Jifunze Ujuzi Huu Mmoja Tu, Utakufaa Maisha Yako Yote


Kwa sasa hivi tupo kwenye kipindi ambacho watu hawatoki wala kuchangamana sana. sasa ebu fikiria kwamba ndani ya hizi siku ambapo utakuwa nyumbani, ukijifunza ujuzi wako mmoja tu ambao hakuna mtu mwingine ataweza kukuibia ujuzi huu  maisha yako yote. Ujuzi ambao utaweza kuendelea kuwa nao utakusaidia mwaka mzima.

Ujuzi ambao utakuwa nao nyakati zote bila kujali hali ya hewa au mazingira.

Ebu fikiria ujifunze ujuzi huu sasa hivi ikiwa ni mwishoni mwa mwezi wa tatu tunaelekea wa nne ila uendelee kuwa na ujuzi huu mpaka disemba ya mwaka 2020 na utakuwa nao baada ya miaka 10 ijayo.

Ebu fikiria ukifanya kitu ambacho watu wengine wamekuwa wanatamani kufanya kwa siku nyingi sasa ila wanashindwa kukifanya, hawajui wapi pa kuanzia, nini cha kufanya na wapi pa kuelekea. Binafsi naona kwamba utakuwa umefanya kitu ambacho utajivunia maisha yako yote.

Huu utakuwa uwekezaji wako wa kipekee.

Ujuzi huu umewasaidia watu ambao nimewahi kuwaambia wajifunze. Ninaamini na wewe hapo ujuzi huu utakusaidia sana. ujuzi huu sio mwingine bali ni ujuzi wa kuandika na kuweka fikra zako kwenye maandishi.

Kama kwa siku sasa hivi umekuwa ukijiuliza ni kwa jinsi gani ambavyo unaweza kukaa chini ukaandika na kitu kikasomwa na watu wakakielewa, basi niseme kwamba leo hii ningependa nikusaidie.

Kama kwa siku sasa umekuwa una wazo la kuandika kitabu ila hujui unaanzaje, ni vitu gani unapaswa kuzingatia basi ningependa nikusaidie.

Kama umekuwa unawaona watu wanaandika vizuri, unaishia tu kutamani ungekuwa na uwezo kama wao, basi wakati wako ni sasa.

Programu hii muhimu ya uandishi itaendeshwa kupitia kundi la whatsapp. Na gharama yake itakuwa ni 200,000 kwa kipindi chote.

Katika programu hii hata kama bado hujawahi kuandika utaweza kuandika kwa kutumia mbinu ambazo ni nimekuwa nikiwafundisha watu na ninaenda kukufundisha na wewe.

1. ukiwa kwenye programu hii utatakiwa kuandika kila siku kwa siku 30 mfululizo (ni rahisi sana, kama watu wengine wameweza, wewe huwezi kushindwa. Nitakuonesha namna ya kufanya hivyo)

2. kila siku jioni nitakutumia somo muhimu ambalo utakuwa unafanyia kazi kesho yake.

3. kila siku jioni tutakuwa na mjadala kuhusu kazi ambayo umeandika, tutatoa marekebisho hapo hapo ili uweze kuyafanya kwenye maandiko yako yanayokuja.

3. utapata pia kujifunza kutoka kwa watu wengine ambao na wao wanajifunza kuandika kama wewe.

Kama ungependa kujiunga na programu hii basi bonyeza kiunzi hiki hapa chini ili kujiunga. Karibu sana

https://chat.whatsapp.com/IMRmf9gVMVYIkJu2NaY0Qv

Kwa sasa hivi mimi sina la ziada isipokuwa tu kukutakia siku njema. Ni mimi anayejali mafanikio yako

GODIUS RWEYONGEZA

0755848391


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X