Maeneo Matatu (03) Ya Kutembelea Unapokuwa Mtandaoni


Usikose kutembelea maeneo haya matatu kila unapoingia mtandaoni kila siku.
Ujue watu huwa wanaingia mtandaoni kwa kusukumwa na vitu mbalimbali. ila kwa jinsi ambavyo ninakufahamu wewe moja ya kitu ambacho kinakukfanya uingie mtandaoni ni kujifunza. si ndio?
Kama ndio hivyo, basi hapa nina kuletea maeneo mawili muhimu ambayo hupaswi kukosa kutembelea kila siku unapoingia mtandaoni.
Kwanza, hakikisha kwamba umeingia kwenye mtandao wa SONGA MBELE. Hii ni blogu nzuri ambayo nimeitengeneza kwa ajili yako. Na kila siku ninakuwekea makala mpya kwa ajili yako. Mpaka sasa hivi ninapokuandikia hapa kuna makala zaidi 700 ambazo zipo humo ndani. Ebu fikiria makala zaidi ya 700, sijui wewe hapo umesoma ngapi kati ya hizo. Hivyo unaweza kuona wazi kwamba humu ndani kuna hazina kubwa sana yaw ewe kujifunza kila siku. Na isitoshe bado naendelea kukuwekea makala mpya kila siku.
http://songambeleblog.blogspot.com/
Pili, hakikisha kwamba  umetembelea YOUTUBE  channel yangu. Huku nako nakuwekea mafunzo mazuri kila siku.  Na kwa upande wa youtube itakuwa vizuri kama utaSUBSCRIBE hapa chini ili mafunzo yanapowekwa hewani basi unakuwa wa kwanza kabisa kuyapokea.
https://www.youtube.com/channel/UCRGDR3d_Pt-TeRxSlF3ORzQ
Eneo la tatu ambalo rafiki yangu unapaswa kulitembelea kila siku ni kundi la Think Big For Africa.
Kama bado hujajiunga na kundi hili la whatsap ambapo kuna masomo maalumu yanatolewa, basi soma hapa.
Rafiki yangu hayo ndio maeneo matatu ambayo hupaswi kutembelea kila siku unapoingia
Ni mimi anayejali mafanikio yako
GODIUS RWEYONGEZA

KUWA MIONGONI MWA WATU AMBAO WANAPOKEA MAKALA MAALUMU KWA WATU MAALUMU KWA KUBONYEZA HAPA

SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU YA YOUTUBE HAPA

JIUNGE NAMI KWENYE NURU ANGAZA

, ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X