Deprecated: Constant FILTER_SANITIZE_STRING is deprecated in /home/songambele/public_html/wp-content/plugins/blogger-to-wordpress-redirection old/b2w-redirection.php on line 91
Maajabu ya kitabu cha barabara ya mafanikio. - SONGA MBELE

Maajabu ya kitabu cha barabara ya mafanikio.


Kitabu cha barabara ya mafanikio kinazidi kupamba moto na kuwafikia watu wengi zaidi. Huku kila mtu ambayo anakisoma anakuja na ushuhuda wake. Kila mtu anasema ni kwa jinsi gani Kitabu kile hakimwacha jinsi alivyo.

Kama hawa wamesoma na kunufaika wewe umesubiri nini?

Jipatie na wewe hapo nakala ya Kitabu hiki cha karne hii ya 21.

Ebu msikie huyu hapa anavyosema juu ya Kitabu hiki
nilikuwa nimezoea kuamka SAA mbili kila siku. Baada ya hapo naanza kujiandaa kuoga na na kunywa chai, kilichokuwa kinatokea nilikuwa nafika kazini SAA nne. Kitu ambacho kilikuwa kinanifanya niwe na kazi nyingi zilizokuwa zinanisubiri kuzifanya na nilikuwa simalizi kazi kwa wakati lakini baada ya kusoma Kitabu hiki Sasa naamka mapema, na hapa sijamaliza kukisoma chote sijui nikimaliza kukisoma chote itakuwaje.
Na Ray
Fundi cherehani -Morogoro

Sasa wewe umesubiri nini?
Ebu jipatie nakala yako kutoka kwa mwandishi maarufu Edius Katamugora
Jipatie nakala hii kwa kuongea naye kupitia nambari _0764145476_
Kwa namna hiyo utakuwa umejihakikishia ushindi mkubwa sana.

Labda utakuwa unajiuliza muda muafaka wa kusoma kitabu hiki ni lini?
Kiukweli naweza kusema kama mpaka Sasa hujasoma Kitabu hiki umechelewa. Ila kama niaminivyo ni kwamba unaweza kuwa umechelewa kuanza ila hujazeeka kuanza. Hivyo, hujazeeka kuchukua Kitabu hiki. Muda mzuri wa kusoma Kitabu hiki ulikuwa jana ila muda mzuri zaidi wa kusoma Kitabu hiki ni leo. Hivyo kichukue Kitabu hiki haswa muda huu tunapoelekea mwaka mpya wa 2018.  Utapata kujifunza mambo ya  yatakayokupa motisha ya mwaka Mpya 2018. Mambo ambayo unayahitaji kwa ajili ya  wakati unauendea mwaka Mpya.

Kurasa za Kitabu hiki zimesheheni mambo kamambe yanayoelimisha na kukuandaa wewe hapo kuyafikia mafanikio makubwa.

Kama kuna Kitabu kimoja unapaswa kukisoma mwaka huu, basi soma Barabara Ya Mafanikio kabla mwaka huku haujaisha.

Naomba nikutakei siku njema  Rafiki yangu.
Kama wewe upo mkoa wa Morogoro na mikoa ya jirani unaweza kuwasiliana na Mimi kupitia mawasiliano niliyoyaweka hapo chini  ili nikutumie Kitabu hiki.


One response to “Maajabu ya kitabu cha barabara ya mafanikio.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X