FANYA KAZI KWA BIDII


 Inawezekana Kuna watu wenye kipaji kizuri kuliko wewe, hilo lipo nje ya uwezo wako. Hata hivyo hakuna mtu ambaye anapaswa kufanya kazi kwa bidii na kukuzidi (kufanya kazi kwa bidii kupo ndani ya uwezo wako)

Kufanya kazi kwa bidii kutakutoa hata kama  huna kipaji kikubwa.

Fanya kazi kwa bidii.

SOMA ZAIDI: ACHA UTAPELI WEWE? Hivi Ndivyo Unaweza Kuondoka Kwenye Mtego Wa Kujitapeli Mwenywe Maishani Mwako   

ANGALIA VIDEO HII HAPA: Jinsi Kufanya Kazi Kwa Bidii Kunavyoweza Kukukutanisha Na Wafalme

Hakikisha umesubscribe kwenye channel yangu ya youtube kwa kubonyeza HAPA 


2 responses to “FANYA KAZI KWA BIDII”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X