Day: April 4, 2022

  • Kwa nini wazazi wanawalazimisha watoto kusoma kozi wanazopenda wao

    Kila mwaka kikifika kipindi cha wahitimu wa kidato cha sita kuomba vyuo, huwa napokea simu za vijana ambao wanalazimishwa na wazazi kwenda kusomea kozi wasizopenda. Unakuta kijana anataka akasomee uhandisi, mzazi anataka akasomee human resources. Sasa leo kwa ufupi tu nataka niseme kwa nini, wazazi wanakuwa hivyo: Moja ni kwa sababu ilikuwa ndoto ya mzazi,…

  • Kozi gani nzuri ya Kusoma chuo inayolipa

    Sikumbuki ni mara ngapi watu wamekuwa wakinitafuta kwa ajili tu kuniuliza kozi gani ambayo mtu akisoma itamlipa. Nimejitajidi kujibu swali hili kadiri ninavyoweza kwa kila mtu, Sasa leo nataka nijibu swali hili mwanzo na mwisho. Jibu la swali hili halina exception. Haijalishi umehitimu kidato Cha nne na unataka kwenda chuo au umehitimu kidato Cha sita…

X