TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-154 Tatizo hujau kwamba kila kitu kina msimu wake


Kila kitu kina wakati wake, wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna, wakati wa kulia na wakacti wa kucheka….
Hakuna kitu ambacho huwa kinatokea tu! Balli  ni majira ya kitu husika tu huwa yanapita
Unapokutana na nyakati ngumu sio kwamba ule ndio unauwa mwisho wa safari wala  hicho sio chanzo cha wewe kulia bali ni chanzo cha wewe kutafuta mbinu mpya kufanikisha kitu hicho. Hakikisha kwamba muda wote unatafuta mbinu mpya ya kuhakikisha kila mara unatafuta mbinu mpya ya kufanikisha kile ambacho unapanga kufanya.

soma zaidi; TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-66 tatizo hujajua mahali ulipo
ndimi, Godius Rweyongeza
BONYEZA HAPA ILI KUJIUNGA NA KUNDI LA HAZINA YETU TANZANIA


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X