Author: Godius Rweyongeza

  • Je, Ni Kweli Watanzania Hawajui Kupanga

    Unapanga nini? Watu wengi sana wamekuwa wakiwalalamikia watanzania kwamba watanzania hwàjaui kupanga na kuweka malengo.Basi baada ya kusikia hili ilinipasa nianze kufuatilia kwa umakini kuona kama ukweli nyuma ya kauli hii. Kupata kitabu hiki wasiliana na mimi kupitia 0755848391 sasa Swali la msingi nikilokuwa nikijiukiza je, ni kweli watanzania hawajui kupanga? Jibu la swali hili…

  • Kama Ningekuwa Wewe Ningefanya Hivi?

    Moja ya swali moja ambalo nimewahi kukutana nalo ni kutoka kwa Rafiki yangu anayependa kuigiza. Aliniuliza kama ungekuwa mimi ungefanyaje? Basi katika kuongea ilibidi nimshirikishe hatua fupi ambazo ningezifanya kwa haraka na kuanza kazi.Zisome ili siku tukikutana usiniulize swali hili la ungekuwa mimi ungefanyaje? Badala yake utaniuliza swali jingine tofauti? Ili Kupata kitabu hiki wasiliana…

  • Je, Ni Kitu Gani Unaweza Kukifanya Bora Zaidi Ya Mwingine?

    Hivi ulishawahi kujiuliza ni kitu gani unaweza kufanya bora zaidi ya wengine?Je, unakifahamu  kitu hiki?Kama unakifahamu kitu hiki naomba niseme hongera sana ila usiishie hapa, endelea kusoma makala hii mpaka mwisho.Kama hukifahamu, ebu tulia kwanza usiendelee. Chukua kalamu na karatasi. Ebu jiulize swali hili. Ni kitu gani naweza kukifanya kwa ubora zaidi ya watu wengine?Je,…

  • Takataka Tatu (03) Unazopaswa Kuzichoma

    Habari za siku ya leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu ya songambele.Imani yangu leo ni siku njema sana kwako. Hakika tarehe 04 ya mwezi 10 21017 ni siku ambayo haijawahi kujitokeza maishani?  Tafuta kalenda zote hutakuja kuiona. Lakini hata kama bado utaambiwa uishi miaka mingi sana hapa duniani basi jua kwamba hutakuja kukutana…

  • Kosa kubwa Unalopaswa Kuepuka

    . Katika maisha kuna nafasi ya kuchagua vitu mbali mbali vya kufanya. Unaweza kuchagua sehemu unayotaka kwenda. Nani ungependa kukutana naye na kipi ungependa kufanya. Uchaguzi wa maisha ambayo ungependa kuishi unaufanya mwenyewe. Uchaguzi wako unaoufanya unatokana na maamuzi. Watu wengi wanaogopa kufanya maamuzi kwa sababu tu wanaogopa matokeo yakayojitokeza. Kila uamuzi unaoufanya unaweza kuja…

  • Tabia Tatu Za Pesa

    Habari, Katika maisha yetu ya kila siku pesa imekuwa ikizungumziwa sana. Pesa imekuwa ikitajwa na watu kutoka katika kila kona. Kila unachogusa ni pesa. Ukitaka kusafiri pesa lazima it itumike. Hata hapa unasoma makala hii kwa sababu kuna pesa umeitumia kununua vocha. Yaani kwa maisha ya sasa suala zima la kuwa na pesa si la…

  • Jambo Moja Litakaloinua Biashara Yako Popote Duniani.

    Ukuaji ni jambo la muhimu sana. Na mwanadamu ni mtu ambaye tunategemea akue kila siku. Ukuaji huu wa kila mwanadamu tunategemea utokee kwenye sekta zote zinazomhusu ikiwa ni kiroho, kimwili na kiafya. Kama wewe unasema kwamba utabaki jinsi ulivyo basi jua kwamba unazidi kupitwa na wakati. Maana dunia dunia yenyewe tu haibaki ilivyo bali inazidi…

  • Nijibu SMS 1000 Au Nisome Kurasa 1000? Ipi Bora? Nifanye Ipi?

    Habari za siku ya leo rafiki yangu. Binafsi naipenda sana mitandao ya kijamii. Inaniunganisha na watu ambao kama isingekuwapo basi ingekuwa vigumu kwangu kuonana nao. Mitandao ya kijamii inanifanya najifunza na kusoma zaidi; Inanifanya nijenge heshima yangu na mambo mengine mengi kutaja ila machache. Soma zaidi; Vitabu Vitatu Vya Kusoma Kabla Mwaka Huu Haujaisha Ujio…

  • TATIZO SI RASLIMALI ZILIZOPOTEA -7

    Thamani ya yako si kama thamani ya nguo. Thamani yako si kama thamani ya nyumba au gari lolote unalolifahamu. Wewe unayo thamani kubwa, kubwa, kubwa sana. Thamani yako imo ndani yako tangu siku ulipozaliwa. Ni thamani kubwa sana. Tofauti ya thamani kubwa iliyo ndani yako na thamani za vitu vingine ni kwamba thamani yako haipimwi…

  • Hizi Ndizo Njia 31 Za Kutangaza Biashara Yako

    Dunia ya sasa inazidi  kukua kwa kasi kubwa  sana. Kadri dunia inavyozidi kukua kutangaza Biashara kunakuwa rahisi lakini pia kunakuwa kugumu. Wale wanaobadilika na wakati wanaweza kutangaza boashara zao na kuwafikia wateja wengi. Wale wanaokomaa na njia zile zile za jana basi wanazidi kupitwa. Ili kukurahisia njia za kuitangaza Biashara yako basi hapa nimekurahisishia. Kiufupi…

  • Nchi Za Ulimwengu Wa Tatu? Au Watu Wa Ulimwengu Wa Tatu? Ipi Sahihi?

    Kumekuwa na hali ya watu kuambiwa kwamba wao ni wazembe. Kwamba hawawezi na wao wanakubali. Hakuna aliyezaliwa akiwa wa kawaida sana kama ambavyo jamii yako inakuona. Wewe ni zaidi ya hapo. Jamii inamuona mtu aliye gerezani kama mfugwa lakini. Kama na yeye atajiona mfugwa basi maisha yake yote atakuwa mfugwa tu. Lakini kama atajiona  kama…

  • Unaona au Unaangalia?

    Binadamu ni watu ambao muda mwingine tunashangaza sana. Tumepewa macho mawili lakini utumiaji wa macho haya ni mdogo sana. Hii si kwa macho tu, Bali hata kwa viungo vingine. Viungo kama ubongo, pua, masikio kutaja ila vichache havijatumika haswa kama ambavyo vinastahili kuwa vimetumika. Ukitaka kugundua hili. Mtafute rafiki yako mmoja nenda naye sehemu ambapo…

  • Iko Wapi Sehemu Tajiri Duniani Ili Nikatengeneze Pesa?

    Kumekuwa na wimbi la vijana kuhama kutoka vijijini kwenda mijini ili wakatafute pesa. Wanatafuta sehemu ambayo itakuwa njema sana kwa ajili ya mafanikio yao. Je, wakifika mjini wanafanikiwa?Wapo ambao wanafanikiwa, mara tu baada ya kufika mjini na wapo ambao bado maisha yanazidi kuwa magumu. Sasa zile ndoto za twende mjini kuna maisha mazuri zinaaanza kupungua…

  • Mambo Ya kuzingatia Ili kuchagua Fursa Sahihi

    Habari wiki iliyopita, tulianza kuzungumzia juu ya mada inayohusu mambo ya kuzingatia ili kichagua fursa sahihi. Leo hii tunaendelea na mada hii ikiwa ni sehmu ya pili na hapa tunaenda kumalizia mambo mengine matano ya kuzingatia ili kuchagua fursa sahihi. Hakikisha kwamba umesoma kwanza makala ya wiki iliyopita kwa kubonyeza hapa; baada ya hapo unaqeza…

  • Nafasi Muhimu za Watu Katika Biashara.

    Ili biashara yoyote iweze kukua inahitaji timu ya watu ambao wataungana kuhakikisha kwamba wanaikuza. Mtu mmoja hawezi kuikuza Biashara na kuifanya iwe yenye manufaa makubwa. Kumbe ndio maaana suala zima la mahusiano mazuri kati ya mmiliki wa biashara na wafanyakazi wake ni muhimu.Huhitaji kuanzisha Biashara ukiwa unajua kila kitu. Unahitaji kuwa kiongozi mzuri ili uweze…

  • Sababu nne Zitakazokufanya Ukumbatie Matatizo

    Hivi umewahi kujiuliza kitu gani kitatokea kama tutaishi duniani bila vikwazo. Hivi ushawahi kujiuliza kama tungeishi katika dunia ambayo haina matatizo? Watu wengi sana huwa wanasema kwamba ingekuwa ni dunia bora sana na njema sana kwa ajili yetu kuishi maisha mazuri na yanayopendeza. Labda! lakini usemi wako si wa kweli. Ukweli ni kwamba Dunia bila…

  • KITU HIKI KITAKUNYIMA KAZI KAMA KWA SASA UNATEMBEA NA CHETI

    Habari za siku ya leo rafiki yangu, imani yangu kwamba siku ya leo ni njema sana na mambo yako yanaenda vizuri sana.   kama kuna kitu ambacho unataka kufanya leo hakikisha kwamba unakifanya kwa ajili ya baadae.  Hakikisha kwamba kile ambacho unataka kukifanya ndani ya siku hii ya leo unakifanya tena uhakifanya kwa juhudi kubwa sana.…

  • Mambo Ya Kuzingatia Ili Kuchagua Fursa Sahihi.

    Habari, Namshukuru Mungu kwa siku hii njema sana ya leo. Watu wengi sana wamekuwa wakiuliza ipi biashara bora wao kufanya. Na mara nyingi sana watu wamekuwa wakishabikia fursa mbali mbali ambazo zinajitokeza. Mwaka unapitia katika vipindi vingi sana. Ambapo ndani ya mwaka husika huwa zinajitokeza fursa mbali mbali. Zipo fursa ambazo huwa zinajitokeza kwa muda…

  • Unajaribu Au Unafanya

    Kila siku kuna watu wanajaribu fursa mpya. Endapo fursa hiyo haijafanya kazi, mtu anaachana nayo na kwenda kuchukua fursa nyingine. Isipofanya kazi unaacha. Yaani unaweza kutumia miaka Mingi sana ukijaribu huku na kuacha na kwenda kujaribu sehemu nyingine. Binafsi huwa naipenda sana asili, maana huwa haijaribu. Bali huwa inafanya haswa. Majani huwa hayajaribu kukua ila…

  • KONA YAA SONGA MBELE; IKO WAPI MOTISHA YA JANUARI MOSI?.🤷🏽‍♂🤷🏽‍♂

    🤷 Ikifika mwishoni mwa mwaka wowote, huwa napenda sana mchaka mchaka ambao huwa unakuwepo. Watu wengi huwa wanauzungumzia mwaka mpya kutokea kila kona. Mitandao ote ya kijamii huwa inajaa jumbe mbali mbali za kuuaga na kuupokea mwaka Mpya. Nyimbo mbali mbali huwa zinaimbwa kuashiria mwisho wa mwaka na ujio wa mwaka Mpya. Maandalizi mbali mbali…

X