VIDEO: FUNZO KUBWA KUTOKA KAMPUNI YA SPACEX KUHUSU NAMNA YA KUFANYIA KAZI NDOTO ZAKO


 

kampuni ya SpaceX ni moja ya kampuni yenye NDOTO ya kufanya watu wawe na makazi kwenye sayari tofauti. Hii ndiyo ndoto ta mwanzilishi wake #ElonMusk na wafanyakazi wote wa kampuni hiyo.

Kampuni hii imekuwa na ndoto hii tangu ilipoanzishwa mpaka leo hi. ndiyo maana nasema lazima hapa Kuna kitu kikubwa Cha kujifunza.  Fuatilia someone hili kwa kubonyeza hapa chini.

Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

 Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391

Kutengenezewa blogu yako kitalaamu tuwasiliane kwa 0755848391

kila la kheri

Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X