Kwa nini vijana wengi hawawekezi kwenye soko la Hisa, hatifungani na vipande


Mwishoni mwa mwaka Jana nilipata kuhudhuria mkutano mkuu wa mwaka wa mfuko wa umoja kwa njia ya mtandao. Mkutano huu ulikuwa unafanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere UBUNGO lakini pia ulikuwa ulifanyika kwa njia ya mtandao. 
Kitu kikubwa kilichokuwa kinaongelewa kwenye huu mkutano ilikuwa ni ripoti ya mwaka 2021/2022 ya mfuko wa umoja.

Baada ya ripoti kuwasilishwa Kuna watu walionekana wanaguswa kwa namna mkutano mzima ulivyokuwa umejaa wazee na watu wenye umri wa kustaafu kwa asilimia kubwa.

Hii ilitoa picha kuwa hawa watu ndio wawekezaji wakubwa kwenye mfuko, na hivyo vijana wameachwa nyuma.

Swali kulikuwa kwa Nini vijana hawawawekezi?

Sikumbuki Kama Kuna MTU alijibu hili swali, Ila leo Ningependa kukupa sababu chache tu kuonesha kwa nini vijana hawawekezi?

Kwanza hawana elimu. Ujue elimu ndiyo inaondoa kiza na toongotongo machoni pa mtu na hivyo kumfanya awekeze.

Kama hauna elimu sahihi, Basi jua waziwazi kabisa kuwa huwezi kuwekeza.

Na ndio maana nimeamua kwa dhati kuhakikisha kwamba elimu hii ya uwekezaji naiweka kwenye maandishi kwenye kitabu hiki Cha kipekee cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE.

Hakikisha unapata nakala yako siku ya leo kwa 20,000/- tu. Wasiliana nami kwa 0755848391


One response to “Kwa nini vijana wengi hawawekezi kwenye soko la Hisa, hatifungani na vipande

  1. I like your books I already read so far I learned alot from it
    Thanks alot Godius you make me realize that even swahili books are good for us not only the English books au the outside write Tanzania we can if you make us thing value it❤️

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X