Kipaji ni dhahabu-4: Kipaji Hakifanyiwi Kazi Kwa Siku Moja


Najua kuna wengi wangependa wagundue kipaji chao Leo hii na kesho yake wawe tayari wamekuwa mabingwa.

Hapana. Inachukua muda. Unahitaji muda kukinoa kipaji chako.

Kifanyie kazi kipaji chako kila siku.

Wewe wa leo hapaswi kuwa sawa na wewe wa jana na wiki ijayo. Kila wiki iwe wiki ya tofauti kidogo.

SOMA ZAIDI: Kipaji ni dhahabu-3 njia ya kuwa gwiji


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X