Haya ni mambo ya msingi ambayo unaenda kujifunza kutoka kwenye kitabu cha jinsi ya kuongeza thamani yako


Rafiki yangu wa ukweli, sina shaka unaendela vyema kabisa. Hongera sana kwa siku hii ya kipekee.

siku ya leo ningependa kukwambia kitu kikubwa ambacho unaenda kujifunza kutoka kwenye kitabu cha JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO. Hiki ni kitabu cha kipekee chenye mafunzo makubwa sana ambacho kila mtu aliye hai anapaswa kuhakikisha kwamba amekisoma. Na kwa sababu hiyo basi, siku ya leo napenda kuleta kwako mafunzo haya muhimu utakayoyapata kutoka kwenye hiki kitabu.

mafunzo haya makubwa yapo kwenye ebook hii hapa chini, naomba uipakue, na uisome. Utanishukuru baada ya kuwa umepata nakala ya kitabu cha JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO.

kitabu cha JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO kipo. na Gharama yake ni 30,000/- rafiki yangu. Ila usiwe na wasiwasi kuhusu hilo. Kuna ofa kwa ajili yako. na ofa hii ni kwamba ukilipia 20,000/- kwa leo badala ya 30,000/- utapata nakala hii.

Hii ofa ni ya muda mfupi. Kuna nakala 30 tu tunazo hapa. Zikiisha hizi nakala, ndiyo ujue kwamba na ofa itakuwa imeisha pia.

KARIBU SANA RAFIKI YANGU UWEZE KUANGALIA YALIYOMO KWENYE KITABU, kisha kuchukua hatua sasa hivi ili uweze kupata nakala ya kitabu chako popote pale utakapokuwa.

Asante sana.

Ni mimi rafiki yako

Godius Rweyongeza


One response to “Haya ni mambo ya msingi ambayo unaenda kujifunza kutoka kwenye kitabu cha jinsi ya kuongeza thamani yako”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X