Jinsi Ya Kudandia Teknolojia Mpya


Tunaishi katika dunia ambapo teknolojia mpya inazidi kubadilika kila siku. Sasa mabadiliko haya ya kiteknolojia hayapaswi kukuacha nyuma muda wote. Kuna namna ambayo unapaswa kuitumia ili uweze kuendana na mabadiliko haya.

Ebu fikiria kwa mfano Sasa hivi, uwepo wa maroboti umeanza kuwafanya watu wakose kazi hata wale ambao ziku zote walikuwa na kazi ambazo ziliaminika haziwezi kutikiswa. Mfano mzuri wa ni madkatari. Siku hizi Kuna roboti ambazo zinaweza kufanya mpaka upasuaji. Hivyo, daktari ambaye hataweza kudandia teknolojia mpya Kuna siku ataamka na kukuta kazi yake imechukuliwa na mroboti.

Maana yenyewe kwanza yanaonekana yanatanya kwa ufanisi mkubwa kuliko hata wanadamu. Hayana mgomo na yanafanya kazi kwa muda mrefu. Gharama kubwa ni ile ya kuyanunua tu maana hata baada ya hapo yanakuwa hayahitaji tena kuongezewa mshahara.

Kinachoendelea upande wa utabibu kinatokea kwenye sekta nyingine zote. Ndiyo maana wewe unahitaji kujua namna ya kudandia teknolojia mpya ili uweze kuendana  nayo. Somo la leo limeeleza kwa kina ebu BONYEZA HAPA  kujua namna ya kudandia teknolojia

mpya

Kusubscribe BONYEZA HAPA


One response to “Jinsi Ya Kudandia Teknolojia Mpya”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X