Day: April 6, 2022

  • Kitu kingine kimoja cha ziada kuhusu Masoud Kipanya

    Jana niliandika makala ndeeefu kuzungumzia gari la Masoud Kipanya.Nilifanya hivyo maksudi tu kwa ajili ya kupongeza juhudi za mtanzania mwenzetu, maana tumezoea kupromote vitu vya akina Jack Ma na wengine, Sasa anapotokea mtanzania akafanya vitu vya tofauti, kwa Nini tusiseme.. Au wewe hukupenda…. Nashukuru wengi waliipokea vizuri mkala ya Jana, hata hivyo leo nimeona nitaongeza…

  • Niseme kitu kuhusu Elon Musk  Kununua Twitter Au Basi!👇🏿👇🏿

    Udhaifu wangu mkubwa Ni kwamba ninapokuwa na kitu kikubwa kinachoweza kukusaidia wewe kufanya makubwa siwezi kukaa nacho! Nashindwa kabisa  kujizuia,  Ndio maana leo nikaona nikujuze habari za Elon Musk Habari zilizotawala vyombo mbalimbali vya habari na hasa mtandao wa intaneti siku ya jana ni kuhusu bilionea Elon Musk kuwekeza kwenye kampuni ya Twitter. Ambapo amenunua…

X