Hizi Ni Huduma Ambazo Unaweza Kuzipata Kutoka Kwangu


Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu, imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unafanya makubwa sana kuhakikisha kwamba unafikia makubwa sana maishani mwako.

Leo hii rafiki yangu napenda uzijue kwa undani huduma ambazo unaweza kuzipata hapa kwangu.
Kuna huduma mbali mbali ambazo unaweza kuzipata kutoka kwangu na zikawa zenye manufaa makubwa sana kwako ili kuhakikisha kwamba zinakusogeza mbele katika maisha yako ya kila siku. Na huduma hizi hapa ni kama ifuatavyo rafiki yangu,

1.    Kitabu cha KUTOKA KSIFURI MPAKA KILELENI
hiki ni kitabu bora sana kwako kusoma rafiki yangu ambacho kinaweza kuleta matokeao makubwa sana kwako. Kitabu hiki KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI kimeweka wazi na kwa undani mbinu zote unazozihitaji ili kukutoa hapo ulipo kwenda hatua ya ziada katika maisha yako. kitabu hiki kinapatikana kwa shilingi elfu kumi za kitanzania tu! (10,000/-)  
 2.  Kitabu cha TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA (volume-1).
Kutokana na malalamishi ya watu walio wengi kwamba ujio wa wakoloni barani ndio ambao umelifanya bara la afrika kuwa masikini. Katika kitabu hiki utapata kufahamu kwamba tatizo sio rasilimali zilizopotea.
Katika kitabu hiki utapa kujifunza kwamba rasilimali watu tunazozipoteza sasa hivi ndio tatizo. Kama mwaka huu utapaswa kusoma kitabu kimoja tu basi wewe hakikisha kwamba unasoma kitabu hiki hapa.
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA. Kitabu hiki kinapatikana katika mfumo wa nakala tete na kinatumwa kwa njia ya email, wasapu au telegram. Bei ya kitabu hiki shilingi elfu kumi tu za kitanzania (10,000/-)

3.  NYUMA YA USHINDI kuna kushindwa kushindwa kushindwa. Hiki ni kitabu ambacho kimechimba kwa undani saikiolojia iliyonyuma ya mafanikio.  Ndani ya kurasa za kitabu hiki utapa kujifunza kwamba kile ambacho huwa unakiona kwa nje kwa watu waliofanikiwa sio kile ambacho huwa kinatokea nyuma ya ushindi. Ni rahisi kusema fulani alikuwa na bahati ndio maana kaweza kupata mfanikio kama hayo hapo. Hata hivyo kile ambacho huwa kipo nyuma ya ushindi ndicho wengi huwa hawakisemi. Katika kitabu hiki unaambiwa kwamba NYUMA YA USHINDI KUNA KUSHINDWA, KUSHINDWA, KUSHINDWA.
Kitabu hiki hapa kinapatikana kwa shilingi tatu (3,000/-)

4.  KUNDI LA HAZINA YETU TANZANIA. Hili ni kundi la wasapu ambalo unapata kuwa nami mubashara tukijadili mambo mbali mbali ya kutufikisha kileleni. Ndani ya kundi hili hapa utapata yafuatayo
Mosi ni makala maalumu kwa watyu maalumu. Hizi ni makala za kila siku ambazo huwa zinatolewa ndani ya kundi hili la wasapu.
Pili ni makala za sura ambazo hukujia kwa mfululizo kila siku.
Tatu ni kupata kitabu kimoja cha Kiswahili kila mwezi. Ndio ni kitabu kimoja kila mwezi.
Nne, utapata kukutana na wanamafanikio ambao wana kiu ya mafanikio na ambao utapata kujifunza mengi sana kutoka kwao
Ili kujiunga na kundi hapa utapaswa kulipia sh, 20,000 kabla ya kuingia. Unaruruhusiwa kulipia kidogo kidogo, ila hutaruhhusiwa kuingia kwenye kundi hili hapa mpaka pale utakapokuwa umekamilisha ada yote.

4. HUDUMA YA COACHING
Hii ni huduma ambapo mimi na wewe tunakuwa pamoja kwa kipindi cha miezi miwili mfululizo. Ambapo nitakuwa nikikufuatilia kwa umakini wa hali ya juu sana kujua unavyoendelea. Lakini pia tutapata kuongea kwa simu au kuonana ana kwa ana mara moja kwa wiki kwa muda wa nusu saa. Ndani ya kipindi hiki tutazungumzia na kuangalia maendeleo yako juu ya jambo moja ambalo utakuwa umechagua. Jambo hili linaweza kuwa lolote ambalo unaona kwamba unapata shida kuliweza kulifanya na kulikamilisha. tutapanga na kuweka mkakati wa kuhakikisha kwamba tunasonga mbele.
Ili kupata huduma hii ya COACHING utapaswa kulipia sh. 40,000 kwa ajili ya huduma hii. Unaruhusiwa kulipa nusu kwanza ila baada ya wiki mbili unapaswa kulipia nusu inayokuwa imebaki
Gharama za huduma zote hizo hapo juu zitalipiwa kupitia nambari ya MPESA ambayo ni 0755848391 jina GODIUS RWEYONGEZA. Ukishalipia utanitumia ujumbe mfupi wenye neno wa huduma ambayo unaihitaji.’
Karibu sana,
Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391
www.songambeleblog.blogspot.com                     


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X