Author: Godius Rweyongeza

  • Salaam Za Kheri Ya Mwaka Mpya 2024 Kutoka Kwa Godius Rweyongeza

    Rafiki yangu mpendwa, salaam. Nichukue nafasi hii kukutakia kheri ya mwaka mpya 2024. Ule mwaka uliokuwa umeusubiri sasa ndiyo huu hapa umefika. Yale mambo yote uliyokuwa umesema kwamba utayafanya ndani ya huu mwaka, sasa ndiyo muda muafaka wa kuyafanya. Biashara uliyokuwa umesema kwamba utaanzisha mwaka 2024, hakikisha sasa unaianzisha. Akiba uliyokuwa umesema utaweka. Iweke. Kiufupi…

  • Kwaheri 2023: Mambo 12 Ambayo Mwaka 2023 Umenifunza

    Mwaka 2023 sasa unaisha. Umekuwa ni mwaka bora sana kwangu, na umekuwani mwaka ambao nimeweza kufanya mengi, kuna mengi ambayo naweza kuandika kuhusu mwaka 2023 ila kwa leo nitaandika haya ambayo mwaka 2023 umenifundisha. mwaka 2023 umenifundisha kuwa kuwa mtandao wa intaneti una mkono mrefu. Najua wengi tumezoea kusikia kwamba serikali ina mkono mrefu. Lakini…

  • 2024 badili mifumo yako ya kufikiri

      Rafiki yangu, matokeo ambayo umepata ndani ya mwaka 2023, yanaweza yasibadilike kama hutabadilika. Unachohitaji kufanya mwaka 2024 ni kubadilika wewe. Kama hutabadilika au kubadili namna unavyofikiri, ukweli ni kuwa matokeo utapata matokeo yaleyale ambayo ambayo umepata 2023 au hata chini ya hapo.   Napenda sana nukuu ya Robert Pirsing kama ilivyonukuwa kwenye kitabu cha…

  • Ushauri Muhimu Ambao Kila Kijana Anapaswa Kufanyia Kazi

    Huu ni ushauri ambao kila kijana anapaswa kuupata.Toka nyumbani anz kupambana na hali yako.

  • Usisubiri Mtu Yeyote Kuanza Kufanyia Kazi Ndoto Zako

    Kwenye andiko langu la Jana ee mtu mkubwa….niliandika kuhusu kuwa na ndoto kubwa. Ndiyo unapawa kuwa na ndoto kubwa bila ya kusubiri ruhusa ya mtu yeyote, ila ukwlei ni kuwa ndoto kubwa na malengo makubwa bila ya kufanyia kazi, hayatakaa yatimie. Ndiyo maana unapaswa kuanza kufanyia kazi malengo na ndoto zako bila ya kusubiri ruhusa.Kuifanyia…

  • Sababu Kumi Kwa Nini Haupaswi Kuongea Sana

    Unapokuwa unaongea au unawasilisha jambo lako kwa watu, usiwe mtu wa KUONGEA sana mpaka ukapitiliza. .jua lini unapaswa KUONGEALini unapaswa kusikiliza au kujenga hojaLini unapaswa kuuliza MASWALI n.k Wewe kwenye mazungumzo Yako, usiongee sana. Sikiliza sana. Na hata pale unapoongea, ukigundua point unayoongea tayari watu wameshaielewa, usilazimishe kuendelea KUONGEA. Inatosha. Kama watu wameshaielewa pointi Yako,…

  • Ya Ngoswe Mwachie Ngoswe

    Moja ya ushauri maarufu sana ambao umekuwa unatolewa kwa watu ni ushauri wa kuwa mind your own business. Kwa lugha yetu sisi vijana wa siku hizi ni saawa na kusema kwamba pambana na hali yako. Yaani, kwamba achana na mabo mengine ya watu wengine halafu Nguvu zako Muda wako Akili yako Fedha zako na RASILIMALI…

  • Vitu Vikubwa Vitano nilivyojifunza kuhusu MAISHA na biashara

    Rafiki yangu siku ya Leo Nina ujumbe mmoja TU kwako. Kama una kitu ambacho Wewe mwenyewe unafanya, na unajua kitu hicho kitaleta mabadiliko, mapinduzi au kitasaidia watu basi. Nakuhakikishia ukifanya haya mambo matano, kwa uhakika, kwa msimamo na bila kuacha. Sharti utaona TU matokeo. Makala hii imeandikwa na Godius RweyongezaKujifunza zaidi kutoka kwake jipatie nakala…

  • Kosa Kubwa Ambalo Watu Wengi Hufanya

    Kwenye maisha kuna makosa ambayo watu huwa wanafanya. Ila hupaswi kufanya makosa ya nanma hii mengi, maana kadiri unavyofanya makosa haya mengi, maana yake unakuwa unajiuzuia ile nafasi yaw ewe kusonga mbele na kuweza kfuanya makubwa zaidi. Sasa unajua ni kosa gani kubwa ambalo watu hufanya? Kutojifunza baada ya kumaliza chuo. Ile baada ya mtu…

  • Kitu muhimu unachopaswa kukifanya unapokuwa unakutana na mtu

    Niwe mkweli, hiki kitu mwenyewe kimekuwa kinanipa shida sana. Watu wengi wanaomba kuonana namimi halafu muda mwingine wanakuwa hawajajipanga. Na muda mwingine wanaomba tu kuonana na mimi ilimradi…. Lakini pia mimi siwaambii muda ambao nitaweza kuwa nao. Nimejifanyia tafakari kwa watu wengi ambao wameomba kuonana na mimi ndani ya mwaka 2023, nimegundua kitu hiki kimejirudia…

  • Je, kuna ulazima wowote ule wa kuandika majukumu yangu chini naweza kuyakumbuka?

    Kwenye makala ya jana nilikwambia kwamba unapaswa kuandika majukumu yako yak la siku. Unapaswa kuhakikisha kwamba umeyaandika chini. Lakini., Inawezekana wewe ukawa na kumbukumbu nzuri, hivyo ukajiambia kwamba sipaswi kuwa naandika vitu vyangu chini. Siku ya leo nipo hapa kukwambia kuwa hata kama una kumbukumbu nzuri. Hata kama unayesoma hapa ni profesa. Bado unapaswa kuandika…

  • Kitu kimoja unachopaswa kuanza kufanyia kazi mara moja

    Rafiki yangu mpendwa salaam, bila shaka unaendelea vizuri. Hivi umewahi kujiuliza ni kwa nini unakuwa unapoteza muda kwenye siku yako? Unajua kwa nini hili linatokea? Moja ya kitu kinachokufanya upoteze sana muda wako ni kwa sababu, hujapangilia vizuri siku yako. Yaani, chochotfe kile kinachokuja mbele yako wewe unafanya. Ukweli ni kuwa unapoianza siku yako, unapaswa…

  • NJE YA KUMI NA NANE: fikiri, Hoji Na Uliza Maswali Katika Ulimwengu Ambao Hautaki Uwe Hivyo.

    Rafiki yangu, kama kwenye maish yako bado hujafikia hatua ambapo wewe unaweza kufikiri nakuhoji na kuuliza maswali v itu. Basi bado hujaianza safari yako ya maisha. Hii ni hatua muhimu sana ambayo unapaswa kuifikia. Tuli[pokuwa wadogo tulikuwa tunapenda sana kuuliza maswali. Kuanzia maswali ya Mungu ni nani? Mpaka maswali ya watoto wanatoka wapi? Ila baada…

  • Hiki ni kitu ambacho kinaenda kukupa matokeo makubwa kama utakifanyia kazi

    Rafiki yangu mpendwa salaam, Bila shaka unaendelea vyema na kazi zako. Hongera sana kwa kazi. Siku ya leo ningependa nikwambie kitu kimoja ambacho kinaenda kukupa matokeo makubwa. Kitu hiki siyo kingine bali ni kufanya kazi ambayo unapenda. Kama unahairisha sana kufanyia kazi majukumu yako, kuna uwezekano mkubwa kuwa unafanya kazi ambayo wewe mwenyewe hupendi. Kama…

  • Muda Ni Dhahabu

    Muda ni kitu pekee ambacho watu wote tunacho Kwa usawa. Ni muhimu sana kwangu kuhakikisha kuwa nakutumia vizuri muda wangu Kwa Manufaa. Hata kama Sina utajiri wa fedha ninaweza kubadili utajiri wa muda kuwa wa fedha. Muda ni DHAHABU, ninapaswa mara zote kuhakikisha nakutumia vizuri. Asante.

  • Utajiri ni hatima ambayo Kila Mmoja anapaswa kuipambania

    Kujenga utajiri ni mtazamo. Napaswa kubadili mtazamo wangu na kuona kuwa inawezekana kujenga utajiri mkubwa. Watu wengi wanakuwa na imani mbalimbali Kuhusu utajiri, wanaona utajiri ni mbaya na matajiri ni wabaya. Mtazamo huu huu unawafanya wengi washindwe kujenga utajiri Kwa sababu huwezi kupata kitu ambacho wewe Mwenyewe unaona ni kibaya. Ili kujenga utajiri unapaswa kuwa…

  • Mambo kumi yatakayokusaidia kulianza juma hili ukiwa mbele ya watu wengine

    Hayo kwa leo yanatosha. Nikutakie mwanzo mwema wa juma hili hapa. Kila la kheri na waslimia sana Rafiki zako walio karibu na wewe.

  • Weka akiba kwa manufaa yako

    Ni vigumu sana kupata suluhisho la kudumu kwa njia za mkato. Suluhisho la kudumu, linahitaji njia ya uhakika ambayo utaifuata mpaka kufikia suluhisho. Kama una changamoto ya akiba, kukopa siyo suluhisho. Ila kuthibiti matumizi yako, kuongeza kipato na kuwa na vyanzo vingi vinayokuingizia kipato ndiyo suluhisho. Anza kuweka akiba leo, maana akiba ni mbegu ambayo…

  • Hili Ndilo Suluhisho la Kudumu Kwa Tatizo La Ajira Linaloendelea

    Rafiki yangu mpendwa, bila shaka unaendelea vizuri, changamoto kubwa kwenye zama tunazoishi sasa hivi ni ajira. Kuna vijana wengi ambao wamehitimu chuo ila hawana ajira, kila siku wanahangaika kuomba kazi kwenye taasisi moja baada ya nyingine. Ukweli ni kuwa kwenye zama tunazoishi sasa hivi hakuna ajira kama ilivyokuwa kwenye zama za viwanda. Hata hivyo kazi…

  • Nguvu Ya Vitu Vidogo Kuelekea Mafanikio Makubwa katika Vitendo…

    Huwa kuna kichekesho mtandaoni ambacho huwa kinasema ibada ilianza hivi, mpaka inaisha ilikuwa hivi.. Au ibada ilianza vizuri, ila mambo yalibadilila pale mchungaji aliposema atakayeimba vizuri ataondoka na sadaka… Vichekesho vya aina hii huwa vinakuja kwa mfumo tofauti, ila lengo la hivi vichekesho huwa ni kitu kimoja tu, kusisitiza nguvu ya KUCHUKUA HATUA YA KWANZA…

X