NJIA SABA BORA ZA KUTANGAZA UJUZI WAKO KWA WATU


NJIA SABA BORA ZA KUTANGAZA UJUZI WAKO KWA WATU

Rafiki yangu siku ya leo ningependa kikufundishe njia Saba Bora za KUTANGAZA UJUZI WAKO KWA watu, kiasi Cha kuweza kuwashawishi watu waweze kutoa hela zao mfukoni na kukulipa.

Naomba ifahamike hapa kuwa ninapoongelea Aina za ujuzi namaanisha, kile kitu ambacho tayari unacho na unaweza kukipangilia vizuri kikaanza kuleta mafanikio.
Kuna watu wanaposikia ujuzi Basi wanadhani kinapaswa kuwa ni kitu cha kipekee sana kitu ambacho hakijawahi kufanyika au kuonekana ssehemu yoyote.
Ujuzi unaweza kuwa elimu au taaluma yako
Ujuzi unaweza kuwa kitu ambacho umefanya kwa muda mrefu na Sasa umebobea kwenye hicho kitu kiasi kwamba unaweza kuwafundisha wengine wakanufaika nacho.
Ujuzi unaweza kuwa wa wa kujifunza pia mtandaoni

SOMA ZAIDI: AINA TATU ZA UJUZI UNAOHITAJI ILI KUONGEZA THAMANI YAKO NA KULA MEMA YA NCHI
Kwenye makala ya leo ningependa nikuoneshe njia Saba za kutangaza ujuzi wako

Kwanza unaweza kutangaza ujuzi wako mtandaoni
Pili unaweza kuwatumia watu wanaokujua kutangaza ujuzi wako
Tatu ni kuandaa na kuonesha kazi zako
Nne Ni kuomba rufaa
Tano nii kuwa na data za wateja walionunua na wale wanaonesha nia ya kufanya.
Sita ni kuwatembelea watu walipo
One response to “NJIA SABA BORA ZA KUTANGAZA UJUZI WAKO KWA WATU”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X