Day: April 2, 2022

  • 1. UCHAMBUZI WA KITABU CHA THE 5 SECOND RULE

    Una sekunde tano tu za kuanza kufanya kitu. Kitabu cha the 5 second rule kinakuonesha nguvu ya sekunde tano katika kufanya majukumu yako na kuepuka kughairisha. Kama umelala kitandai na alarm ya kuamka ikalia. Hesabu tano, nne, tatu, mbili, moja, kisha toka kitandani.. Kwenye kitabu hiki Mel Robbins anaenda kukuonesha namna ambavyo utaepuka kughairisha majukumu…

  • Kitu Ambacho Hakuna Mtu Yeyote Anaweza Kufanya Kwa Ajili Yako

    Pigana kwa ajili ya ndoto zako maana hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kufanya hivyo kwa ajili yako. Hakuna mtu wa aina hiyo. unajua kwa nini? Kwa sababu hakuna mtu AMBAYE anaweza kuiona ndoto yako kwa usahihi Kama ambavyo wewe mwenyewe unaiona. Wewe ndiwe unaona ndoto yako kwa usahihi. Pili, kama wewe mwenyewe tu utashindwa kupambana…

X