa ukilima mahindi? Hicho ni kitu kingine muhimu sana ambacho unajua.…

  • Una Mpango wa Kuja Morogoro 2024

    Rafiki yangu wa ukweli, una mpango wa kufika Morogoro, au kupita Morogoro mwaka huu?   Tupo Morogoro, Sabasaba ikitokea unapita Morogoro au unafika Morogoro mjini kutembea, basi usisite kufika ofisini kwetu.    Unaweza hata kujipatia nakala moja ya kitabu. Hahaha. Kama unapita MSAMVU, bado tunaweza kukuletea mpaka Msamvu bila wasiwasi wowote.   Mawasiliano ya ofisi…

  • Vitu 10 Vya Kijinga Ambavyo Unapaswa kufanya Walau Maram Moja Mwaka 2024

    Leo nataka nikwambie vitu 10 tu vya kijinga ambavvyo unapaswa kujaribu kufanya walau mara moja ndani ya mwaka 2024 Toa wiki moja ambayo utalala kwa saa tatu, halafu muda mwingine wote unafanya kazi. Fanya hivyo kwa siku mbili mpaka siku sita au wiki na siyo zaidi ya hapo. Weka akiba mshahara wako wote, halafu tafuta…

  • Malengo Yako Ya Mwaka 2024 Usimwachie Mungu

    Ni mwaka wa tatu sasa tarehe kama ya leo naandika makala  inayosisitiza kuhusu malengo na kwa nini haupaswi kumwachia malengo yako mungu. Mwaka juzi niliandika makala hii hapa.  Makala hiyo hapo juu ina swali zuri sana ambalo nimekuwa napenda kuendelea kuwauliza watu kila mara. Na hata juzi nilituma ujumbe kwa watu wa nguvu kupitia whatsap.…

  • Salaam Za Kheri Ya Mwaka Mpya 2024 Kutoka Kwa Godius Rweyongeza

    Rafiki yangu mpendwa, salaam. Nichukue nafasi hii kukutakia kheri ya mwaka mpya 2024. Ule mwaka uliokuwa umeusubiri sasa ndiyo huu hapa umefika. Yale mambo yote uliyokuwa umesema kwamba utayafanya ndani ya huu mwaka, sasa ndiyo muda muafaka wa kuyafanya. Biashara uliyokuwa umesema kwamba utaanzisha mwaka 2024, hakikisha sasa unaianzisha. Akiba uliyokuwa umesema utaweka. Iweke. Kiufupi…

  • Kwaheri 2023: Mambo 12 Ambayo Mwaka 2023 Umenifunza

    Mwaka 2023 sasa unaisha. Umekuwa ni mwaka bora sana kwangu, na umekuwani mwaka ambao nimeweza kufanya mengi, kuna mengi ambayo naweza kuandika kuhusu mwaka 2023 ila kwa leo nitaandika haya ambayo mwaka 2023 umenifundisha. mwaka 2023 umenifundisha kuwa kuwa mtandao wa intaneti una mkono mrefu. Najua wengi tumezoea kusikia kwamba serikali ina mkono mrefu. Lakini…

  • 2024 badili mifumo yako ya kufikiri

      Rafiki yangu, matokeo ambayo umepata ndani ya mwaka 2023, yanaweza yasibadilike kama hutabadilika. Unachohitaji kufanya mwaka 2024 ni kubadilika wewe. Kama hutabadilika au kubadili namna unavyofikiri, ukweli ni kuwa matokeo utapata matokeo yaleyale ambayo ambayo umepata 2023 au hata chini ya hapo.   Napenda sana nukuu ya Robert Pirsing kama ilivyonukuwa kwenye kitabu cha…

  • Ushauri Muhimu Ambao Kila Kijana Anapaswa Kufanyia Kazi

    Huu ni ushauri ambao kila kijana anapaswa kuupata.Toka nyumbani anz kupambana na hali yako.

  • Usisubiri Mtu Yeyote Kuanza Kufanyia Kazi Ndoto Zako

    Kwenye andiko langu la Jana ee mtu mkubwa….niliandika kuhusu kuwa na ndoto kubwa. Ndiyo unapawa kuwa na ndoto kubwa bila ya kusubiri ruhusa ya mtu yeyote, ila ukwlei ni kuwa ndoto kubwa na malengo makubwa bila ya kufanyia kazi, hayatakaa yatimie. Ndiyo maana unapaswa kuanza kufanyia kazi malengo na ndoto zako bila ya kusubiri ruhusa.Kuifanyia…

  • Sababu Kumi Kwa Nini Haupaswi Kuongea Sana

    Unapokuwa unaongea au unawasilisha jambo lako kwa watu, usiwe mtu wa KUONGEA sana mpaka ukapitiliza. .jua lini unapaswa KUONGEALini unapaswa kusikiliza au kujenga hojaLini unapaswa kuuliza MASWALI n.k Wewe kwenye mazungumzo Yako, usiongee sana. Sikiliza sana. Na hata pale unapoongea, ukigundua point unayoongea tayari watu wameshaielewa, usilazimishe kuendelea KUONGEA. Inatosha. Kama watu wameshaielewa pointi Yako,…

  • Ya Ngoswe Mwachie Ngoswe

    Moja ya ushauri maarufu sana ambao umekuwa unatolewa kwa watu ni ushauri wa kuwa mind your own business. Kwa lugha yetu sisi vijana wa siku hizi ni saawa na kusema kwamba pambana na hali yako. Yaani, kwamba achana na mabo mengine ya watu wengine halafu Nguvu zako Muda wako Akili yako Fedha zako na RASILIMALI…

  • Vitu Vikubwa Vitano nilivyojifunza kuhusu MAISHA na biashara

    Rafiki yangu siku ya Leo Nina ujumbe mmoja TU kwako. Kama una kitu ambacho Wewe mwenyewe unafanya, na unajua kitu hicho kitaleta mabadiliko, mapinduzi au kitasaidia watu basi. Nakuhakikishia ukifanya haya mambo matano, kwa uhakika, kwa msimamo na bila kuacha. Sharti utaona TU matokeo. Makala hii imeandikwa na Godius RweyongezaKujifunza zaidi kutoka kwake jipatie nakala…

  • Kosa Kubwa Ambalo Watu Wengi Hufanya

    Kwenye maisha kuna makosa ambayo watu huwa wanafanya. Ila hupaswi kufanya makosa ya nanma hii mengi, maana kadiri unavyofanya makosa haya mengi, maana yake unakuwa unajiuzuia ile nafasi yaw ewe kusonga mbele na kuweza kfuanya makubwa zaidi. Sasa unajua ni kosa gani kubwa ambalo watu hufanya? Kutojifunza baada ya kumaliza chuo. Ile baada ya mtu…

  • Kitu muhimu unachopaswa kukifanya unapokuwa unakutana na mtu

    Niwe mkweli, hiki kitu mwenyewe kimekuwa kinanipa shida sana. Watu wengi wanaomba kuonana namimi halafu muda mwingine wanakuwa hawajajipanga. Na muda mwingine wanaomba tu kuonana na mimi ilimradi…. Lakini pia mimi siwaambii muda ambao nitaweza kuwa nao. Nimejifanyia tafakari kwa watu wengi ambao wameomba kuonana na mimi ndani ya mwaka 2023, nimegundua kitu hiki kimejirudia…

  • Je, kuna ulazima wowote ule wa kuandika majukumu yangu chini naweza kuyakumbuka?

    Kwenye makala ya jana nilikwambia kwamba unapaswa kuandika majukumu yako yak la siku. Unapaswa kuhakikisha kwamba umeyaandika chini. Lakini., Inawezekana wewe ukawa na kumbukumbu nzuri, hivyo ukajiambia kwamba sipaswi kuwa naandika vitu vyangu chini. Siku ya leo nipo hapa kukwambia kuwa hata kama una kumbukumbu nzuri. Hata kama unayesoma hapa ni profesa. Bado unapaswa kuandika…

  • Kitu kimoja unachopaswa kuanza kufanyia kazi mara moja

    Rafiki yangu mpendwa salaam, bila shaka unaendelea vizuri. Hivi umewahi kujiuliza ni kwa nini unakuwa unapoteza muda kwenye siku yako? Unajua kwa nini hili linatokea? Moja ya kitu kinachokufanya upoteze sana muda wako ni kwa sababu, hujapangilia vizuri siku yako. Yaani, chochotfe kile kinachokuja mbele yako wewe unafanya. Ukweli ni kuwa unapoianza siku yako, unapaswa…

  • NJE YA KUMI NA NANE: fikiri, Hoji Na Uliza Maswali Katika Ulimwengu Ambao Hautaki Uwe Hivyo.

    Rafiki yangu, kama kwenye maish yako bado hujafikia hatua ambapo wewe unaweza kufikiri nakuhoji na kuuliza maswali v itu. Basi bado hujaianza safari yako ya maisha. Hii ni hatua muhimu sana ambayo unapaswa kuifikia. Tuli[pokuwa wadogo tulikuwa tunapenda sana kuuliza maswali. Kuanzia maswali ya Mungu ni nani? Mpaka maswali ya watoto wanatoka wapi? Ila baada…

  • Hiki ni kitu ambacho kinaenda kukupa matokeo makubwa kama utakifanyia kazi

    Rafiki yangu mpendwa salaam, Bila shaka unaendelea vyema na kazi zako. Hongera sana kwa kazi. Siku ya leo ningependa nikwambie kitu kimoja ambacho kinaenda kukupa matokeo makubwa. Kitu hiki siyo kingine bali ni kufanya kazi ambayo unapenda. Kama unahairisha sana kufanyia kazi majukumu yako, kuna uwezekano mkubwa kuwa unafanya kazi ambayo wewe mwenyewe hupendi. Kama…

X