Ugunduzi mkubwa wa Zama Hizi…


Rafiki yangu moja ya ugunduzi mkubwa wa Zama Hizi ni kuwa wewe unaweza kubadili maisha yako na kuwa vyovyote vile unavyotaka.
Unaweza kuwa Tajiri
Unaweza kuufikia Uhuru wa Kifedha
Unaweza kuwa na mahusiano mazuri
Unaweza kuwa na familia bora n.k.

Rafiki yangu yangu, hakuna ukomo wa vile unavyoweza kuwa au kufikia kwenye maisha. Labda tu ukijiwekea ukomo wewe mwenyewe.

Kitu chochote ambacho akili yako inaweza kushikilia  na kukikubali, ujue kuwa hicho kitu kinaweza kufikiwa.

Sasa labda nikuulize wewe, ni kitu gani unataka kufikia maishani mwako? Kiandike chini kisha anza kukifanyia kazi. Kumbuka,
unaweza kubadili maisha yako na kuwa vyovyote vile unavyotaka.

Umekuwa nami rafiki yako,
Godius Rweyongeza
0755848391
Morogoro-Tz

l


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X