Day: April 14, 2022

  • Maisha Ni Fursa: Zitumie ZIKUBEBE

    Unaendeleaje rafiki yangu wa ukweli. Jana nilikutana na kichekesho fulani hivi mtandaoni. Jamaa mmoja alikuwa akizungumzia kuhusu mfumuko wa bei unayoendelea Sasa hivi. Hivyo akawa amesema maneno haya: Jamani jamani, mtuonee huruma mnapandisha vitu mno. Mafuta mnapandisha, gesi mmepandisha, uchumi mmepandisha, mtapandisha hadi mapepo…….. Baada ya kuangalia hiki kichekesho, nilijiuliza hivi Kuna fursa yotote kwenye…

  • Zawadi Yako Kama Hutakata Tamaa

    Rafiki yangu, unapofanya  kitu kikaenda ndivyo sivyo, usikate tamaa. Kwa sababu kadiri unavyokosea ndivyo unazidi kuwa imara zaidi. Makosa ni mwalimu mzuri kama utayatumia vizuri.  Ndio maana wahenga wetu wanasema kufanya kosa siyo kosa. Kosa ni kurudia kosa. Ukirudia kosa maana yake hukukifunza chochote na wala hukupata funzo lolote kutokana na kosa la kwanza. Na…

X