Kama mwanao Yuko Likizo Hakikisha Anasikiliza Hiki Kitabu


Rafiki yangu mpendwa Salaam.

Mwezi wa sita ni mwezi ambao watoto wengi wako likizo. Pengine kwa kipindi hiki ambacho likizo zimeanza, umeshaanza kuwachoka kwa kuona wanavyozurura na ku kupiga kelele hapo nyumbani.

Lakini pia ninajua wewe kama mzazi unawapenda sana wanao na ungependa kuona wanafanya makubwa. Kwa kuwa wewe kama mzazi unawapenda sana watoto wako na ungependa kuona wanafanya makubwa basi nakushauri uhakikishe kwamba unapata audiobooks hizi mbili kisha uhakikishe kwamba unawapwa wanao wanazisikiliza. na audiobooks hizi siyo nyingine bali ni audiobooks za vitabu vya JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO pamoja na NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA.

Wakishazikiliza hivi vitabu sauti viwili halafu bado wakaendelea kukusumbua na wakawa hawana mwelekeo njoo nikulipe.

Hivi ni vitabu viwili ambavyo nina uhakika navyo, vinaenda kuwabadili hasa kwenye namna wanavyofikiri na wanavyotenda kwenye kazi zao.

Kupata vitabu hivi viwili ni rahisi sana. Wasiliana na 0684408755.

Mwezi wa sita ni mwezi wa audiobooks, tufurahie ubora wa vitabu sauti. Tuutumie huu mwezi kusikiliza vitabu vya sauti


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X