Category: A NOTE FROM SONGAMBELE

 • Kitabu cha Nguvu ya Kuchukua Hatua ya Kwanza: Kina Mbinu za Kuondokana na Hofu na Kufikia Mafanikio ya Kibinafsi

  Ikiwa unataka kuanza safari yako ya mafanikio, basi kitabu “Nguvu ya Kuchukua Hatua ya Kwanza” ni lazima uwe nacho. Kitabu hiki kinatoa mbinu sahihi za kukusaidia kuondokana na uzito wa hofu na wasiwasi na kuchukua hatua ya kwanza.  Ikiwa unaota kuwa na maisha bora, basi hii ndiyo fursa yako ya kuifanya ndoto yako kuwa halisi. […]

 • Uchambuzi Wa Kitabu Cha Rich Dad Guide To Investing

  Rich Dad Guide to Investing” ni kitabu kilichoandikwa na Robert Kiyosaki, kinachotoa mwongozo juu ya jinsi ya kuwekeza katika soko la hisa na mali isiyohamishika. Kitabu hiki kinategemea kanuni za vitabu vya awali vya Kiyosaki, “Rich Dad Poor Dad” na “Cashflow Quadrant,” na kinaelezea umuhimu wa elimu ya kifedha na uelewa wa tofauti kati ya […]

 • Kwa Nini Nashindwa Kutimiza Malengo Yangu?

  Habari ya leo rafiki yangu Kwenye makala ya leo ningependa kutoa ushauri kwa rafiki yetu mmoja ambaye ameuomba kutoka kwangu. Rafiki yetu anasema kwamba kwa nini hafikii malengo ilihali ana uwezo wa kufanya hivyo? Kujibu swali lake ningependa kuja moja kwa moja kwenye pointi ya msingi kueleza kwa nini hafikii malengo yake. Hiki ni kitu […]

 • Hii ndiyo Siri ya wewe kutengenezea utajiri mkubwa kwenye maisha.

  Na siri hii ni kwamba kama unataka kuwa tajiri basi fanya kinyume na watu wengine wanavyofanya. Mara nyingi watu wengi huwa wanafuata mkumbo kwenye maamuzi yao. Kwa hiyo, maamuzi yao yanakuwa siyo sahihi. Mtu anafanya kitu Kwa sababu na jirani yake anafanya. Mtu anajiunga na VICOBA Kwa sababu jirani na rafiki zake wote wamejiunga na […]

 • UMEZALIWA KUTAWALA

  Rafiki yangu mpendwa, salaam. Leo ni siku njema sana. Kwenye andiko hili nataka tuongelee namna ambavyo UMEZALIWA KUTAWALA na jinsi unavyopaswa kufikiri katika namna ya KUTAWALA muda wote Mtazamo wa uhaba (Scarcity mindsent) Hii ni dhana ambayo watu wengi wanakuwa nayo. Hiki kitu kinawafanya wengi wafikiri kwamba RASILIMALI na vitu vingine vinapatikana Kwa uhaba hapa […]

 • Sababu mbili Kwa Nini kila anayetaka kuwekeza anapaswa kuwa na biashara pia

  Rafiki yangu mpendwa salaam, sina shaka unaendelea vizuri. KWENYE makala ya Leo ningependa kuongea na Wewe juu ya sababu mbili kwa nini haswa unapaswa kuwa na biashara kabla ya kuwekeza. Kuna watu AMBAO Huwa wanapenda kuwekeza ila huwa hawataki kujifunza Kuhusu biashara wala kujua chochote biashara. Ukweli ni kwamba uwekezaji na biashara ni vitu ambavyo […]

 • Audiobook vs Ebook

  Audiobook ni kitabu kimesomwa kwa sauti (kitabu kinaweza kuwa kimechapwa au hakijapachwa, ila kikisomwa kwa sauti kinakuwa audiobook) Audiobook.ni neno la kiingereza ambalo linaundwa maneno mawili.Neno la kwanza niaudio=yaani sauti Na neno la pili ni book yaani kitabu. Kwa lugha nyingine tunaweza kusema audiobook ni KITABU SAUTI. Mfano wa kitabu sauti hiki hapa Kwa upande […]

 • Hii Ndiyo Fursa yako ya Kupata Nakala ya Kitabu cha The School of Money (Hardcopy) Bure Kabisa!

  Rafiki yangu mpendwa, ninaamini kuwa kila mmoja wetu anapenda kuwa na maisha bora zaidi, yenye uhuru wa kifedha na utulivu wa kiakili. Leo, nataka kuzungumza na wewe kuhusu kitabu cha kipekee ambacho kimekuwa kikisaidia watu duniani kote kufikia mafanikio ya kifedha. Kitabu hiki ni “The School of Money” ambacho kinaandikwa na mmoja wa wataalamu wa […]

 • Uchambuzi wa kitabu cha NO excuses

  Kitabu: No ExcuseMwandishi: Brain TracyMchambuzi: Hillary Mrosso Utangulizi Mwandishi wa kitabu hiki anataka tuwe watu wa matokeo na sio watu wa kutoa sababu kwanini hakuna matokeo. Maneno kidogo kazi zaidi, matokeo zaidi. Karibu tujifunze mambo 100 niliyoyaona ndani ya kitabu hiki kizuri. Asante kwa kusoma uchambuzi wa kitabu hiki, hiki ni kitabu kizuri sana, nashauri […]

 • Unapaswa kuwa na vyanzo vingi vya kipato, la sivyo utakuwa na vyanzo vingi vya mahangaiko

  Rafiki yangu mpendwa Salaam Sina shaka unaendela vizuri kabisa Siku ya leo nataka kukwambia kwamba unapaswa kuwa na vyanzo vingi vya kipato la sivyo utakuwa na vyanzo vingi vya mahangaiko. Hata hivyo, kabla hujaishia hapa na kwenda kukimbizana kuanzisha vyanzo vingi vya kipato. Ningependa tu uwe na subira, nasema uwe na subira kwanza ili usome […]

 • NGUVU YA KUCHUKUA HATUA YA KWANZA: Na Kwa Nini UnAHITAJI Kumaliza Kile Ulichoanza

  Rafiki yangu mpendwa, Salaam Juzi tumezindua kitabu kipya cha NGUVU YA KUCHUKUA HATUA YA KWANZA. Na kwa nini unapaswa kumaliza kile ulichoanza. Hiki ni moja ya kitabu kizuri sana ambacho unapaswa kuhakikisha kwamba umepata nakala yake mapema. Najua, umekuwa unataka kufanya makubwa. Lakini changamoto yako kubwa imekuwa aidha ni kuchukua hatua ya kwanza. Au la […]

 • Leo siku ya kitabu duniani…..

  Frederick Douglass alizaliwa akiwa mtumwa kwenye mashamba ya huko Maryland nchini Marekani. Akiwa na umri wa mwaka 1 alitenganishwa na mama yake, ambapo hiki kinasemekana kilikuwa ni kitu cha kawaida sana kufanyika miongoni mwa watumwa. Hivyo, Frederick Douglass alikuja kukutana mama yake mara nne zaidi kwenye maisha yake kabla mama yake hajaaga Dunia. Akiwa kama […]

 • Hiki ni kitu kitakachobadili maisha yako yote kuanzia leo……

  Mwaka Jana kwenye maonesho ya nanenane nikikutana na Dada Mmoja. Huyu dada alikuwa akipanga Kwa miaka mingi kuandika kitabu ila akawa haandiki. Sasa Leo hii alikuwa na swali Moja tu kwangu “Godius”, alisema. “Hivi Nina shida Gani? Kwa nini kila mwaka napanga kuandika ila sijawahi kuandika? “Nifanyeje ili niweze kuanza kuandika” Aliendelea Nilikaa naye na […]

 • Fanya kazi na kitu unachotaka kufanya kwa ubora

  Katika kazi au kitu chochote kile utakachoamua kufanya. Weka moyo, akili na kila kitu kwenye hicho kitu. Yaano, zama kabisa kwenye kile kitu kiasi kwamba hakuna kitu ambacho kinapaswa kukutoa wewe kwenye reli ya kukamilisha hicho kitu. Yaani, kwenye hili nataka upate mfano wa simba. Si unamjua Simba si mnyama mkubwa kuliko wote mbugani. Simba […]

 • Tumezindua kitabu kipya! Haya hapa ni mambo ya msingi sana unayopaswa kufahamu kuhusu hiki kitabu

  Rafiki yangu mpendwa, SalaamMoja ya kitu ambacho huwa kinanipa furaha kubwa ni pale ambapo huwa naandika kitabu, na kukikamilisha. Ni vigumu sana kueleza kwa UNDANI mchakato wote wa kuandika kitabu kwa ukamilifu. Ila furaha ile unayoipata baada ya kumaliza kuandika kitabu, ni furaha isiyo na kifani! Hivi unaijua furaha isiyo na kifani kweli……Hahaha Enewei, leo […]

 • Fanya kitu hata kama ni kidogo

  Fanya kitu kimoja kila siku ambacho kinakuogopesha. Fanya kitu hata kama ni kidogo. VItu vidogo mwisho wa siku ndyo huwa vinaleta matokeo na mafanikio makubwa sana. Kuna watu wanafikiria kuwa na mtaji mkubwa wa kuanzisha biashara. Kuna watu wanafirikia juu ya kuja kuwa mabilionea. Hilo lengo ukiliangalia ni lengo kubwa sana. Lakini  sasa kulifanyia kazi […]

 • Omba Utapewa

  MOJA YA ujuzi ambao una-paswa kuwa nao ni ujuzi wa kuomba. Yaani, kuomab kitu unachotaka kutoka kwa watu wenye nacho. Hiki ni kitu ambacho watu waliofanya makubwa huwa wanafanya. Wanaofanya makubwa siyo kwamba wanaweza kufanya kila kitu hapa duniani. Hapana, wanaweza kufanya vitu vichache, ila sasa kwa vile vitu ambavyo hawawezi, basi wanaomba wengine waweze […]

 • Usifanye Kosa Hili Unapotaka Kufanya Uwekezaji

  Hongera sana Kwa siku hii ya kipekee rafiki yangu.Nadhani unajua ni Kwa Namba Gani nimekuwa nakusisitiza kufanya uwekezaji. Wakati mwingine unaweza kusikia watu wakiongelea Kuhusu uwekezaji ukaona nguvu hii iliyolala kwenye uwekezaji, basi ukaamua kwamba na wewe utaenda kuwekeza. Lakini sehemu yako ya kukimbilia ikawa ni kupata mkopo. Rafiki yangu, ninachotaka kukwambia siku ya Leo […]

 • Kazi Yako Ya Kwanza

  Rafiki yangu mpendwa salaam. Najua kuwa unapambana sana kwenye shughuli zako za kila siku. Hongera sana Kwa hilo. Siku ya Leo ningependa kukwambia kitu kimoja kikubwa sana. Kitu hiki ni kuwa kama unataka kufanikiwa kwenye maisha basi fahamu kuwa KAZI yako ya kwanza kabisa ni kuhakikisha haufi.Hakikisha unaendelea kuishi. Hilo, ukishalifanikisha kinachofuata ni wewe kuendelea […]

 • Kama kila mtu angekuwa ni…

  Hivi kaa chini ufikirie kama kila mtu angekuwa ni mzembe kama wewe. Kama kila mtu angekuwa na visingizio kama wewe Kama kila mtu angekuwa ni mwoga kama wewe Kama kila mtu angekuwa ni mlalamikaji kama wewe. Kama kila mtu angeona aibu kuitumia akili yake? Kama kila mtu angesema ni acha nile maisha leo kesho itajijua […]

X