Day: April 5, 2022

  • Leo Na Mimi Nataka Niseme Kitu Kuhusu Gari Ya Masoud Kipanya

    Watu wenye kichaa cha kutosha kiasi cha kufikiri wanaweza kuibadili dunia, ndio ambao huibadili-Steve Jobs kwenye tangazo la THINK DIFFERENT la mwaka 1997-2002 Takribani siku mbili zilizopita Masoud kipanya alizindua gari ya umeme ya kampuni ya Kaypee Motors. Kitu ambacho ni cha kipekee sana hasa kwenye mazingira yetu. Asubuhi ya leo nilipotazama hotuba yake wakati…

  • Njia Mpya Ya Kujenga Tabia Kwa Haraka

    Leo nataka nikwambie kitu kikubwa ambacho kitakusaidia wewe kuweza kujenga tabia mpya kwa haraka. Ebu fikiria tabia yoyote ile ambayo ungegependa kujenga miashani mwako. Ni tabia gani nzuri ambayo kwa siku umekuwa unatamani kuwa nayo? Je, ni kusoma vitabu? Je, ni kuandika Je, ni kufanya mazoezi? Au kuweka akiba? Ni kitu gani haswa unataka uwe…

X