Maisha Ndani Ya Darasa Ni Tofauti Na Maisha Nje Ya Darasa


MAISHA NDANI YA DARASA NI TOFAUTI NA MAISHA NJE YA DARASA
Nampenda sana ROBERT KIYOSAKI kwa jinsi anavyodadafua maisha ya shuleni na kuyaaweka katika hali ya kawaida ya maisha. Maisha ndani ya shule yana mfumo wake wa kuishi, mfumo ambao ni wa tofauti kabisa na maisha nje ya mfumo wa shule. Au kiufupi tunaweza kusema kwamba maisha ya shuleni ni digrii 180 na maisha nje ya shule. Katika shule unajifunza kusoma na kuandika, maisha yana fundisha k
Wakati shuleni unafundishwa kwamba kuna milango mitano ya fahamu maisha yankufundisha jinsi ya kuzitumia milango yako yote ya fahamu.
Wakati shuleni unajifunza kwamba kuna ajira maisha yenyewe yanakuajiri.
Wakati shuleni unajifunza kwamba unapaswa kkuwa mtu wa watu maisha yanakulazimisha wewe kufanya hivyo.
Kwangu mimi mwalimu mzuri ni yule anayekufundisha jinsi ya kuvua samaki sio yule ambaye anayekupa samaki. Hivyo maisha ni mwalimu mzuri sana kuliko shule. Ili kupiga hatua kubwa ambayo umekusudia kupiga utahitaji umkumbatie sana mwalimu maisha lakini pia mwalimu shule usimwache. Mwalimu maisha anafundisha mambo mengi sana ambayo huwezi kujifunza shuleni.
Hivi hapa ni vitu saba ambavyo huwezi kukuta katika madarasa ya mwalimu shule lakini unaweza kuvikuta katika madarasa ya mwalimu maisha
·         UJASIRIAMALI: shule nyingi sana zimejitahidi kufundisha somo la uchumi, kwa wanafunzi wengi sana. na baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakihadaika kwamba unapojifunz somo la uchumi basi wewe moja kwa moja unakuwa mtu mzuri sana katika masula mazima ya uwekezaji na biashara. Hii sio kweli. Kinachofundishwa shuleni ni mtazamo wa kkupewa samaki sio mtazamo wa kuvua samaki. Hivyo ukiendelea na mtazamo huu na kuumbatia basi utakuzamisha kwenye kilindi cha maji mapana ya bahari.
Somo zima la ujasiriamali lipolinafundishwa kwenye mfumo wa kawaida wa maisha. Na hapa ni ndipo unahitaji kuwatafuta watu sahihi wenye maarifa sahihi ili waweze kukuhakikishi wakba umeweza kupata kile ambacho unakihitaji kama sehemu ya ujuzi wako.
·         KUSOMA VITABU. Shuleni unajifuza jinsi ya kusoma lakini shule haikuchagulii aina ya kitabu cha kusoma. Maisha unayotaka kusoma yatakuonesha aina ya kkitabu ambacho unapaswa kusoma. Sasa ni juu yako. Kichukue na ukisome au acha.
·         UJUZI WA KUWASILIANA. Siku hizi sio ajabu kkusikia kwamba mwanafunzi amehitimu chuo na hawezi kusimama mbele ya watu na kujieleza mwenyewe kwa kutoa maoni au kile ambacho kimo ndani yake. Rafiki yangu, kama huwezi kujieleza, basi  jua kwamba unapoteza sana na huu ni ujuzi wa muhimu sana ambao unapaswa kuhakikisha umeujenga na kuwa nao. Kama huwezi kufikisha ujumbe wako jua kwamba kukna vitu vya msingi sanam ambavyo wewe binafsi unapoteza.  Moja ya sifa ya Viongozi wote maarufu sana, ni uwezo wao wa kujiileza na kufikisha ujumbe wao kwa wahusika. Kama mpaka sasa hivi huna ujuzi huu, hakikisha kwamba unanitumia ujumbe kupitia namba 0755848391 ili niweze kukusaidia.
·          


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X