-
Wasiliana na Godius Rweyongeza Sasa
Habari yafuatayo ni mawasiliano Unayoweza kutumia kumpata GODIUS RWEYONGEZA Simu: +255 (0) 684408755 Whatsap: +255 (0) 755848391 Email: songambele.smb@gmail.com Kupata vitabu vyake wasiliana Moja kwa Moja na +255 (0) 684408755
-
Elimu Ambayo Haifundishwi Shuleni (part 1)
Tangu ukiwa mtoto unaambiwa kwamba nenda Shuleni, usome Kwa bidii Ili Uje Upate ajira. Umependa Shuleni, umesoma Kwa bidii SI ndio? Hongera sana. Leo nipo hapa kukwambia mbali na hayo yote tuliyojifunza Shuleni, Bado Kuna mambo ya msingi sana kwenye maisha ambayo hukufundishwa, na mambo Haya ni ya msingi mno, kiasi kwamba haupaswi kuyapuuza. Yajue…
-
Hivi Ndivyo Vitu Ambavyo Vinakukwamisha Wewe Na Nini Cha Kufanya
UNAENDELEAJE RAFIKI YANGU WA UKWELI, Karibu Tena kwenye blogu yetu kwa ajili ya mafunzo mengine mazuri ambayo nimeandaa kwa ajili yako. Siku ya leo nina ujumbe mfupi tu kwa ajili yako. na ujumbe huu siyo mwingine bali ninataka kukwambia kuwa; Asilimia kubwa ya vitu ambvyo vinakuzuia wewe kufanikiwa ni vitu ambavyo viko ndani ya uwezo…
-
Mambo 15 ambayo Godius Rweyongeza anashauri Uanze Kuyafanyia kazi Mara Moja
Habari ya Leo. Hongera sana Kwa siku hii nyingine njema sana 1. Tuitumie Leo kufanya makubwa. Kila mmoja Kwa jukumu lake analopaswa kufanya, alifanye Kwa weredi mkubwa 2. Mabadiliko Unayotaka kuyaona Anza kuyasababisha mwenyewe siku ya Leo Kwa kufanya jambo lolote hata kama ni Dogo. 3. Ukitimiza wajibu wako na Kila mmoja akatimiza wajibu wake,…
-
Kwa Nini tunahitaji HAMASA Kila siku
Siku Moja ZigZiglar alikuwa anaongea mbele ya umati, ndipo kijana. Mmoja akasimama na kumuuliza swali gumu Kwa kusema, Kwa Nini hizi HAMASA Huwa hazidumu? ZigZiglar alimjibu Kwa kusema kwamba HAMASA ni kama kuoga. Hauogo TU mara Moja na kuacha, Bali unaoga Kila siku, kwako Kila siku, inakuwa ni sehemu ya kuoga. HAMASA ni kama kuoga…
-
Njia Tano Za kuwa na Ukuaji Kwenye Maisha, Biashara na Kila kitu unachofanya
Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee. Leo ni siku nyingine bora kwa ajili yako. Hakikisha kwamba unaitumia vyama siku ya leo. Na moja ya kitu muhimu sana ambacho unapaswa kukifanyia kazi kuanzia leo ni kukua. Ukuaji ni moja ya kitu muhimu sana hasa unapokuwa unataka kufanya makubwa. Unaanzia hapo hapo ulipo, unafanya…
-
Huu Ndiyo Uwekezaji Bora Ambao Unapaswa Kuupa KIPAUMBELE sasa
Hata kutunza familia ni uwekezaji. Ila uwekezaji baba ambao unapaswa kufanya mara zote ni 1. KUWEKEZA KWENYE biashara. Huu ni uwekezaji Muhimu ambao Kila mmoja anapaswa kuufahamu. Sote tunamfahamu Warren kama mwekezaji Bora kuwahi kutokea, ila ukweli ni kuwa Warren Buffett siyo TU mwekezaji kwenye solo la HISA,Bali amewekeza kwenye biashara yake. Hivyo, WEKEZA kwenye…
-
Huu ndio uwekezaji Bora kuliko wote
Rafiki yangu, Kuna uwekezaji Bora kabisa kuliko uwekezaji wowote. Unajua uwekezaji huu ni upi? Ni KUWEKEZA KWENYE maarifa. Huu ndiyo uwekezaji Bora kabisa. WEKEZA kwenye maarifa mara zote WEKEZA kwenye maarifa. WEKEZA kwenye KUSOMA VITABU Hu ndiyo uwekezaji Bora kwako Kufanya.
-
Nimeandaa kozi fupi kwa ajili yako
Rafiki yangu……………. Moja ya kitu ambacho ninapokea karibia kila siku, ni ombi la watu wakiniomba vitabu mbalimbali vya kiingereza. Wapo wanaoomba niwatafutie hivi vitabu kwa njia ya mtandao, halafu niwatumie. Sasa kitu kimoja ninachojua ni kwamba, nikipakue kitabu nikakutumia, ninakuwa sawa na mtu ambaye nimekupa samaki. Unajua ninaposema kwamba ninakuwa kama mtu ambaye nimekupa samaki…
-
Kitu kimoja ambacho kimenishangaza
Juzi nilijaribu kutuma hiki kitabu cha MAAJABU YA KUSOMA VITABU kwenye makundi ya whatsap. Cha kushangaza ni kwamba kuna watu hawajawahi kupata hiki kitabu. Walikisoma na wengi waliweza kupata mrejesho ambao ni chanya, namna ambavyo kimebadili maisha yao. Wengine walishakisoma, ila kitendo cha kurudia kukisoma juzi, kiliwapa hamasa kubwa kwa mara nyingine na kuwafanya wajisikie…
-
Jinsi ya kupakua vitabu unavyopenda kwa njia ya mtandao.
Karibia kila siku huwa napokea ujumbe wa mtu ambaye ananiambia kwamba angependa kupata kitabu fulani na hasa vitabu vya kiingereza. Inawezekana na wewe kuna kitabu ambacho umekuwa unatamani kupata kwa siku sasa, ila hujui namna ya kukipata. Karibu kwenye kozi hii fupi. Ambapo unaenda kujifunza namna ya kupakua kitabu chochote (online). Hii ni kwa vitabu…
-
Hiki ni kitu muhimu ambacho kitakusaidida kuendelea kuwa na wateja wa kudumu
Rafiki yangu mpendwa, salaam, hongera sana kwa kazi. Siku ya leo nilitaka kukwambia njia moja ya uhakika na ambayo itakufanya wewe uendelee kuwa na wateja wa kudumu kwenye biashara yako. Njia hii siyo nyingine bali ni njia ni kuhakikisha kila wakati unakuwa na mfumo ambao utafuita wateja wapya, unafuatilia wateja wapya na unatoa mafunzo endelevu.…
-
Vitu viwili Vitakavyokufanya uweze kupata matokeo makubwa Kwa uhakika
Vitu viwili Vitakavyokufanya uweze kupata matokeo makubwa Kwa uhakik Rafiki yangu, Kuna vitu viwili vya uhakika vitakavyokupa matokeo makubwa mara zote. Vitu hivi ni kuhakikisha 1. unaFIKIRI Kwa ukubwa mara zote. Kamwe kwenye maisha Yako usiwe na malengo madogo, usiwe na ndoto ndogondogo. Mara zote fikiri Kwa ukubwa, angalia ni Kwa namna gani unaweza kwenda…
-
JINSI YA KUEPUKA TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO -2
Nilisemaje, mwezi huu; naam, mwezi huu nitakuwa naeleza kwa undani Zaidi kuhusu tabi aya kughairisha na namna ambavyo unaweza kuondokana tabia hii. Tayari niliandika Makala ya utangulizi siku ya juzi. Kama ulikuw abado hujasoma hii Makala, basi ni muda wako wa kuhakikisha kwamba umeisoma hapa. Sasa siku ya leo; ninaenda kukushirikisha nguvu ya kauli unazojiambia…
-
JINSI YA KUANZISHA MAZUNGUMZO NA MTU YEYOTE
Kuanzisha mazungumzo na mtu hasa yule ambaye hujawahi kuonana naye, huwa ni kitu kigumu miongoni mwa watu. Umewahi kukutana na mtu ukatamani kuongea naye, halafu ukawa unajiuliza utaanzaje, halafu mara kama mlikuwa kwenye basi, yule mtu anashuka nakuondoka na humwoni tena kwenye Maisha yako. Imewahi kunitokea. Nilikutana na mrembo mmoja kwenye basi, lakini sasa kimbembe…
-
Hii Ndiyo Sababu KwA Nini Watu Wengi Huwa Hawaweki Malengo
Habari ya leo rafiki yangu wa ukweli. Hongera sana kwa siku nyingine njema sana rafiki yangu. Siku ya leo nikwambie moja ya sababu kubwa kwa nini watu wengi huwa hawaweki malengo. Unajua kwa nini watu wengi huwa hawaweki malengo? Kuna sababu nyingi sana ila hizi ndizo zinawafanya watu wengi wasiweke malengo. Ya kwanza…
-
Vitu 13 ambavyo hakuna mtu anaweza kufanya Kwa niaba Yako
Kuna vitu ambavyo unaweza ukawapa watu wengine wavifanye kwenye Maisha yako, lakini pia kuna vitu ambavyo huwezi kuwapa watu wengine wavifanye kwa niaba yako. Ni lazima uingie ulingoni na uvifanye mwenyewe. Watu wengi wamekuwa wanakosea hasa kwenye hili kwa kuacha kufanyia kazi vile vitu ambavyo wao wanapaswa kufanyia kazi, wanasubiri watu wengine waje wavifanyie kazi…
-
Nipo kwenye mitandao ya kijamii
Nipo kwenye mitandao ya kijamii kwa siku sasa, nilikuwa nimesitisha kuitumia mitandao ya kijamii yote isipokuwa mtandao wa whatsap na telegram. Ila kwamwaka huu ninaenda kuwa tena kwenye mitandao hii ya kijamii. Nitakuwa ninatoa mafunzo kwenye hii mitandao kama ambavyo nilikuwa nafanya mwanzoni ila maeneo yangu ya nguvu ambayo huwa natoa mafunzo, yataendelea kuwa yaleyale.…
-
Hakuna kitakachobadilika kama wewe hutabadilika
Hakuna kitakachobadilika, kama wewe hujabadilika. Kitu chochote unachotaka kibadilike, Anza wewe kukifanyia kazi. Kama mahusiano Yako unataka yabadilike Anza kuyafanyia kazi Kama ni Hali Yako ya kipato , chukua hatua, Anza kulifanyia kazi Hilo. Na pengine unaweza kuanza na programu yetu ya mafunzo ya kuongeza kipato mara mbili; ambayo unaweza kuyapata hapa Ebu labda nikiuulize,…
-
Usiogope kukosea
Vitu vingi ambavyo huwa tunafanya kwenye maisha huwa vinahusisha makosa. Ni vigumu kuanza kufanya kitu kwa ufanisi wa asilimia 100 hasa unapofanya mara ya kwanza. Mtoto anapoanza kutembea, haanzi kutembea huku akiwa anatembea kwa usahihi asilimia 100. Anaanza kwa kuanguka, ila ni kupitia huku kuanguka ndiyo baadaye anaweza kutembea vizuri bila wasiwawasi wowote. Baadaye tunakuja…
-
NJIA ZA KUEPUKA KUGHAIRISHA MAMBO 2024
Rafiki yangu mpendwa salaam, hongera sana kwa siku hii nyingine nzuri sana. Leo hii ni tarehe 1.2.2024. ni siku nyingine bora kabisa. Tayari mwezi mmoja umepita tangu tuuanze mwaka mpya wa 2024, kazi imebaki kwako sasa. Ni kwa namna gani mpaka sasa unaendelea kufanyia kazi malengo yako? Unajiona ukiwa unaelekea malengo yako au unakwama sehemu?…