A NOTE FROM SONGAMBELE; Umeongea Na Nani Leo?


kila siku huwa ni siku njema sana ya wewe kuweza kuitangaza BIASHARA yako.
Kama wewe Leo hujapiga hata hatua moja kuhakikisha kwamba unaitangaza BIASHARA yako jua kwamba hujaitendea hako BIASHARA yako  ipasavyo.

Unapaswa kuhakikisha kwamba kila kunapokucha walau unamfikia MTU mmoja wa ziada. Kila siku unapaswa kuitangaza biashara yako ambapo ulikuwa bado hujafanya? Je, umefanya hivyo Leo?
Kafanye sasa hivi. Muda ni sasa.

This is a note from songambele

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA

HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X