Vitu Utajavyojifunza Kwenye Kurasa Za Kutoka Sifuri Mpaka Kilelenii


Haya haya sasa!
 kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI kwa sasa kipo sokoni na watu wanazidi kukipokea kwa mikono miwili.  Sasa unaweza kujipatia nakala yako popote pale ulipo nchini na duniani kiujumla.

Kurasa za KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI zimesheheni mambo kadha wa kadha ambayo hakika kama utayasoma yatakubadilisha na hakika hutabaki jinsi ulivyo. Haya hapa ni mambo ambayo utajifunza katika Kurasa za kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI.

1. Jinsi ya kuishi hapa duniani na kuhakikisha kwamba unaacha alama. Alama ambayo haitaachwa na mtu mwingine. Alama ambayo itakutofautisha wewe hapo na watu wengine.

2. Utajifunza na kujua ni kwa nini unapaswa kuwa hai badala ya kuishi. Utajua tofauti kati ya maneno haya mawili ambayo yanawachanganya watu.

3. Utajifunza na kujua jinsi ya kuweka malengo yako. Baada ya kusoma kitabu hiki hata kama hukuwahi kuweka malengo maishani mwako (yaani ulikuwa kilaza katika sekta ya kuweka malengo) basi kwa hakika utakuwa tayari umeweka malengo. Kitabu hiki kimeeleza kwa undani suala hili huku kikitoa mifano ambayo ni rahisi sana kuielewa.

4. Utajifunza umuhimu wa umoja. Watu unaopaswa kushirikiana nao. Saikolojia iliyonyuma ya umoja na ni kwa jinsi gani umoja utakusaidia.

5. Je, unayo ndoto? Unataka kutimiza nini? Kitabu hiki kitakwambia ni muda gani muafaka wa wewe kuanza kutimiza ndoto yako. Kitakupa mwongozo wa kutimiza ndoto zako kwa mifano.

6. Una kipaji gani? Mtoto wako ana kipaji gani? Je, unajua ni kwa jinsi gani unaweza kugundua kipaji chako, mtoto wako au mchumba wako? Hahah! KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI ni suluhisho la hayo yoote!
sasa kwa nini usisave namba hii 0755848391 sasa ili tuongee. Kwa nini usitunitumie ujumbe nikakuelekeza jinsi ya kupata kitabu hicho? Chukua hatua sasa!

8.  Je, umewahi kusikia kauli inayosema “there is no hurry in africa” wakimaanisha hakuna haraka barani Afrika. Je hii ni kweli. Kurasa za kutoka  SIFURI MPAKA KILELENI zimechimba na kuchimbua saikolojia ya muda! Hazijaishia hapo tu, zimekupa na mbinu za kuhakikisha kwamba unaondokana na saikolojia mbaya ya kwamba waafrika huwa wanawahi kwenye mazishi tu 😁😁😁

9.  Haya sasa wale rafiki zangu wenye visingizio vya ooh! Nitafanya kesho! Ooh ngoja kidogo. Ooh! Mazingira hayakaa sawa sawia.
Kurasa za KUTOKA SIFURI MPAKA KILELNI zinakuhusu!
Ndani ya Kurasa hizi utajifunza kwamba kesho sio siku!!!! Utapata kujua kwamba kuna siku saba tu za juma na kesho haimo!

😭😭mbona hii kama habari mbaya! Kumbe kesho sio siku? Lipa sasa 10,000 kwenda 0755848391 jina GODIUS RWEYONGEZA. Ili ujipatie nakala hii.

10 . Si umewahi kuambiwa kwamba “ukitaka kumficha kitu mwafrika kiandike kwenye kitabu”? Walau hata kusikia maneno hayo yakiongelewa?
Je, wewe unakubali hii?
Kama unasoma hapa najua kwa hakika kwamba hutaki kufichwa kitu kwenye kitabu. Chukua hatua sasa ujipatie kitabu hiki.
Ndani ya kurasa hizi utapata kujifunza njia rahisi itakayokusaidia kujenga tabia ya kusoma vitabu. Na kuhakikisha kwamba haufichwi kitu. Njia ya rahisi ya kukataa kufichwa kitu ni kukitunza kabla hakijafichwa.

11. Wengine watakuambia kwamba wewe bado mdogo sana. Wengine  watasema kwamba wewe umezeeka sana. Lakini hii si kweli. “unaweza kuwa umechelewa kuanza lakini ukawa hujazeeka kuanza”.
Haya yote utapata kujifunza katika kurasa za kitabu cha KUTOKA SIFURI SIFURI MPAKA KILELENI.

12.  Bado unataka niendelee. Sasa hapo si nitaandika yote yaliyo kwenye kitabu hapa😁😁😁

Ngoja nikupe utaratibu rahisi wa kukipata kitabu hiki.

Lipa pesa kupitia mpesa au tigopesa kwenda namba 0755848391 jina GODIUS RWEYONGEZA. Baada ya hapo nitumie email yako kwenda namba hiyo hiyo kwa njia ya wasp. Utapata kitabu hiki ndani ya dakika chache tu baada ya wewe kulipia

 Chukua hatua sasa ili ujipatie nakala yako

Ndimi
Coach Godius Rweyongeza
(Songambele)
0755848391
godiusrweyongeza1 @gmail.com

Jiunge nami katika kundi la HAZINA YETU TANZANIA. Upate kujifunza zaidi.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X