Deprecated: Constant FILTER_SANITIZE_STRING is deprecated in /home/songambele/public_html/wp-content/plugins/blogger-to-wordpress-redirection old/b2w-redirection.php on line 91
Kitu Cha Kufanya Unapokuwa Huoni Mafanikio Ya Haraka - SONGA MBELE

Kitu Cha Kufanya Unapokuwa Huoni Mafanikio Ya Haraka


Endelea kuweka juhudi, hakuna kitu chochote ambacho unafanya ambacho kinapotea bure.
Baadhi ya vitu unaweza usione matokeo Sasa Hivi.
Ila kadiri unavyoendelea KUWEKA juhudi matokeo utayaona.

Watu wengi huwa wanakata tamaa mapema pale wanapoanza  kufanyia kazi kitu.
Ila Cha kufahamu I kubwa haupaswi kurudi nyuma.

Endelea KUWEKA juhudi kila Mara.
Kadiri unavyoweka juhudi, Ndivyo unakuwa unazidi kuikaribia ndoto yako.

Tukutane kwenye jukwaa la wanamafanikio.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X