Day: April 3, 2022

  • Mjasiriamali ni nani

    Siku hizi kumekuwepo na wimbi kubwa la vijana wanaojiajiri. Hiki ni kitu kizuri, hata hivyo wengi wamekuwa wanadhani kujiajiri tu kunakufanya uwe mjasiriamali. Kwa wengine ujasiriamali umekuwa unahusishwa na kutengeneza bidhaa kama vile sabuni, vitenge, viatu vya kimasai….. Ukiwa unatengeneza hivyo vitu, wewe ni mjasiriamali. Kama hutengenezi hivyo vitu wewe siyo mjasiriamali. Kitu ambacho siyo…

  • Siri Mbili Za kuwa Kiongozi Bora Kutoka Kwenye Kitabu Cha My Story Cha Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum

    1.Siri ya kuwa Kiongozi Bora kuwasikiliza watu wako na kuwa karibu na watu wako. Mwandishi anasema kwamba hiki Ni kitu ambacho alijifunza kutoka kwa babu yake na alikuja kukifanyia kazi yeye mwenyewe kwenye maisha yake. Ukiwa karibu na watu wako ni rahisi kujua matatizo yao na hivyo kujua wanataka Nini? 2. Unapaswa kubadilika la sivyo…

  • [eBOOK MPYA] NGUVU YA KUTOA (THE MAGIC OF GIVING)

    Utangulizi Rafiki yangu kuna nguvu kubwa sana katika kutoa. Hii ni tabia ambayo unapaswa kujifunza na kuifanyia kazi kila siku. Nadhani utakuwa umewahi kusikia kuwa matajiri wana hadi mashirika ambayo yanahusika na utoaji. Kwa mfano, Bill Gates ana shirika la GATES AND MELINDA FOUNDATION. Elon Musk ana shirika la MUSK FOUNDATION na mabilionea wengine pia…

X